Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

Soma ujiView attachment 2057144SWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
Nawashauri chadema waanze kupambana na serikali ya Samia iliyopo madarakani kuliko personal attacks kama mlivyofanya Kwa marehemu Magufuli. Magufuli is already dead Tafuteni madhaifu na Samia anaendelea kukusanya credits Kwa wananchi graph ya Samia inapanda na graph ya chadema inadidimia . Mimi 2020 na 2015 nilipigia kura chadema Ila uchaguzi ikiwepo Leo ntampigia kura rais Samia
 
Nawashauri chadema waanze kupambana na serikali ya Samia iliyopo madarakani kuliko personal attacks kama mlivyofanya Kwa marehemu . Tafuteni madhaifu na Samia anaendelea kukusanya credits Kwa wananchi graph ya Samia inapanda na graph ya chaadema inadidimia . Mimi 2020 na 2015 nilipigia kura chadema Ila uchaguzi ikiwepo Leo ntampigia kura rais Samia
Mimi pia ntampigia kura mama samia
 
Tumia mate

Ni kweli unaweza kutumia mate lakini sijui kama unafahamu pia kuwa mate hukauka mapema pia.

Hizi bidhaa hazikutengenezwa mahususi kwa ajili ya ngono bali matibabu. Ukitaka kufanya ultrasound, kupima tezi dume au colon cancer inakupasa kutumia hii bidhaa. Fact kwamba ni water-based ndio hufanya kisifa hicho kufanana na mate au ute wa uchi!!

Mkuu tumia hii kitu, achana na mate yenye bakteria na uchafu kutoka mdomoni.
 
Kama alikubali kutumika kufanya kitendo cha kihuni cha kununua wapinzani uoni kwamba you muhuni zaidi
 
Tutajuaje kama watu walio vamia nyumban kwake Ndio wameweka hiyo rublicant, cctv zinasemaje Kwa?
 
Acheni hoja za kipumbavu,nyie mliomvunjia nyumba ndio mlioiweka hiyo KY na kuipiga picha ili kumchafua.

Shame on WAHUNI Nape na genge lenu la wezi kina Bulembo.
 
Hiyo ni Character assassination. Toa ushahidi Kama ni kweli.Siasa za maji taka ndio zake hiyo Bwana
 
Polepole wasikubabaishe wasikutishe kwa kugha zawo za matusi, wengiwawo wahasumbuka kwa elimu yawo ndogo. Kanyaga yeende, achana na WAHUNUNI
Mwingira analipa uhuni wa awamu ya 5 ya akina pole2
 
Is that only me or but tbh i ddnt see KY in that video can someone please show me haha
 
Back
Top Bottom