Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

Hizi mbinu zinatumika na CCM na Serikali kila Uchao,mbona hata Samia anazitumia sana tu,haijalishi ni nani anazitumia,muhumi ni kuwa na elimu na kutambua pale zinapotumika…Watu wengi sana wanahitaji kuzifahamu,Wananchi wenye ufahamu huzaa wapiga kura wenye viwango bora na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi..CCM ikitumian “future faking”kucontrol Watanzania,Mtanzania anayeweza kutambua hawezi kuwa controlled au kuwa influenced,wamekuwa na miaka 60 ya kufanya mabadiliko Kama hawa kufanya kamwe hawawezi kufanya.Mwanasiasa akicheza “victim card”iwe ni ya Dini,Jinsia au hata Kabila,Wananchi wenye ufahamu wa hizi mbinu hawawezi kuwa controlled…
 
Sijui kama kina waitara wataachwa, maana walionesha kumtetea. Unajua hawa CCM ni kama wachawi waliokosa wa kumloga wakaanza kulogana wenyewe kwa wenyewe. Wamemuweka Lissu ndani, Lissu angekuwa nje wangeungana pamoja kumkabili. Nguvu ya kumkabili Lissu na CHADEMA inawarudia wao na kuwatesa. Tunawaambia wamuachie Lissu atoke nje wataungana na kuwa kitu kimoja kumkabili Lissu na chama chake kisiasa.
 
Sijui kama kina waitara wataachwa, maana walionesha kumtetea. Unajua hawa CCM ni kama wachawi waliokosa wa kumloga wakaanza kulogana wenyewe kwa wenyewe. Wamemuweka Lissu ndani, Lissu angekuwa nje wangeungana pamoja kumkabili. Nguvu ya kumkabili Lissu na CHADEMA inawarudia wao na kuwatesa. Tunawaambia wamuachie Lissu atoke nje wataungana na kuwa kitu kimoja kumkabili Lissu na chama chake kisiasa.
 
No ni Mabeyo. Yule jamaa basi tu.
Magufuli alipoanza kunyanyasa wenzake wa ccm na wapinzani, hao jamaa kina Mzee Mwanakijiji walichekelea. Leo hawa wa awamu ya 6 wanacheza script ya Magufuli ya kuwanyanyasa wenzao wa ccm na upinzani wanakasirika.

Sophia Simba, Membe ni victim wa mfumo huu unaotumiwa na Samia ambao mwasisi wake ni Magufuli
 
CCM MILELE AMINA

Wapinzani wenyewe uko Chadema
Kwasasa Chama kimeshikwa na

Mwenyekiti na Makamu wake

Ni mtu na Shemeji yake

Heche kapata nguvu wapi ya kufukuza wanachama wenzie kumbe ndio ivyo
DADA yupo kwa Mwenyekiti
wake🤠🤠

Safari bado ndefu sana❗️ tutafika lkn
Kwasasa mbele mwanga
hakuna giza totolo!!

Siku Dada akiachwa
Je muunganiko huu wa Tundu Lissu na Heche utaendelea
kama sasa🫎✍️
 
Hivi wewe ni mwarabu au una asili ya kiaarabu?
 
EN hakuwa strategic, hilo ndiyo kosa lake kubwa. Kukulia ndani ya TISS/UVCCM kulimpofua akaamini kuwa ana loyalists wengi ndani ya system wa kuweza kukabiliana timu Samia/Kikwete.
Kikwete na Samia wanaweza hata kuua Watanganyika wote if it's the only means ya kulinda maslahi yao, sasa hivi Watanganyika they're just worthless creatures, kuua Watanganyika ni sawa kwa kuondoa takataka zinazochafua mazingira hata Nchimbi wakiamini kwamba kuwa hai itakuwa ni kero kwao watamuua bila hofu na hapatakuwa na yeyote ndani ya CCM atakayethubutu kupaza sauti.
 
Ngoma nzito inaweza kudhihirika bungeni kama wale jamaa waliomtetea huko wataamu kukinukisha kwenye kumthibitisha makamu mpya kwa kupiga kura ya kutokumkubali
 
Mkichoka hilo lichama la
Mashemeji

CHAMA CHA CCM
Kinawakaribisha vyote kwenye tumaini la kweli kwenye Maendeleo ya Kweli
Kwenye kugombea nafasi mbali mbali ndani ya CCM kumbukeni Tanzania ni CCM na CCM ndio Tanzania ✅️
 

Like seriously hujaliona kosa la Emmah??

Basi endeleeni kuomboleza
 
Jichooooo laaa mbaaaliii saaanaa....isije kuwa michezo aende CDM kuimarisha upunzani fake wapate pesa na kutambuliwa kuwa kuna democracy???...1995 ya LYAYONGA....
Hilo nalo linawezekana, mnafikiri wamegombana kumbe ni wa wahadaa
 
Jichooooo laaa mbaaaliii saaanaa....isije kuwa michezo aende CDM kuimarisha upunzani fake wapate pesa na kutambuliwa kuwa kuna democracy???...1995 ya LYAYONGA....
Hawezi kwenda CDM.
Hata Paul Mtakatifu aliwahi kuwa Saul.

Amandla...
 
Na matokeo zaidi ni kwamba uamuzi wake wa kuwaua watanzania wasiokuwa na hatia umemsababishia njaa binafsi na kuliweka taifa kwenye ugumu wa maisha baada ya kunyimwa misaada na wazungu.

Huyu mama ni zaidi ya nyumbu. Hana uwezo wa kung'amua mapema madhara ya maamuzi yake.
 
2030 wanamtandao wakiweka mtu hapo kwenye kiti cha raisi ambaye sio mzanzibari, ni mtu wa bara, rhetoric za kujitenga na Zanzibar zitadissapear into thin air ?

There are many reasons to be completely displeased and utterly disappointed by President Samia’s rule but isn’t fixating on her Zanzibari identity and pushing for the need to dissolve the Union as a way to discredit her legitimacy as President low-hanging fruit ?

I am pasting part of a comment I made yesterday on the thread, “ Nani amrithi E. Nchimbi ?”

A few words on the constructed Tanganyika/ Zanzibar divide we are seeing in online political discourse:

This drive for people online to refer to themselves as Tanganyikans trying to free Tanganyika from dominance by Zanzibar is harmful and inaccurate.

Just because activists/ political dissidents disagree with the current Tanzanian President’s leadership style/ decisions and she also just so happens to be from Zanzibar does not mean that the Union has to be dissolved.

Most Zanzibaris, like people in the mainland, also live in poverty and suffer from the same economic, social, and political issues. Most Zanzibaris are not blindly loyal to the Government of Tanzania and even to the Government of Zanzibar for that matter. Most Zanzibaris are just as unhappy with the leadership we have as people on the mainland are.

Part of the issue may be the alleged use of Zanzibaris to come into the mainland to kill people during the events surrounding 29/10/2025, however, even if in the years to come all the evidence is laid out and we end up finding out it was indeed true, that killing squad does not represent the entire Zanzibari population.

The corruption within CCM and the Union Government is evident to both citizens in the mainland and in Zanzibar. Even though the Union in 1964 happened without a referendum and some people to this day question why it had to happen — we are one and we can question the need of having one/two/ three governments and the efficiency or lack there of of having such a system, but there is absolutely no reason to have any kind of enmity between Zanzibaris and mainlanders.

Historically, most of the slaves taken to Zanzibar during the Arab slave trade came from what is now mainland Tanzania and other parts of the interior of Africa. Even after the revolution that led to Zanzibar’s independence when the population began to grapple with questions on what it meant to be Zanzibari (especially under the ASP), it is clear that as individuals began to become culturally uniform in identification (even though in reality they were hybrid), the African origins of Zanzibari identity inarguably comes from mainland Tanzania/ Africa as a whole. So calls to separate the two on the grounds that we are so different erase the connections between the two spaces that predate the formal union of the two territories in 1964.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…