Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
😂😂😂😂Wewe Shia na shahidi huna kwani hata Mashia nao hujiita Ahlu Sunnah wal Jamaa, ila tunap wapima kwenye mizani ni baina Mashariki na Magharibi.
Hizi faradhi kifaaya (elimu walizosoma wachache na kuwatosheleza wengine)kama vile udaktari urubani n.k.Kuna elimu za lazima na elimu ambazo wakisoma wachache hutosheleza wengine, ndiyo maana leo hii siyo watu wote ni Wahandisi na siyo watu wote ni Madaktari. Tafakari.
Siyo kweli, shule inachukua sehemu ya siku.Shule inachukua muda mwingi sana watoto wakishaanza
Wazazi wana lea nini wakati mama na yeye anajiandaa kwenda kazini ?kabla ya kwenda shule mlezi ni wazazi wakisaidiana na watumishi wa ndani
Muda wa malezi ni muda wote na jukumu hili ni la mama kama yupo hai.muda wa malezi si maalumu ni jukumu la maisha kumlea na kumtunza mtoto hata kama akijiweza basi hata utamshauri
Kwa hiyo kama hakuna ulazima wa kufanya kazi ndo haifai ?Wewe kwanini unafanya kazi ? Unaweza kuniambia kwanini na kunionyesha ulazima uko wapi ?
Sasa hujatuambia aliwaambiaje kuhusu utulivu na kujiheshimu ?Basi labda ndio maana una mtizamo huu ulionao.,
She is the best ktk maadili, juzi tu katoka kuusia mabinti wajiheshimu na wawe watulivu
Kwani kumiliko mali mpaka utoke na kwenda kuzitafuta bibie ?Ss km ruksa kumiliki mali...shida nini kutoka kujishughulisha ?
👍👍👍👍Hizi faradhi kifaaya (elimu walizosoma wachache na kuwatosheleza wengine)kama vile udaktari urubani n.k.
Sasa hizi elimu za wachache kuwatosheleza wengine ikiwa hao wachache watazisoma mfano wanawake kumi,watatu wakasoma udaktari na saba wakabakia.
Je hawa saba waliobaki inakuwa haifai kwao kusoma ati kwa kuwa hawa watatu wameshasoma au inakuwa sio lazima kwao?
Na je hawa saba wakisema wasome huo udaktari wanatakiwa wakatazwe ati kwa kuwa kuna wattu tayari ama waachwe ?
Kama wakatazwe naomba ushahidi wa katazo hilo limetoka wapi ?
Kama waachwe wasome basi hutakiwi kupinga kwa namna yeyote wanawake kusomea fani mbalimbali kama hizo kwa hoja ya kuwa kuna ulazima gani..
Hiyo kuna ulazima gani wa kusoma unayosema kwani na wewe tukikuuliza kuna ulazima gani kuwa wao wasisome ?
Rejea Girl Power Conference 2020..na Hata Mimi nimeandika makala yake humu ndani.Sasa hujatuambia aliwaambiaje kuhusu utulivu na kujiheshimu ?
Haipingiki...👍👍👍Wanaume wengi wa miaka hii wanefeli kwenye kutimiza wajibu wao! Usipoangalia watoto watalala njaa
Hivi kwanini uumizwe na Mambo ya wanawake, dunia imechange you have to accept it mengine wewe Kama mwanaume huwezi kuelewa mpaka uwe mwanamke, usiwe Kama wasaudia wanaume wazima Wana discuss Mambo ya hedhi ya wanawake bila wanawake wenyewe kuwepo na kuelezea Mambo yao ya hedhi.
In short wanaume insecure tuacheni wanawake na Mambo yetu nyie Nani wakutupangia mtukome kabisa
Hawa wanaume sijui wanatuchukuliaje, Yani wanatuona sisi ka kitu kisicho thamani wanakera Sana. Na sisi hatuwezi acha kufanya kazi tujipatie kipato maana ukimtegemea mwanaume lazima ufe maskiniHahahhaaa...kwamba wanawake ni bidhaa....lmao..! Hizo bidhaa ni zipi...
Mfano mimi hapa Sasa hivi nimetokaofisi Fulani...nineenda Kama mfanyabiashara sijaenda Kama bidhaa anayosema mtoa MADA...mbona huko tunapokelewa kiheshima Sana..kwanza Hakuna heshima kubwa Kam uonekane mwanamke mtafutaji...hivi hizo bizaa huwa zinakuwaje?mie binafsi sijawahi hitaji kitu nikanyanyapaliwa kisa mwanamke...hahaha! Mxiew
Hao WANAUME wenzetu insecure....Hawa wanaume sijui wanatuchukuliaje, Yani wanatuona sisi ka kitu kisicho thamani wanakera Sana. Na sisi hatuwezi acha kufanya kazi tujipatie kipato maana ukimtegemea mwanaume lazima ufe maskini
Mawazo mgando gani?Niliposoma kichwa cha habari tu nikajisemea huyu Nyauba ana mawazo mgando
Mama samia suluhu ni mfano hai wa mwanamke anayejitambua.Maisha Ni Mtizamo..
Wako Wanawake Waliokwenda Vyuo na kupata Astashahada,Stashahada,Shahada na zaidi,Je Wakae NYUMBANI na wasifanyie kazi taaluma zao?!!!
Niliwahi Kukutana na Dr.Mmoja kijana aliyepata PhD Kabla ya kufika 37 aliniambia ametoka kuoa,nikategemea ataniambia Ni msomi mwenzake,akanieleza hapana ni form 4 leaver na mke ana 26 toka amalize kidato Cha 4 alikuwa nyumbani kwao akisaidia biashara za kwao.Akanijulisha kuwa wamekubaliana atakuwa ni HOUSE WIFE.
Kupanga ni kuchagua!
Mawazo mgando gani?
huoni kama mnamezeshwa sumu kwenye mambo ya kipuuzi,kuliko mambo yanayowadhalilisha utu wenu,asilimia kubwa ya wanawake wanatumika kama kivutio cha mambo mbalimbali bila kujua kama wanadhalilishwa.