Mkuu Wala Sionekani Kituko kwani labda wengine hawaujui undani wenu....Kwani mimi dhehebu langu linaitwaje kaka mkubwa ?
Kijana nimekwambia hivi, viatu ulivyo vivaa vina kupwaya, ona unavyo onekana kituko.
Hapa umejichanganya mzee, nipe tofauti za hayo maneno mawili.Acha Kujitetea..Nani asiyejua tofauti hiyo unayong'ang'ana....it was a typing error....na ushahidi wa kuwa mnatumika kwa Malengo ya KISIASA za wafalme wa Najd Uko available to every sane person,hakuwezi kukubalika hata siku moja......
Weka ithibati kama wewe unasema ukweli mzee. Hizi story nimeanza kuzisikia zamani tangu kipindi cha Khalifa Khamisi na kitabu chake alichokiita "Uwahabi nyuma ya pazia la Uyahudi" kama sikosei, japo nilikuwa mdogo kiumri kile kitabu nilikinunua kipindi hicho sina maarifa.Your Sponsors are very rich persons na wanamwagia mipesa Kwenu kwa kuwa mnawahakikishia mtakuwepo kusambaza UJINGA WAO kwa kila sikio linalosikia....
Nimekuuliza dhehebu letu sisi linaitwaje ? Ndiyo huo Uwahabi au ? Ukisema Uwahabi ni Dhehebu au Usalafi ni dhehebu, nitakuomba ushahidi wa kiusulu na kisheria ya kwamba ili dhehebu liitwe dhehebu linatakiwa liwe na sifa gani, ukishindwa, itabidi unitake radhi tena kwa mara nyingine.Mkuu Wala Sionekani Kituko kwani labda wengine hawaujui undani wenu....
Viatu Vimenibana kabisa...
Wamefanywa kama wanasesere, badala walinde heshima zao wanataka tufanane na sisi, wao wanatunga mimba sisi tunamwaga mbegu, lakini bado tu ? Utasikia kauli zao hatutaki kuwa chini yenu,hivi kuna nazi iliyo shindana na jiwe ? Hii ni asili na siyo tatizo.Jiandae kuambiwa katafute hela au insecure 🤣🤣🤣!!!
Hayo ni majibu ya takeaway ya warembo wa jf!
Walimu Wazuri ndio NYINYI?!!!Wamefanywa kama wanasesere, badala walinde heshima zao wanataka tufanane na sisi, wao wanatunga mimba sisi tunamwaga mbegu, lakini bado tu ? Utasikia kauli zao hatutaki kuwa chini yenu,hivi kuna nazi iliyo shindana na jiwe ? Hii ni asili na siyo tatizo.
Natamani sana hawa wanawake wa kileo wangepata walimu wazuri.
Nasubiri shahidi zako mzee, na ujibu maswali niliyo kuuliza.Walimu Wazuri ndio NYINYI?!!!
Mtawafundisha Nini zaidi ya Mateso ya KIFIKRA na KIMWILI?!!!!!
Acha kutuchekesha....Innal Batwila Kana ZAHUKA!!!
Rejea WAHABI FITNA EXPOSED Cha Sayyid Akhtar Rizvi.....Nasubiri shahidi zako mzee, na ujibu maswali niliyo kuuliza.
Si umeniita, nimeitika chief.
Tuendelee....
Naendelea kukuonyesha ya kuwa viatu ulivyo vaa vina kupwaya.Jurjani Unajikoroga...
Umekuja kututambia kuwa wewe ni WAHABI mfuasi wa al marhum Shaykh Muhammad Abdulwahab wa Najd?unaendelea kujitamba kuwa unajiita ANSWAR US SUNNAH?!!!
Huyu mzee Mshia alikuwa Sayyid Akhtari Rizv walipata kuishi hapa Tanzania, nilikuwa nacho kitabu chake hicho kwa lugha ya Kiswahili. Mwanae aliitwa Muhammad kama sikosei.Rejea WAHABI FITNA EXPOSED Cha Sayyid Akhtar Rizvi.....
Soma hicho kwanza
Nani alikuwa wa mwanzo katika huu Usalafi huko Misri ?Hawa SALAFI walianza Karne moja na KIDOGO huko Misri......
Mimi Sio Mshia Wala Sina ushabiki makundi mliyomo.....Huyu mzee Mshia alikuwa Sayyid Akhtari Rizv walipata kuishi hapa Tanzania, nilikuwa nacho kitabu chake hicho kwa lugha ya Kiswahili. Mwanae aliitwa Muhammad kama sikosei.
Nilijua tu utakuwa Mshia, sababu hawatuiti ya kuwa sisi ni Wahabi isipokuwa Mashia na Wanaharakati.
Mashia mna matatizo sana, baada ya Saudia kuwazuia kupeleka shirki zenu Makka mkaana king'aka na kuufadhilisha mji wa Karbala kuliko mji wa Makka na Madina.
Kile kitabu hakina ukweli wowotevna Khalifa Khamis alikopi humo habari zake.
Hao wa Karibuni ni kina Muhammad Abduh na Rashid Rida wanaofanya Rejea kwa Shykh Ibn Tayymiah na Ibun Kathir.....Nani alikuwa wa mwanzo katika huu Usalafi huko Misri ?
Kama unajua ya kuwa karne tabu bora walikuwa maswahaba, matabiini na walio wafata tabiini, Qur'aan inawazungumzia vipi Maswahaba na kuna ubaya gani sisi kuwafata maswahaba wa mtume ?
Kuna kitabu chenu kimoja chenu kimoja ninacho, kinauzungumzia usalafi ni vituko tupu.
Sasa ulitakiwa ujue haya yametokea wapi ?
Basi soma historia na uwaulize wakubwa katika wale unao waamini je ni ipi tofauti kati ya miaka hii na miaka iliyopita ? Kama zama hizi tunasema ndiyo zimestaaribika iweje mmomonyoko wa maadili umekuwa mkubwa sana ?