Swali kwa wazazi wenye watoto wakubwa

Aaa Aaah sasa nakuelewa, kwa hiyo nikosave mama Jane inaweza kusaidia zoezi la kumtafuta huyo mama liwe gumu?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sasa sheria iwekwe, kila mtu na simu yake, mambo ya kukaguana hapana, hatupo polisi bhana..

Eeeh usiende mbali shem,
 
Na ni kwanini Mama Jane lakini Shem?
Save unavyoweza....ila zingatia Code

Unadhani hata huwa tunakagua basi...ila kuna wakati tu unahisi kuna kitu hakipo sawa....then upelelezi unaanza..
 
Kwa kweli umenifunza kitu kipya pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…