Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Kwa hiyo unaona ana roho mbaya kwa kichanga hicho, vipi aliyeua huyo Mama ambaye pia alikuwa anatarajia kuleta kichanga pia yeye huoni roho mbaya yake? Maana kaua nafsi 2 kwa pamojaRoho mbaya hadi kwa kichanga! Malaika asiyejua lolote!!!? Aibu yako
Unauliza thamani ya mtoto mchanga duuh! jitafakari sana
Wote wana thamani.Eti Grace Samia Suluhu!
Eti mtoto hujui kesho yake?
Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
View attachment 3557320
Wewe utakuwa ni mchawi sio bure.Roho mbaya hadi kwa kichanga! Malaika asiyejua lolote!!!? Aibu yako
Unauliza thamani ya mtoto mchanga duuh! jitafakari sana
Hayo ni maigizo ili asipotee kwenye mijadalaEti Grace Samia Suluhu!
Eti mtoto hujui kesho yake?
Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
View attachment 3557320
Naona swali la mtoa mada limekuzidi akili, that's why akasema ni kwa wenye akili tuuRoho mbaya hadi kwa kichanga! Malaika asiyejua lolote!!!? Aibu yako
Unauliza thamani ya mtoto mchanga duuh! jitafakari sana
Uhai ni uhai hata manii iliyogeuka kiumbe ndani ya tumbo la uzazi ikakaa siku moja nayo uhesabiwa kuwa kiumbe kamili so inapotokea uhaini kwa yeyote ktk hao lazima jamii inayojitambua ihoji.Roho mbaya hadi kwa kichanga! Malaika asiyejua lolote!!!? Aibu yako
Unauliza thamani ya mtoto mchanga duuh! jitafakari sana
Kile kichanga kilichopigwa risasi?Mshaanza chuki kwa kichanga kisichojua hili wala lile
Mwanzo wa uchawi huu
Haswaaa!!Kwa ninavyowajua polisi wa Tanzania walivyo na sifa huyo mama mwenye mtoto angetafutwa mpk angepatikana..!!
Hayo ni maigizo ya samuya ili ajioshe kwa alichokifanya Oct29.
Halafu hapo anatengeneza tatizo, mtaani watu wamepigika hivyo atarajie kuadopt watoto wengi zaidi. Maana kila mzazi mwenye kichanga ambaye life limempiga atatelekeza mtoto ili akalelewe ikulu. Sijui wanawaza na side effects au wanakurupuka hawa watu??!! Ni hatari sana kuwa na watu wenye low thinking capacity katika taifa..!!
Kwa hiyo hapo umeumia mtoto Grace kuasiliwa na Samia? ulitamani wako ndio aasiliwe poleeee bahati ya mwenzio......Uhai ni uhai hata manii iliyogeuka kiumbe ndani ya tumbo la uzazi ikakaa siku moja nayo uhesabiwa kuwa kiumbe kamili so inapotokea uhaini kwa yeyote ktk hao lazima jamii inayojitambua ihoji.
Msiongozwe na mihemko kuasili watoto hajaanza sa100 zipo familia zimechukua jukumu la kusaidia watoto mfano huo zaidi wawili watatu.
Kitendo cha kumlinganisha kichanga na yeyote ule ni kukosa akili, mihemko ya kisiasa inawafanya muwe na roho mbaya hadi kwa watoto wachanga, duhNaona swali la mtoa mada limekuzidi akili, that's why akasema ni kwa wenye akili tuu
Sio wewe na mtoa mada ndio mashetani kabisa mnawezaje kulinganisha thamani ya mtoto mchanga, mtoto mchangaaaa alooo mmenishangaza sana hata shetani anamuheshimu mtoto mchangaWewe utakuwa ni mchawi sio bure.