Swali kwa wazazi wenye watoto wakubwa

Swali kwa wazazi wenye watoto wakubwa

Mkuu Kiranga kuna watu wakishakuwa wazazi huwa hawapendi kuitwa majina yao, wanaona kama unawakosea heshima. Japo inaudhi maana watu wanasahau hata kwamba watu wana majina yao...kimtaani mtaani huku kama kuna mahali wanaandika majina utasikia 'niandike mama nani'?
Huu utamaduni unatokana na jamii yetu watu kupenda ukubwa. Hilo ni tatizo.

Wadogo wanaonekana kama ni nusu watu, mtu kamili ni mkubwa.

Na ukubwa hautimii mpaka uwe na mtoto.

Na unavyozidi kuwa na watoto zaidi ndiyo ufahari zaidi.

Ni mabaki ya ujima na uchumi wa kufanya utumwa wa kifamilia wa kuzaa watoto wengi walime.

Tukithamini utu wa mtu kama mtu bila kuupima kwa nani mkubwa nani mdogo, nani kazaa nani hajazaa, tutaacha haya mambo.

Ila inawezekana tusiache kwa sababu inawezekana tusifikie point hiyo.
 
Ingekuwa rahisi kama watu wangekuwa na mawazo kama haya ila kwa bahati mbaya hali haiko hivyo. Unakutana na mtu njiani mnasalimiana tu vizuri unasikia 'haijambo familia' na hapo mtu hata hamjuani ila amekuangalia tu akahitimisha una familia
 
Familia lazima unayo mkuu, kama huna mke na watoto si una wazazi, ndugu zako, au inakuwa wewe mkiwa yatima huna wazazi wala ndugu halafu mtu anakuuliza hivyo?

Familia si watoto wako tu, hata wazazi wako ni familia yako.
 
Nimekaa hapa nikiwaza baada ya siku kwenda ndivyo sivyo!

Soon naelekea kwenye utu uzima mkamilifu, nika waza siku mtoto wangu akiwa mtu mzima wa kujitegemea akisha kuwa na maisha na familia yake , hivi kwenye contact nita m save kwa jina gani .

Jina lake la kuzaliwa , ama title yake kwangu, au baba/mama fulani kama majina ya watoto wao?

Swali kwa wazazi watu wazima ume save contact ya mwanaa kwa jina gani.

Tchaoo.
Soon unaelekea kwenye utu uzima mkamilifu....
Kwa hiyo sasa hivi una miaka mingapi na lini utakuwa mtu mzima kamilifu ?
 
Familia lazima unayo mkuu, kama huna mke na watoto si una wazazi, ndugu zako, au inakuwa wewe mkiwa yatima huna wazazi wala ndugu halafu mtu anakuuliza hivyo?

Familia si watoto wako tu, hata wazazi wako ni familia yako.
Ooh kumbe, nilijua mtu akiuliza hivyo anamaanisha familia niliyotengeneza mimi
 
It depends na jinsi unavyo mchukulia mwanao. Msave hata son, au daughter. Simple yet maana inabak pale plae
 
Nimefurahi sana kukuona💪
Sipendi kumsave mtu majina ya watu wengine, eti Mama John nope, nakusave Makiwendo...ili ukipiga nikuitr kwa majina yako.
Kaka yangu tuliyefuatana nimemsevu jina lake basi mtu mwingine akiona ananiangalia jicho fulani ambalo sio zuri 😁😁 ila sibadilishi ng'o
 
Uncle? Labda brother 😁
Unaona sasa hata hapa tunavyopenda ukubwa, yani tuna u negotiate kama pesa vile 😂😂

Yani ushajua nikishakuwa Uncle ndiyo unanipa Shikamoo, ukishanipa Shikamoo ndiyo huna ujanja tena.
 
Nimefurahi sana kukuona💪
Sipendi kumsave mtu majina ya watu wengine, eti Mama John nope, nakusave Makiwendo...ili ukipiga nikuitr kwa majina yako.
Nimefurahi pia Shem Bae...
Been kitambo sana...Hope all is well

Sasa hiyo kumsave mtu majina yake yote kuna faida na hasara zake...hasa kwenye marriage...ndiyo kama ile mtu unasaviwa hadi unapofanya kazi..😀
 
Unaona sasa hata hapa tunavyopenda ukubwa, yani tuna u negotiate kama pesa vile 😂😂

Yani ushajua nikishakuwa Uncle ndiyo unanipa Shikamoo, ukishanipa Shikamoo ndiyo huna ujanja tena.
🤣🤣🤣 Hatari sana, mimi siku zote huwa sing'ang'anii ukubwa wala udogo..napenda mtu ani treat kama binadamu tu inatosha lakini pia huwa sikubali kuonewa...nipo hivyo yani sieleweki
 
Nimefurahi pia Shem Bae...
Been kitambo sana...Hope all is well

Sasa hiyo kumsave mtu majina yake yote kuna faida na hasara zake...hasa kwenye marriage...ndiyo kama ile mtu unasaviwa hadi unapofanya kazi..😀
Napenda kuita mtu kwa majina yake, baba Jay, mama wawili, yani majina hayo siyapendi
Kwenye marriage unacheza na cards zako tu, kwani mume akiona umeandika Eroni atahoji? Yeye anafaham kila mtu kwa phone book yako?
Usipotee sana shem, sina shem mwingine ujue!!
 
Umenikumbusha wakati fulani jamaa mmoja alimsave mdada jina lake na anapofanya kazi....Sasa si wakaanza ku'flirt bhana..Mke akazifuna msg...Unaweza kuelewa Zoezi la Mke kumpata mhusika ilikuwa rahisi namna gani?😁

Na unaanzaje kuwa na Shem mwingine kwanza? Sasa hivi nimerudi rasmi Shem Bae..
 
Back
Top Bottom