Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

Kwani mate hayasaidii kulainisha? Kuna wanawake hawana mate pia?
Rublicant ambayo ni water based ni msaada mkubwa kwa wanao tumia condom. Hasa kwa wanawake walio na less natural rublicant! Mate usiyatumia ya naweza kuwa chanzo za UTI! au STD!
 
Aliyekuwa Katibu mwenezi wa Makalio, na Mkuu wa Chuo cha fitna.

Vyeo vingine hivi
 
Rublicant ambayo ni water based ni msaada mkubwa kwa wanao tumia condom. Hasa kwa wanawake walio na less natural rublicant! Mate usiyatumia ya naweza kuwa chanzo za UTI! au STD!
Hoja hii inakwama kwa kuwa huyu mtu hajaoa,kwa umri haijulikani ana tatizo gani
 
Huyu Polepole hana mke ndio maana anaingia kwenye kundi la wahuni kwa tabia zake za uzinifu.
 
Akuondolewa na Rais Samia ameondolewa Hayati Magufuli kwa kumteua kuwa Mbunge

Aliendelea kuwa mwenezi na pia Mbunge!! Hakuna mwingine aliyeteuliwa baada ya yeye kuwa Mbunge; alipelekwa bungeni strategically kwenda kuwathibiti wabunge ili waweze kupitisha sheria zao za kidharimu kiurahisi!!!
 
Ukibeba full package utakuta viongozi wengi chamani na serikalini wachafu sana kwenye Mambo Yao binafsi wana adabu kazini lakini kibinafsi wako hovyo sana wahuni wa kutupwa

Hakuna uhuni mbaya kama wa kupora Mali za chama au serikali

Bulembo ni mfano halisi; na huyo mwingine aliyeiba Toyota GX!!!!
 
Lazima tujue tabia binafsi za viongozi,zinaweza kuathiri mustakabali wa taifa baadae, kama ana tabia hizo tujue, maana anavyopiga mdomo anatoa kiashiria fulani
Tabia binafsi hazipaswi kuingizwa katika masuala ya umma; hata wewe baadhi ya mambo unayofanya hayakubaliki kiimani na oia yana athari kwa jamii japo sio moja kwa moja.
Mjaji kwa matendo yake kwa umma; watu weusi tunapenda sana vitu privy badala ya nambo ya msingi. Hatuongozwi na malaika bali wanadamu wenzetu na kila mmoja ana interest yake binafsi.

Ukweli chuki dhidi ya Polepile ni kwa kuwa tu alikuwa mfuasi wa JPM. Muwe objective katika jambo lolote lile unaloamua kujadili.
 
Wazungu wanapigia debe ushoga na vilainishi,huyu akipewa madaraka makubwa atapitisha hii ajenda fasta
 
Naona ni michezo ya kuchafuana tu...yaleyale ya Mwanao kakamwatwa kituoni wanakwambia kakutwa na bhange...ni hiyari yako kuwasikiliza Askari au Mwanao.
 
Pole pole ye ndo muhuni namba wani kwa kukubali kutumika kuwa Dalali wa kuwatongoza waunga juhudi
 
Wazungu wanapigia debe ushoga na vilainishi,huyu akipewa madaraka makubwa atapitisha hii ajenda fasta
Kati ya Polepole na Lissu nani anaunga mkono ushoga? Au wewe sio mfuatiliaji wa hoja / ahadi za uchaguzi?
 
Labda ilikuwa inatumika kulia k za viti mAalum, nimebashiri tu.
 
Kuulizwa matumizi ya ky iliyo kutwa kwa muhuni mnawaka, vp wakati ule mlivyokuwa mnamuita TL kuwa ni [emoji2380]? Msiwatendee watu vitu msivyopenda kutendewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…