Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
- Thread starter
- #41
Shwainic pointSiasa zimewaharibu sana hawa watu. Hapo sijui nini hasa kosa la huyo kichanga. Wanatamani ht kafe tu hako kakichanga
Shwainic pointSiasa zimewaharibu sana hawa watu. Hapo sijui nini hasa kosa la huyo kichanga. Wanatamani ht kafe tu hako kakichanga
Pyeeeeeee imekuchomaaaaAkili kisoda🚮🚮🚮
Yaani kabisa sisi watu wazima na mavuzi yetu tukae chini tumsimange mtoto mchanga, kweli kabisaaa inasikitisha kwa kweli, mtoto Grace yupo na atakua mtu boraSiasa zimewaharibu sana hawa watu. Hapo sijui nini hasa kosa la huyo kichanga. Wanatamani ht kafe tu hako kakichanga
Wenye point mko CHADEMA tu. Mwingine yeyote akienda tofauti na nyie tu basi atapewa lugha chafuShwainic point