Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Kwa hiyo Uislam wa Ibrahim as,Luqman RA,Musa as nao chanzo chake Ni QURAN?!!Sasa kama unakubali hili, kwanini unakataa ya kuwa hii si Elimu mpya katika Uislamu ?
Elimu zote nyingine hizi machimbuko yake ni katika vyanzo mama vya Uislamu ambavyo ni Qur'aan na Hadithi.
Kwahiyo katika hivyo visa ndiyo kumeelezewa Elimu ya Mantiki au ? Kijana hili nilijua tu hutaliweza kama yalivyo kushinda yale mengine.
Aya gani hiyo uliyo iquote ? Niwekee tena niisome.
Pili, elimu kuwa bahari haimaanishi ya kuwa jambo unatakiwa ujifunze, kuna mambo mengi kutokujifunza ni bora zaidi, kama hii Elimu ya Falsasa,Muziki,Falaki,Mantiki na mfano wa hizo.
Unajua Jurjani uko km mtoto...unapenda kujibu KIWEPESI kusuit ajenda zako....Hili ni suala la dharura, na dharura hukadiriwa kwa makadirio yake kijana.
Halijanishinda hata....ila ttzo lako unapenda kulazimisha kitoto nje ya kanuni Bora za mijadala...Jambo limekushinda hili.
Sasa nakukumbusha tu ya kuwa, usije tena kuandika mambo usiyo kuwa na elimu, utaumia kama unavyoumia muda huu.
Kijana tuliza wenge. Nimecheka sana. Ukishindwa hoja bora utulie, maana kuendelea kwako unaandika ujinga kama huu.Kwa hiyo Uislam wa Ibrahim as,Luqman RA,Musa as nao chanzo chake Ni QURAN?!!
Ni wakati gani Muislamu anaruhusiwa kula Nguruwe ?Unajua Jurjani uko km mtoto...unapenda kujibu KIWEPESI kusuit ajenda zako....
Hammaz ametambaa DEEP...
Wee jamaa ndo Mana tunazodoana....
Kujifunza ama KUITUMIA?!!Sasa kama unakubali hili, kwanini unakataa ya kuwa hii si Elimu mpya katika Uislamu ?
Elimu zote nyingine hizi machimbuko yake ni katika vyanzo mama vya Uislamu ambavyo ni Qur'aan na Hadithi.
Kwahiyo katika hivyo visa ndiyo kumeelezewa Elimu ya Mantiki au ? Kijana hili nilijua tu hutaliweza kama yalivyo kushinda yale mengine.
Aya gani hiyo uliyo iquote ? Niwekee tena niisome.
Pili, elimu kuwa bahari haimaanishi ya kuwa jambo unatakiwa ujifunze, kuna mambo mengi kutokujifunza ni bora zaidi, kama hii Elimu ya Falsasa,Muziki,Falaki,Mantiki na mfano wa hizo.
Inaonekana hata kanuni za mijadala huzijui, na hujazisoma, unapo mtoa mwenzako kwenye mada kisha ukamtuhumu amakutokea hii ni dhulma na katika adabu za mijadala ni kosa.Halijanishinda hata....ila ttzo lako unapenda kulazimisha kitoto nje ya kanuni Bora za mijadala...
Usitoke kwenye reli, na uache uoga.Kujifunza ama KUITUMIA?!!
Unajua lugha yoyote hata kiswahili kina tafsiri Pana....
Aaagh najua utanijia na rejea ZENYE NARROW MINDEDNESS uzitakazo...😁
Unaendelea na ARGUMENTUM ad hominem eee.....Kijana tuliza wenge. Nimecheka sana. Ukishindwa hoja bora utulie, maana kuendelea kwako unaandika ujinga kama huu.
Uislamu ni fani au Dini ? Kijana naona unaruka ruka tu mpaka unashindwa kutofautisha tunachokijadili na kuingiza chanzo Uislamu wa manabii hao.
NimekuzoeaInaonekana hata kanuni za mijadala huzijui, na hujazisoma, unapo mtoa mwenzako kwenye mada kisha ukamtuhumu amakutokea hii ni dhulma na katika adabu za mijadala ni kosa.
Wewe ndio mwoga WA KUTOJIAMINI kuwaacha wanawake kusoma zaidi ya kuwatawisha majumbani...Usitoke kwenye reli, na uache uoga.
Utachekwa,kula nguruwe Ni dharura ili nafsi Isitoke......Ni wakati gani Muislamu anaruhusiwa kula Nguruwe ?
Kiislamu wakati wa dharura haramu huwa halali kwa muda na kwa makardirio yake, ila hapo hapo hakuna dharura ya kuzini.
Majibu madogo ila yamejitosheleza. Nikikuuliza uniambie uwajibu wa mtoto wa kike kusoma hizo fani za utabibu kwa nchi yetu hii ni upi ? Wewe usirauke, jibu hoja kielimu usiruke ruke.
Sasa kwanini umewaingiza Manabii wakati unajua kabisa ya kuwa Uislamu upo tangu Adamu ?T
Unaendelea na ARGUMENTUM ad hominem eee.....
Hilo neno DINI Ni la KIARABU na Lina tafsiri kubwa....
Haya Uislam Ni DINI ...usizunguke
Hammaz ameshakueleza kuwa FANI YA MAGONJWA YA KINA MAMA Ni Pana...nyinyi mnakataa wake zenu kutibiwa na wanaume....hamwoni Kuna umuhimu kwa WATOTO WA KIKE kuwa wengi OBSTETRICIAN GYNECOLOGISTS wawatibu wanawake wenzao?!!Ni wakati gani Muislamu anaruhusiwa kula Nguruwe ?
Kiislamu wakati wa dharura haramu huwa halali kwa muda na kwa makardirio yake, ila hapo hapo hakuna dharura ya kuzini.
Majibu madogo ila yamejitosheleza. Nikikuuliza uniambie uwajibu wa mtoto wa kike kusoma hizo fani za utabibu kwa nchi yetu hii ni upi ? Wewe usirauke, jibu hoja kielimu usiruke ruke.
Nacheka sana, naona umelivagaa kijana, Elimu ya dini ndiyo faradhi kwa kila muislamu, ila elimu za mazingira siyo lazima kila mtu asome kijana.Utachekwa,kula nguruwe Ni dharura ili nafsi Isitoke......
Elimu Ni faradhi kwa kila BINADAMU...kwani ile SOMA KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU haiwahusu wanawake kina cariha?!!!
Kina nani wanakataa kijana, ndiyo maana nikasema jambo la kina mama kutibiwa na wanaume ni jambo la kidharura. Shida unakurupuka, lakini nikakuonyesha ya kuwa nionyeshe ulazima wa mwanamke huyo au mabinti hao kusoma fani za utabibu, huonyeshi. Je kutokusoma kwao hizo elimu kutafanya hao wanawake wasitibiwe au ?Hammaz ameshakueleza kuwa FANI YA MAGONJWA YA KINA MAMA Ni Pana...nyinyi mnakataa wake zenu kutibiwa na wanaume....hamwoni Kuna umuhimu kwa WATOTO WA KIKE kuwa wengi GYNECOLOGISTS wawatibu wanawake wenzao?!!
Hata leo hii mtoto wa kiume ni haramu kuchanganyika na mtoto wa kike, na kufanya hivyi madhara yake ni makubwa sana, sadw tumekatazwa kuangamiza nafsi zetu.Hammaz ameshakueleza kuwa FANI YA MAGONJWA YA KINA MAMA Ni Pana...nyinyi mnakataa wake zenu kutibiwa na wanaume....hamwoni Kuna umuhimu kwa WATOTO WA KIKE kuwa wengi OBSTETRICIAN GYNECOLOGISTS wawatibu wanawake wenzao?!!
Unajitekenya mwenyewe kwani Ulisema kuwa rejea ya Elimu(umezifunga katika fani) Ni Quran pekee,nikakuulza hao manabii walishushiwa Quran Ili kiwe chanzo Chao Cha ELIMU....Sasa kwanini umewaingiza Manabii wakati unajua kabisa ya kuwa Uislamu upo tangu Adamu ?
Hakuna Ad Hominem hapo,zaidi ya wewe kutumia "Straw Man Argument" kudhoifisha hoja yangu, na matokeo yake unayaona ni kutapa tapa.
Sasa tunaongelea fani mustaqila na si dini, bali dini kama chimbuko.
Nimekwambia hivi ukiweza kuonyesha ya kuwa Elimu ya Mantiki si mpya ni chumbuko laki ni Qur'aan na Hadithi, mimi nitaomba huu uzi ufutwe.
Una Utoto mwingi Sana..kumbuka tulikotoka....Majuzi ulipinga mtoto wa kike asisome...Leo unasema kutibiwa Ni DHARURA?!!!Kina nani wanakataa kijana, ndiyo maana nikasema jambo la kina mama kutibiwa na wanaume ni jambo la kidharura. Shida unakurupuka, lakini nikakuonyesha ya kuwa nionyeshe ulazima wa mwanamke huyo au mabinti hao kusoma fani za utabibu, huonyeshi. Je kutokusoma kwao hizo elimu kutafanya hao wanawake wasitibiwe au ?
Umakini unahitajika sana. Ulisema Elimu ya mantiki ni katika Elimu za kiislamu na zinafundishwa,nikakwambia Mantiki ni Elu mpya na si fani za Uislamu, nikalithibitisha hili lakini wewe umeshindwa kuthibitisha madai yako.Una
Unajitekenya mwenyewe kwani Ulisema kuwa rejea ya Elimu(umezifunga katika fani) Ni Quran pekee,nikakuulza hao manabii walishushiwa Quran Ili kiwe chanzo Chao Cha ELIMU....
Je Ilham Zama hz imekoma?!!