Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

Magufuli alipoanza kunyanyasa wenzake wa ccm na wapinzani, hao jamaa kina Mwanakijiji walichekelea. Leo hawa wa awamu ya 6 wanacheza script ya Magufuli ya kuwanyanyasa wenzao wa ccm na upinzani wakasirika
Acha uongo ndugu, Magufuli alikuwa hapendi mambo ya hovyo sio kunyanyasa mfano kukemea ufisadi wa wa ccm wenzake ulikuwa ukifanywa kwenye chama hayo ni manyanyaso, hivi utafananisha kipindi cha Magufuli na kipindi hichi kweli
myonge mnyongeni haki yake mpeni pamoja na yote Magufuli hakuwa Malaika ila kwa muda mfupi alifanya kazi kubwa sana kwa kuanzisha miradi mikubwa
 
Parokia Imekukosea nini we jamaa? Why are you too much preoccupied by parish? Emma should be judged individually, there are so many parish members supporting your chairwoman samia from Zanzibar(self centered people)
 
Hamuelewagi nyie hadi mfutwe uanachama.
 
Mungu hachangamani na wanafiki maana ni wadhambi, hata watu wako wa karibu wakikosea usikwepeshe wachane
 
Sasa kama alikuwa anatumwa na waliomtuma na kumtumia hawawezi kujutokeza basi yeye ni mjinga.

Hilo la mahakamani sidhani ,anatakiwa kuwa kimyaa tuu.
 
Kwa nini usirudi kuja kulianzisha mumejificha huko?

Tafuta wajinga wenzako uwachomeke kama mlivyomchomeka EN.
 
Angekuwa incompetent mungekgumbisha ila anawashikisha adabu.

Maoni Yako,matakwa Yako na hisia zako za chuki sio kipimo
 
Pesa kibao ndio kinahusianaje na waliopanga Mapinduzi?

Confidence ipi? Awaachie mumtoe kipumbavu au?
 
Yote yanawezekana kutokea kwa Nchimbi katika hii police state. Itahitajika nguvu kubwa sana ya umma kufanikisha mabadiliko maana kuna maadui wakubwa 2 wanaolitesa taifa kwa sasa - CCM dola na CCM mtandao huwezi pambana na moja ukaacha mwingine!
Umma ndio nani huyo mjinga akaharibikiwe au hata kupotema maisha Kwa Ajili ya Wewe mjinga mmja uliyejificha mtandaoni.

Kwa nini hiyo Nguvu ya Umma usiwe wewe? Mbona hujitokezi hadharani kumsaidia huyo mtu wako?
 
Nakufahamu ni mwandishi mzuri ila ktk hili jipange upya hujaeleweka Nchimbi maaskofu wa kanisa katoliki wamemponza sana ukizingatia uwezo binafsi wa Nchimbi ni mdogo. Wamemdanganya, wamemponza na hawawezi kumsaidia tena!
 
Nchimbi ana historia ya jeuri kwa wakubwa zake. Ana misimamo ya kijinga. Anavuna alichopanda.
Hana fadhila yule mbwa, Kikwete alikosea sana kulea joka. Ana arrogance, hajifunzi kwa kuwa ana uwezo mdogo. Rais Samia alimrudisha nchini na kumpatia ukatibu mkuu wa CCM, ile nafasi ni kubwa kuliko waziri mkuu nchi hii, bado akapewa umakamu wa Rais, hivi alitaka roho ya Samia? Angempatia nini zaidi?
Akafie mbali huko, ni mpumbavu!
 
Anahaki ya msingi kujiuzulu. Hafurahishwi na namna serikali inaongoza raia wake, kuteka , kuua hovyo, kutosimamia misingi ya utu na Demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…