Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Eti Grace Samia Suluhu!

Eti mtoto hujui kesho yake?

Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?

20260313_090727.jpg
 
Roho mbaya hadi kwa kichanga! Malaika asiyejua lolote!!!? Aibu yako
Unauliza thamani ya mtoto mchanga duuh! jitafakari sana
Kwa hiyo unaona ana roho mbaya kwa kichanga hicho, vipi aliyeua huyo Mama ambaye pia alikuwa anatarajia kuleta kichanga pia yeye huoni roho mbaya yake? Maana kaua nafsi 2 kwa pamoja

Kwanza kwa roho mbaya ya huyo Mama nahisi Waarabu wa Dubai wakiwa wanashida ya figo ya mtoto mchanga atawauzia huyo Grace bila kuwaza ili yeye apate pesa maana ana roho mbaya sana anamzidi hadi Ibilisi
 
Roho mbaya hadi kwa kichanga! Malaika asiyejua lolote!!!? Aibu yako
Unauliza thamani ya mtoto mchanga duuh! jitafakari sana
Uhai ni uhai hata manii iliyogeuka kiumbe ndani ya tumbo la uzazi ikakaa siku moja nayo uhesabiwa kuwa kiumbe kamili so inapotokea uhaini kwa yeyote ktk hao lazima jamii inayojitambua ihoji.

Msiongozwe na mihemko kuasili watoto hajaanza sa100 zipo familia zimechukua jukumu la kusaidia watoto mfano huo zaidi wawili watatu.
 
Kwa ninavyowajua polisi wa Tanzania walivyo na sifa huyo mama mwenye mtoto angetafutwa mpk angepatikana..!!

Hayo ni maigizo ya samuya ili ajioshe kwa alichokifanya Oct29.

Halafu hapo anatengeneza tatizo, mtaani watu wamepigika hivyo atarajie kuadopt watoto wengi zaidi. Maana kila mzazi mwenye kichanga ambaye life limempiga atatelekeza mtoto ili akalelewe ikulu. Sijui wanawaza na side effects au wanakurupuka hawa watu??!! Ni hatari sana kuwa na watu wenye low thinking capacity katika taifa..!!
 
Haswaaa!!
 
Uhai ni uhai hata manii iliyogeuka kiumbe ndani ya tumbo la uzazi ikakaa siku moja nayo uhesabiwa kuwa kiumbe kamili so inapotokea uhaini kwa yeyote ktk hao lazima jamii inayojitambua ihoji.

Msiongozwe na mihemko kuasili watoto hajaanza sa100 zipo familia zimechukua jukumu la kusaidia watoto mfano huo zaidi wawili watatu.
Kwa hiyo hapo umeumia mtoto Grace kuasiliwa na Samia? ulitamani wako ndio aasiliwe poleeee bahati ya mwenzio......
 
Back
Top Bottom