Swali kwa wapinzani: Je, Samia agombee 2025 au ampe kijiti chuma kingine kama Magufuli?

Anatakiwa kiongozi mwenue sifa zakuongoza wananchi sio kiongozi mwenye sifa za rais mwingine.Kuchagua rais kwasababu anafanana na rais fulani huo ni ujinga.Nchi inatakiwa itoke kwenye ujinga wakutegemea kiongozi mmoja kwenye kila kitu.
Kiongozi mwenye falsafa kama za Magufuli,
 
Lissu anasema Magufuli alikuwa mzalendo kuliko Samia, mimi nauliza je aletwe Magufuli mwingine sababu ni mzalendo? Hayo ya kusema nataka wasio wana CCM wauawe sijayasema mimi, mimi nanukuu kauli za Lissu na wanachama wengine tu wa CDM
 
Rudisheni kwanza Bandari zetu, hatuna shobo na sijui chuma sijui mbao?!. Tunahitaji Bandari zetu mlizouza kifisadi.
 
Nimejipendekeza wapi boss kuuliza tu mtazamo wa wapinzani ni kujipendekeza?
 
Huyo ni pimbi hajui kuwa asilimia kubwa ya wanaompinga mma Abdul ni maccm na hata yeye mwenyewe aliwahi kusema kuwa wapinzani wake ni wenye kuvaa mashati ya kijani.
Kwa hiyo Chadema hamumpingi sana? Au ule mtazamo wa Lissu kuwa Magufuli ni bora kuliko Samia hamumuungi mkono?
 
Serikali ya CCM👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
ishu ni katiba wala sio rais. weka katiba ya warioba na tume huru kisha acha rais samia aendelee tena na wabunge/ mawaziri wake afu tuone.
Kama Katiba hii hii isipobadilika, ni afadhali Magufuli mwingine aje au Samia aendelee?
 
Hawatakimbilia tena Ubelgiji na Canada?
Asiegopa kifo nan? Ushanusurika kifo na mtesi wako kashika madaraka utaacha kimbia? Au ulitaka wabaki wapambane na mmiliki wa majeshi? Yaani ww hata ungekoswakoswa tu na risasi natumai mpaka leo ungeona bongo kama jehanam, usingetia mguu!!
 
Asiegopa kifo nan? Ushanusurika kifo na mtesi wako kashika madaraka utaacha kimbia? Au ulitaka wabaki wapambane na mmiliki wa majeshi? Yaani ww hata ungekoswakoswa tu na risasi natumai mpaka leo ungeona bongo kama jehanam, usingetia mguu!!
Kwani ni Magufuli alitaka kuwaua?
 
Mbona mama yuko fresh hiv mnataka malaika ndio awaongeze au.yule mlisema dictator huyu kaja kaeka mambo yote mliokua mnalalamika bdo mnaleta chuki
Huyu hajiwezi ndio shida. Angekuwa na sauti ya mamlaka na kusimamia rasilimali ingekuwa sawa. Sasa yeye yupo pamoja na watesi wetu wezi na mafisadi, wazembe kazini yuko nao bega kwa bega. Vyeti feki wote anawa host
 
Vile UVCCM wanafuatilia kwa ukaribu ufisadi wa 'Mama' wa Bandari😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…