Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Endelea kukaa kwenye nyumba za tembe achana na nyumba za kisasa tulizoiga kutoka magharibi,
Endelea kupanda punda achana na magari na ndege za magharibi,
Vaa ngozi za wanyama acha suti na kanzu za waarabu,
kukeketa wanawake,
Rudi kwenye utawala wa machifu achana na demokrasia.

Unataka wasiwepo walinzi wa kike ili mke awe anapapaswa na wa kiume kwenye ukaguzi?

Hutaki askari wa kike kwa ajili ya kushugulika na wanawake?

Hutaki madaktari wengi wa kike wanawake waweze kushughulikiwa mambo yao kwa fargha zaidi?

Usingependa kuwa na Kiongozi Bora kama Angel Merkel au

Usingependa kuiona dunia ikiwa na kina Marie Curie wengi zaidi,mvumbuzi wa radioactivity aliyetoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya x-ray,mionzi na tiba za cancer?

Nawaonea huruma watoto wako wa kike kwa kuwa na baba kama wewe,Namshanga na kumsikitikia mwanamke aliyukubali kuleta kiumbe duniani pamoja na wewe.
 
Kinachowatoa majumbani ni mazingira ambayo wameyakuta. Wakiwa na miaka 3 wanapeleka chekechea, baadae shule ya msingi mpaka chuonin ambapo huwa na ujuzi fulani, na hapo huingia kwenye nguvukazi ya taifa..
Hawana jibu kwa swali lako zaidi ya hili.
 
They Call Themselves TRADITIONALISTS😁😁😁

I call them insecure fools!
Haiwezekani mtu awe anateseka kwa assumptions zake mwenyewe kuhusu mahitaji, malengo, na maamuzi ya jinsia moja.Anaongea kuhusu wanawake kana kwamba hawana agency yoyote.Mara ooh,wametolewa majumbani,wanadhalilishwa,wanafuata upepo.Nini kinamfanya adhani hao wanawake anaowaongelea hawajafanya maamuzi ambayo ni sahihi kwao na wala sio nia wala madhumuni yao kufurahisha watu kama yeye?

Walijisemea wanyatunzu, only weak men suffer in the presence of successful women.
 
Wewe Shia na shahidi huna kwani hata Mashia nao hujiita Ahlu Sunnah wal Jamaa, ila tunap wapima kwenye mizani ni baina Mashariki na Magharibi.
 
Hao wa Karibuni ni kina Muhammad Abduh na Rashid Rida wanaofanya Rejea kwa Shykh Ibn Tayymiah na Ibun Kathir.....
Ona ulivyo kuwa mjinga, kwahiyo kila anae rejea kwa maimaamu hao wawili ni Salafi ?

Wewe wa kupigwa makofi.
 
Akitafute wapi? Wewe elezea kwa kifupi yaliyo katika hicho kitabu
Mtandaoni.

Siwezi kuelezea kwa kifupi mzee, ndiyo maana nikamtajia jina la kitabu na muandishi ili akajisomee mwenyewe.
 
Ni miongoni mwa sababu hizo.

Kwani jukumu la kuwasimamia watoto nyumbani ni nani ? House girl au mama mwenye watoto ?
Watoto wakishaanza shule unakaa nyumbani kusimamia nini siku nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…