Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?


Chief!!

Kwanza nikutengue kwa kusema sielewi chochote katika Quran tukufu!! Unapwaya tena hovyo hovyo!!

Swali lako la jana nimelijibu kiimani zaidi!; β€œHuna mamlaka ya kuamua hukumu juu ya mja yoyote kwa kiwango chochote!

Kingine Chief ; kupata uelewa wa namna vile bainaadam twafaa kuishi sio juu yako ila ni haki ya muumba wa Ardhi na mbingu!!

Kikubwa huna maana!! Wewe ni wale wanamume dhaifu wategemeao β€œdini” kuhakiki matakwa yao!!

***Kiufupi huna dira wala kabira! Unatamba na wakati tu!

Adios!!
 
Naona unaruka ruka sasa. Nacheka sana.

Hata kabla ya Qur'aan Allah alikuwa anatuma mitume na vitabu. Hoja yako iko wapi sasa katika hili ? Na sasa wanawake bado na ndiyo tunawazindua sasa na Qur'aan imewakomboa mno.


Uzuri ninacho kiamini kimejengeka katika misingi ya kielimu na siyo ubabaishaji na ujinga.

Nasubiri hoja.
 
Nataka hoja bibie, hoja hujibiwa kwa hoja siyo kwa maazimio.

Hili nilijua huliwezi na hutoliweza mpaka unakufa.

Nipo....

Utakufa wewe kabla ya wakati Chief!!

Allah Muumba wa vyote ardhini na mbinguni anatambua umuhimu wa kikeni kiasi katuzawadia daraja 3 juu yenu(kiumeni!!)

Hebu anza kuangalia mapungufu yako na wenzio wenye β€˜mkia’ wa mbele !!

Mama ni mama na atabaki kuwa β€œMama” mpaka kadiri ya muumba wa mbingu na arshi atakavyo amua!!

Hutaki Kaka, anza kushika mimba kama uwezo unao!!
 
Kwanza nikutengue kwa kusema sielewi chochote katika Quran tukufu!! Unapwaya tena hovyo hovyo!!
Haya ni madai tu, ila kivitendo Qur'aan huijui, na maswali nimekuuliza huwezi kuyajibu.
Swali lako la jana nimelijibu kiimani zaidi!; β€œHuna mamlaka ya kuamua hukumu juu ya mja yoyote kwa kiwango chochote!
Tuliza aki na ujibu nilichokuuliza, nimekuuliza Qur'aan imekufikiaje sababu unapinga alichokuja nacho mtume. Wewe unaleta jambo lingine, hilo jambo nililo kwambia siyo swi, bali nilikwambia unachokifanya ni kufru, sababu unapingana na Qur'aan. Sasa unaposema nakuhukumu wakati Qur'aan ilishahukumu sisi tunarejea tu, inaonyesha hujui chochote.
Kingine Chief ; kupata uelewa wa namna vile bainaadam twafaa kuishi sio juu yako ila ni haki ya muumba wa Ardhi na mbingu!!
Allah sasa aliyetuumba sisi ndiyo ametuwekea hizo sheria, sasa unakataa nini na unakubali nini kuwa na msimamo bibie.

Sasa Allah ameamrisha wanawake walazimiane majumbani, wewe kama nani unapinga ?
Kikubwa huna maana!! Wewe ni wale wanamume dhaifu wategemeao β€œdini” kuhakiki matakwa yao!!
Sasa wewe unatumia nini bibie ? Maana unasema unaifata Qur'aan lakini ukipewa aya unazikataa, sasa sijui umeegemea wapi bibie ?

Sasa tuambie wewe maegemeo yako, na sisi madhaifu tuegemee bibie.

Kujadiliana na wanawake kazi sana badala ya kuweka hoja mnaleta malalamiko na uzushi.
 


Hahaha naona bado mnapambana na jurjini sijui jurjaniπŸ˜€ huyu mtu ni mbishi halafu hoja zake za ajabu amekomaa nazo eti watu wajibu hoja zisizo eleweka.

Wanawake waliochini ya himaya yake kazi wanayo.
 
Utakufa wewe kabla ya wakati Chief!!
Hakuna kinachokufa nje ya wakati wake, bibie, kuendelea kwako kujadiliana na mimi ndiyo unazidi kufichua ujinga wako.

Hii misemo mingine muwe mna ihakiki kwanza ndiyo muitumie siyo mnaitumia tu bila kuihakiki.
 
Hahaha naona bado mnapambana na jurjini sijui jurjani[emoji3] huyu mtu ni mbishi halafu hoja zake za ajabu amekomaa nazo eti watu wajibu hoja zisizo eleweka.

Wanawake waliochini ya himaya yake kazi wanayo.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweli Mimi simuelewi kabisa na wanawake zake wameaminishwa kuteswa na kuolewa wengi eti ni sehemu ya ibada, so hata shule hawakwenda Ila wapate dhawabu atiii.
 
Nataka hoja bibie, hoja hujibiwa kwa hoja siyo kwa maazimio.

Hili nilijua huliwezi na hutoliweza mpaka unakufa.

Nipo....
Hawezi kukulazimisha utambue ukweli aliokwambia....

Hakuna anayeweza kumbadilisha mentality mtu mwenye DELUSION.........

Kule mahospitalini anapopatikana deluded person kamwe hatibiwi kwa maneno tu Bali na dawa..kuanzia za kumeza Hadi sindano.....

Ni kama vile unang'ang'ana UJINGA kwa kukosa UPEO wa fikra beyond the horizon ama umeingizwa KAZINI kwa msukumo wa malipo ya kujikimu kifedha ama vitu....

Watu Aina Yenu...wamejaa huku mitaani.....

Mwanafalsafa mmoja alipata kunena "ukinipa KAZI ya kuhesabu nyota angani,nitaikamilisha haraka,Bali ukinikabidhi jukumu la kuhesabu machizi juu ya MGONGO wa ardhi,sitamaliza".
 


Hahaha mkuu umenichekesha eti deluted person akienda hospital anatibiwa kwa vidonge na sindano na si kwa maneno tuπŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweli Mimi simuelewi kabisa na wanawake zake wameaminishwa kuteswa na kuolewa wengi eti ni sehemu ya ibada, so hata shule hawakwenda Ila wapate dhawabu atiii.


Hatari sana.
 
Hahaha mkuu umenichekesha eti deluted person akienda hospital anatibiwa kwa vidonge na sindano na si kwa maneno tuπŸ˜€
😁😁😁 mkuu wangu huyo anataka wanawake waendelee kuwa slaves....

Hebu ona,mijitu kwa wivu wao wa kitoto inazuia wanawake kuendesha magari..ilihali JIRANI zao UAE mwanamke mwenzao anapaisha ROCKET kwenda anga za mbali Sasa sijajajua Hao wanaume alionao humo chomboni watakwenda kumnanihii mke wa mwenzao aliyebaki DUNIANI?!!!yaani inachekesha Kweli kwa sisi waume KUFIKIRI wanawake kuwa Ni km Misukule isiyojielewa na inayoweza kungonishwa bila ridhaa yao halafu na kila mwanaume anayepita njiani......daaah kweli maJamaa ni mandwanye bin mafulafula..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweli Mimi simuelewi kabisa na wanawake zake wameaminishwa kuteswa na kuolewa wengi eti ni sehemu ya ibada, so hata shule hawakwenda Ila wapate dhawabu atiii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nacheka km Mazuri...unajua Jamaa wanawaumiza hao wanawake..na km ingekuwa wanawapa mwanya wa KUJIELEWA...tungepata mengi ya hao abusers wa KIAKILI,KIMWILI na kihisia....daah it's terrible...hakika ukivaa viatu vyao unauona UTUMWA waliovizwa nao....daah inauma.....
 


Hawajiamini, wanatakiwa wajue kuwa hiyo dunia yao inaelekea ukingoni maana hawako kwenye closed system.
 
Hawajiamini, wanatakiwa wajue kuwa hiyo dunia yao inaelekea ukingoni maana hawako kwenye closed system.
Hakika hawajiamini...hawajiamini kabisaaaa..ushababi wao Ni Mori tu....yaani Jamaa Ni wakusikitikiwa hasa wanawake zao WANAOWAFUGA.....
 
Inasikitisha Sana hii mifumo dume imetesa wanawake kuanzia kiakili kihisia na kila Jambo kwa jina la hizi dini not fair at all na haya mabadiliko ya Sasa Wana msingizia shetani Mara umagharibi in real sense Hawa wanaume kuridhisha hata mke mmoja shughuli Ila Imani eti imeruhusu wawe wengi, huku mwanamke huridhishwi eti tulia ili umutii Mungu, I do believe Mungu ni wa haki, kiukweli wanawake tunapitia mengi Sana aisee hata wanawake wa hyo Imani huwa wanaumia mioyoni Ila vile wameaminishwa Ni Imani wakivumilia ukandamizaji eti wataiona pepo loh. Mimi naamini pepo inaanzia hapa hapa duniani
 
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…