Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

Kwa hiyo unaona ana roho mbaya kwa kichanga hicho, vipi aliyeua huyo Mama ambaye pia alikuwa anatarajia kuleta kichanga pia yeye huoni roho mbaya yake? Maana kaua nafsi 2 kwa pamoja

Kwanza kwa roho mbaya ya huyo Mama nahisi Waarabu wa Dubai wakiwa wanashida ya figo ya mtoto mchanga atawauzia huyo Grace bila kuwaza ili yeye apate pesa maana ana roho mbaya sana anamzidi hadi Ibilisi
Kwa hiyo tumpe mtoto mchanga lawama za mauaji aliyoyafanya mama ake mlezi, hivi mnajielewa kweli nyie mbona mnanitishaaa, nyie si mnaweza hata kukakaba hako katoto maana hii chuki dhidi yake sio ya kawaida.
 
Eti Grace Samia Suluhu!

Eti mtoto hujui kesho yake?

Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?

View attachment 3557320
Anatafuta tobo la kutokea kutoka kule alikokunya mimavi(massacre) lakini cha ajabu mimavi imemjaa mwilini na kila aendapo ananuka, mauaji aliyoyafanya hayawezi kufutika kisa kafanya adoptation kwa kichanga cha Kitanganyika.
 
Sio wewe na mtoa mada ndio mashetani kabisa mnawezaje kulinganisha thamani ya mtoto mchanga, mtoto mchangaaaa alooo mmenishangaza sana hata shetani anamuheshimu mtoto mchanga
Kanishitaki kwa shetani mwenzio Samuya.
 
Sio wewe na mtoa mada ndio mashetani kabisa mnawezaje kulinganisha thamani ya mtoto mchanga, mtoto mchangaaaa alooo mmenishangaza sana hata shetani anamuheshimu mtoto mchanga
Mtoto mchanga huyo ndo atapata shida sana maana kaangukia kwenye mikono ya shetani Samuya awe makini maana Samuya anaweza uza figo ya hicho kichanga akanunue apartment Dubai.
 
Grace Samia Suluhu.
🤔🤔🤔 kwamba Sirname ni ya mwanamke.
Kwamba amefuata Jina la Mama.

Basi sawa.

Ila shem Seran kale katoto kazuri sana .
Hivi ungekaokota ww ungesema sehem?.
Mm nisingesema aisee 🤣🤣🤣🤣

Ila kangekuwa katoto kana kichwa cha ajabu ajabu kama pasi. Au pua kubwa kama ya Baba Levo. Yaan haraka sana naenda report 😁😁😁
 
Na wewe umeingia mkenge katika sarakasi mpya za muuaji kujisaficha maelfu ya lita za damu ya watanganyika 10000?
 
Grace Samia Suluhu.
🤔🤔🤔 kwamba Sirname ni ya mwanamke.
Kwamba amefuata Jina la Mama.
😁
Basi sawa.

Ila shem Seran kale katoto kazuri sana .
Hivi ungekaokota ww ungesema sehem?.
Mm nisingesema aisee 🤣🤣🤣🤣
Nikapeleke wapi shem Mamaake alikuwa anatanua nyuzi 60 hakuwaza mbele..
Ila kangekuwa katoto kana kichwa cha ajabu ajabu kama pasi. Au pua kubwa kama ya Baba Levo. Yaan haraka sana naenda report 😁😁😁
Pua kama pua🙌🏾
Hapa ni pa kupita shwaaa🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Kwa hiyo unaona ana roho mbaya kwa kichanga hicho, vipi aliyeua huyo Mama ambaye pia alikuwa anatarajia kuleta kichanga pia yeye huoni roho mbaya yake? Maana kaua nafsi 2 kwa pamoja

Kwanza kwa roho mbaya ya huyo Mama nahisi Waarabu wa Dubai wakiwa wanashida ya figo ya mtoto mchanga atawauzia huyo Grace bila kuwaza ili yeye apate pesa maana ana roho mbaya sana anamzidi hadi Ibilisi
Samia, JK watawatesa mpk mzeeke. Lkn ndo basi tena, alopewa amepewa.
 
Maisha tu haya.
Ila katoto kale kalivyo unakaachaje?.
Kuna watu miaka na miaka wanatafuta mtoto na hawapati.
Ww hata kama umetelekezwa na mwanaume .ila ushazaa. Tunza mwanao pekeyako.
Watoto huja na baraka.

anyway. Tusihukumu, Dunia haina huruma.
Kuzaa na mtu huna naye uhakika! Duhh kweli dunia haina huruma..🥲
 
Kwa hiyo tumpe mtoto mchanga lawama za mauaji aliyoyafanya mama ake mlezi, hivi mnajielewa kweli nyie mbona mnanitishaaa, nyie si mnaweza hata kukakaba hako katoto maana hii chuki dhidi yake sio ya kawaida.
Siasa zimewaharibu sana hawa watu. Hapo sijui nini hasa kosa la huyo kichanga. Wanatamani ht kafe tu hako kakichanga
 
Back
Top Bottom