Inaonekana humjui vizuri ndiyo maana unasema hivyo, uthaymeen mule hajaandika story za vijiweni wala ngano za kusadikika, bali aliandika habari na nukuu toka kwa yule aliye waumba hao wanawake. Sasa vipi asiwa jue vizuri wakati amenukuu habari toka kwenye kinywa twahara naye toka kwa Malaika muheshimiwa naye Malaika muheshimiwa ametoa kwa Mola muumba.Let me tell you sthn...
Yaa Akhui Fasbir Swabran Jamila,kwanini una wahka kiasi hcho?!!
Uthaymeen ninamjua vyema....mno Tena....Ila sioni km MWANAUME Yule ANAWEZA kuwajua wanawake zaidi ya wajijuavyo......
Mkuu we acha tu....Jurjan Ni mbishi hafu hajui anachosimamia kwa kweli, Yani wanawake tuna muumiza Sana kichwa
Nilikwambia hivi huko nyuma ya kuwa, nyinyi ndiyo wake zetu, watoto zetu, na tukiwaelimisha nyinyi ndiyo tumeielimisha jamii, sasa kwanini msini niumize kichwa bibie ?Jurjan Ni mbishi hafu hajui anachosimamia kwa kweli, Yani wanawake tuna muumiza Sana kichwa
Mimi nipo. Jenga hoja siyo unauliza maswali yakitoto na yasiyo kuwa na tija..Mkuu we acha tu....
Ninamsubiri kwa hamu...
We Jurjani Taal Taal Yaa Akhi ul Kiraam!!
Kwa hiyo tusifanye kazi?Ni miongoni mwa sababu hizo.
Kwani jukumu la kuwasimamia watoto nyumbani ni nani ? House girl au mama mwenye watoto ?
Nimeshangaa mimi[emoji23][emoji23][emoji23]watu wanaopenda kulaumu wengine ni shida
Soma nilicho kiandika mzee, usirudie tena kuuliza hilo swali, sababu tatizola kutokuwa makini ndiyo sifa unayo pambika kwayo.Kinachofanya uhisi sijasoma?
Mimi nimekuwekea option unisaidie kunijuza ulichokiandika kwa kujibu ndiyo au hapana maswali haya nashangaa kwanini hujibu.
kwaiyo wanawake wenye wanajishughulisha na shughuli za kimaendeleo ikiwemo biashara pamoja na kujichanganya kijamii katika mishe zingine umewahesabu kama mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine au ni wanawake wasiofaa kufatwa kulingana na vitu hivyo nilivyo vi-orodhesha?
Nime bold plus italic hapo nataka jibu la ndiyo au hapana kwa kila swali
Bibie landa wewe kwa sababu ni mwanamke mwenzio atakuelewa.Nimeshangaa mimi
Oooo now you have come,you mean Muhammad Uthaymeen Quoted from Al Furqan Karim?!!!!Inaonekana humjui vizuri ndiyo maana unasema hivyo, uthaymeen mule hajaandika story za vijiweni wala ngano za kusadikika, bali aliandika habari na nukuu toka kwa yule aliye waumba hao wanawake. Sasa vipi asiwa jue vizuri wakati amenukuu habari toka kwenye kinywa twahara naye toka kwa Malaika muheshimiwa naye Malaika muheshimiwa ametoa kwa Mola muumba.
Sasa, nazidi kucheka unapo sema Uthaymeen hawajui wanawake vizuri. Nina toka na kujifaragua ya kuwa anawajua vizuri mno,tena siyo kwa story za vijana ambao husema kumjua mwanamke kunataka usome mavitabu na vitabu, mimi mwenyewe nimewajua wanawake kwa kauli moja tu.
Ndiyo.Kwa hiyo tusifanye kazi?
Inaonekana humjui vizuri ndiyo maana unasema hivyo, uthaymeen mule hajaandika story za vijiweni wala ngano za kusadikika, bali aliandika habari na nukuu toka kwa yule aliye waumba hao wanawake. Sasa vipi asiwa jue vizuri wakati amenukuu habari toka kwenye kinywa twahara naye toka kwa Malaika muheshimiwa naye Malaika muheshimiwa ametoa kwa Mola muumba.
Sasa, nazidi kucheka unapo sema Uthaymeen hawajui wanawake vizuri. Nina toka na kujifaragua ya kuwa anawajua vizuri mno,tena siyo kwa story za vijana ambao husema kumjua mwanamke kunataka usome mavitabu na vitabu, mimi mwenyewe nimewajua wanawake kwa kauli moja tu.
I
Duuuh kazi kwelikweli...... |
Sasa batilisha kauli yako, na utulize akili.Oooo now you have come,you mean Muhammad Uthaymeen Quoted from Al Furqan Karim?!!!!
Kumbe umekuja KIDINI Tena kihafidhina kwa kumquote Wahabbi Uthaymeen?!!!
Don't call him Salafi...kwani Salafiuswalih Passed centuries before him....na Wala si tabi ittabiin......
Bora mseme nyie wanaume tukisema sio wanawake tunaonekana hatufaiMkuu we acha tu....
Ninamsubiri kwa hamu...
We Jurjani Taal Taal Yaa Akhi ul Kiraam!!
Umeanza Ngonjera eeee?!!Sasa batilisha kauli yako, na utulize akili.
Haya mengine uliyo yaandika huna ujuzi nayo, ndiyo maana nikasema humjui Uthaymeen.
Ama kuhusu watu wa sunnah kuitwa "Mahawabi" hili halijaanza leo kwani mara nyingi watu wazushi na matamanio huwa wanapenda kuwaita watu walio kuwepo kwenye haki majina mabaya, kama vile "Mujasima" na mfano wa hayo.
Nakupa faida, kuna Salaf na kuna Salafi.
Kwani DINI unaichukuliaje mzee ? Kitu kidogo nini ?
Sasa jikite kwenye mada, viatu unavyo taka kuvivaa si saizi yako vinakupwaya hivi.
cariha hao tunawajua vema mkuu wangu,unajua TAFSIRI ZAO hasi zinaendelea Kuacha MAKOVU ya hovyo ndani ya mioyo ya wanawake throughout the globe.....Bora mseme nyie wanaume tukisema sio wanawake tunaonekana hatufai
Hili linakupwaya ona unaandika mambo ambayo hata nikikupa miaka kadhaa huwezi kuleta ushahidi wa haya unayo yaandika.Umeanza Ngonjera eeee?!!
Mimi DINI siichukulii kiwepesi....Ila huko uliko ninakujua vyema na Wala hakuwezi kukawa ni REJEA yetu wote.....
Huko Uliko si MIZANI ya DINI Unayoiamini....
Wewe Una dhehebu lako Lenye HISTORIA Ndefu ya KUPOTOSHA Mambo kwa FAIDA ya wafalme wa Saudi Arabia....
Mko DUNIANI kila eneo....mnamwagiwa mipesa ya minoti kueneza CREED Yenu hasa kwa WATU WAJINGA na wenye njaa.......
I dont like to dwell into it,to avoid temper tantrums between us na hapa sio jukwaa la DINI mnalopenda,is it?!!
Mizani ya DINI ni wapi mzee ? Ndiyo maana nilikwambia kule Uthaymeen hakuandika story za vijiweni, bali ni aya na hadithi, sasa uniambie wewe unae mjua Uthaymeen, kipi alichokiandika si sahihi au ameenda kinyume na mafundisho ya DINI.Mimi DINI siichukulii kiwepesi....Ila huko uliko ninakujua vyema na Wala hakuwezi kukawa ni REJEA yetu wote.....
Huko Uliko si MIZANI ya DINI Unayoiamini....
Kwani mimi dhehebu langu linaitwaje kaka mkubwa ?Ndefu ya KUPOTOSHA Mambo kwa FAIDA ya wafalme wa Saudi Arabia....
Mko DUNIANI kila eneo....mnamwagiwa mipesa ya minoti kueneza CREED Yenu hasa kwa WATU WAJINGA na wenye njaa.......
Acha Kujitetea..Nani asiyejua tofauti hiyo unayong'ang'ana....it was a typing error....na ushahidi wa kuwa mnatumika kwa Malengo ya KISIASA za wafalme wa Najd Uko available to every sane person,hakuwezi kukubalika hata siku moja......Hili linakupwaya ona unaandika mambo ambayo hata nikikupa miaka kadhaa huwezi kuleta ushahidi wa haya unayo yaandika.
Sasa kama hujui hata tofauti ya Salaf na Salafi,nini unalo lijua kuhusu sisi ?
Nacheka sana, viatu unavyotaka kuvaa vinakupwaya, ona unavyo onekana kituko.
Turudi kwenye mada.