Na wewe unapendwa kuitwa kwa aje mama fulani, dada, shangazi, mke , ama unapenda uitwe tu shesRise?Mie nimeona mama alikua akimuita baba angu kwa jina lake
Mf Hassan Jabir Sultan
So hata mimi leo nawaita watu kwa majina yao hata kua save pia
Nimeipenda sana hii, naona hii wanayo kama sio wahidi nadhs kuitwa kwa jina lako wala si nafasi yakoAcha majina ya kwenye cmu mimi kwetu mimi, mamangu mzazi,mke wangu zangu wa3, na watoto wa8. Hauna cha baba wala mama cjui kaka mara dada kila mtu ni jina lake halisi wakija na maisha yanasonga. Yaani ni mopak, chris. Ken, novi, rita and etc. Ukija home kama hujatuzoea utashangaa na kama wewe ni yule mtu na sheria zako afu uanze kuwaweke visheria vyako utashangaa wanakwambia sheria zako hazileti chakula mezani.
Haswaaa.Hata mimi kwa kweli.
😂😂😂 noumaaKwa nini 😁😁😁 hata mimi jita limekuja tu
Mimi niliandika jina languWewe ukajiandika je?
Kusema kweli kwa sisi tunaoishi mbali na nyumbani majina ya baba sijui mama fulani hayapo, hayo yanajulikana huku tunakoishi ila tukirudi makwetu ni mwendo wa majina tu hata kama una miaka 60Acha majina ya kwenye cmu mimi kwetu mimi, mamangu mzazi,mke wangu zangu wa3, na watoto wa8. Hauna cha baba wala mama cjui kaka mara dada kila mtu ni jina lake halisi wakija na maisha yanasonga. Yaani ni mopak, chris. Ken, novi, rita and etc. Ukija home kama hujatuzoea utashangaa na kama wewe ni yule mtu na sheria zako afu uanze kuwaweke visheria vyako utashangaa wanakwambia sheria zako hazileti chakula mezani.
kweli bro ukija home utacheka kweli kama wewe ni kucheka, na kama wewe ni mtu wa sheria utabaki nazo huko. Mara mwingne anasema nimefundisha watoto vibaya sio maadili hayo nabaki tu kumshangaa. Kwani mtoto asiponiita baba sitakua babake.Nimeipenda sana hii, naona hii wanayo kama sio wahidi nadhs kuitwa kwa jina lako wala si nafasi yako
Na ndio inavyotakiwa.Acha majina ya kwenye cmu mimi kwetu mimi, mamangu mzazi,mke wangu zangu wa3, na watoto wa8. Hauna cha baba wala mama cjui kaka mara dada kila mtu ni jina lake halisi wakija na maisha yanasonga. Yaani ni mopak, chris. Ken, novi, rita and etc. Ukija home kama hujatuzoea utashangaa na kama wewe ni yule mtu na sheria zako afu uanze kuwaweke visheria vyako utashangaa wanakwambia sheria zako hazileti chakula mezani.
sure bro. Kuna siku nimepigiwa simu na msichana wangu mimi nimemsave jane. Si nimeopoa demu ananiletea wivu ati who is jane. Alikutana na kofi lililomfanya alale bila kujifunika shuka. Mtoto anaweza akanipgia simu akaanza na mopak shikamo bla bla amalizie na nnahitaji 20 mopak"Kusema kweli kwa sisi tunaoishi mbali na nyumbani majina ya baba sijui mama fulani hayapo, hayo yanajulikana huku tunakoishi ila tukirudi makwetu ni mwendo wa majina tu hata kama una miaka 60
basi hata mimi kwangu ndo hivo ni mwendo wa mopak novi wako anaomba hela ya mboga hapo ni kijana na mamake na mimi na maisha yanasonga tena kwa raha zetuNa ndio inavyotakiwa.
Mimi kuna familia nilienda nikaikuta hii mpaka nikashangaa.
Mtoto anamuita baba yake kwa jina, utasikia Charles, juliana amesema anaomba hela ya matumizi.
Hapo ni mtoto anamwambia baba yake kuwa mama anataka hela ya matumizi halafu fresh tu.
😁 Hata mimi nataka kujua who is Jane maana maelezo yamenichanganyasure bro. Kuna siku nimepigiwa simu na msichana wangu mimi nimemsave jane. Si nimeopoa demu ananiletea wivu ati who is jane. Alikutana na kofi lililomfanya alale bila kujifunika shuka. Mtoto anaweza akanipgia simu akaanza na mopak shikamo bla bla amalizie na nnahitaji 20 mopak"
Una wake watatu na bado unaopoa demu 😁😁 mkuu utafika mbinguni umechoka sanaKhantwe nna wake watatu ndugu na afu hayo majina niliyoyatumia hapo sio majina yao no ni mfano tu ili mtu uelewe. Sasa kweli hata wewe unaamin kama mopak ndo jina langu halisi
Hii ni pressure ya kuwafanya watu hawajakamilika mpaka wawe na watoto.Mie mtu yeyote mwenye mtoto, namsave "baba fulani" au "mama fulani"
Unasave majina yote mawili ili iweje sasa lakini?😀Sipendi kusave baba fulani au mama fulani, napenda kusave jina la mtu kama lilivyo, tena ikiwezekana yote mawili kama nayajua...
Una wake watatu na bado unaopoa demu
Mkuu Kiranga kuna watu wakishakuwa wazazi huwa hawapendi kuitwa majina yao, wanaona kama unawakosea heshima. Japo inaudhi maana watu wanasahau hata kwamba watu wana majina yao...kimtaani mtaani huku kama kuna mahali wanaandika majina utasikia 'niandike mama nani'?Hii ni pressure ya kuwafanya watu hawajakamilika mpaka wawe na watoto.
Hapo wasio na watoto itakuwaje sasa? Utawaita kwa majina yao? Utawaita Babie na Mamie Kwani?
Kila mtu aitwe kwa jina lake.
Ukimuita mtu kwa jina la baba fulani au mama fulani, naelewa kiutamaduni tunafanya hivi, lakini ni kama una m define mtu kwa uzazi, kwamba yeye utambulisho wake ni kuwa mzazi wa fulani, wakati huyo mtu ana identity na utambulisho mkubwa kuliko kuwa mzazi tu.
Halafu mtu mwenye watoto zaidi ya mmoja ukimuita kwa jina la uzazi wa mtoto mmoja, ni kama unawadogosha wale wengine kwamba wao si watoto wake. Mtu ana watoto watano halafu unamuita mama mmoja, wale wanne wengine wajisikieje sasa, kwamba wao si watoto wake?