Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

Siasa zimewaharibu sana hawa watu. Hapo sijui nini hasa kosa la huyo kichanga. Wanatamani ht kafe tu hako kakichanga
Yaani kabisa sisi watu wazima na mavuzi yetu tukae chini tumsimange mtoto mchanga, kweli kabisaaa inasikitisha kwa kweli, mtoto Grace yupo na atakua mtu bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…