Mimi huwa nasave jina la mtoto yaani kama wewe ni mama Shuku namba yako nasevu ShukuMie mtu yeyote mwenye mtoto, namsave "baba fulani" au "mama fulani"
Mimi wa kwangu kwa sasa ni Mh RC wa Mkoa X.Nimekaa hapa nikiwaza baada ya siku kwenda ndivyo sivyo!
Soon naelekea kwenye utu uzima mkamilifu, nika waza siku mtoto wangu akiwa mtu mzima wa kujitegemea akisha kuwa na maisha na familia yake , hivi kwenye contact nita m save kwa jina gani .
Jina lake la kuzaliwa , ama title yake kwangu, au baba/mama fulani kama majina ya watoto wao?
Swali kwa wazazi watu wazima ume save contact ya mwanaa kwa jina gani.
Tchaoo.
πππ kwanini Shuku? Umeishi songea mahi?Mimi huwa nasave jina la mtoto yaani kama wewe ni mama Shuku namba yako nasevu Shuku
ππ Nimeishi mahi..miaka miwiliπππ kwanini Shuku? Umeishi songea mahi?
Majina ya Shuku yako kibao, Shida, Bure, Bahati, Shuku.
Alooo.
Hapo sawaa, ila nimecheka sana uliposema Shuku.ππ Nimeishi mahi..miaka miwili
Kwa nini πππ hata mimi jita limekuja tuHapo sawaa, ila nimecheka sana uliposema Shuku.
πππ
Mbona alishatumbuliwaMimi wa kwangu kwa sasa ni Mh RC wa Mkoa X.
Hata nikimpigia nampa heshima ya URc wake.
Mbona alishatumbuliwa