ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Aaa
Sasa sheria iwekwe, kila mtu na simu yake, mambo ya kukaguana hapana, hatupo polisi bhana..
Eeeh usiende mbali shem,
Aaah sasa nakuelewa, kwa hiyo nikosave mama Jane inaweza kusaidia zoezi la kumtafuta huyo mama liwe gumu?😅😅😅Umenikumbusha wakati fulani jamaa mmoja alimsave mdada jina lake na anapofanya kazi....Sasa si wakaanza ku'flirt bhana..Mke akazifuna msg...Unaweza kuelewa Zoezi la Mke kumpata mhusika ilikuwa rahisi namna gani?😁
Na unaanzaje kuwa na Shem mwingine kwanza? Sasa hivi nimerudi rasmi Shem Bae..
Sasa sheria iwekwe, kila mtu na simu yake, mambo ya kukaguana hapana, hatupo polisi bhana..
Eeeh usiende mbali shem,