watching movies
Senior Member
- Jul 18, 2025
- 148
- 166
Kiukweli harakaharaka kwenye kutaja watu anakosea sanaHalafu style ya huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa sio kitu kizuri.
Utasikia ooh hata Ndugai alinionya, watakuua ...ooh hata Warioba aliniambia hivi.
Lissu bado ana kipengele chadema Inatakiwa mzidishe kelele achana na masuala ya polepole Lissu akiwa anaenda Mahakamani Lipeni watu wa push hash tag kwenye mitandao msiwe kimyaBila Wazungu kupiga kelele Lissu alikuwa amaliziwe selo
Mkijisahau mkawa busy na masuala ya polepole wanaweka busy huku kule wanaenda kupita nae kueni makiniBila Wazungu kupiga kelele Lissu alikuwa amaliziwe selo
Msiba katupa tauloUsione Musiba kaomba msamaha hadharani.
Wanashughulikiana kweli.
Kaona isiwe tabu.Msiba katupa taulo
Wakina nani watakuua Ndugai alikua anawajua kuna kitu hapa Polepole apunguze mdomo utafikiri sio Kitengo aweke codeHalafu style ya huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa sio kitu kizuri.
Utasikia ooh hata Ndugai alinionya, watakuua ...ooh hata Warioba aliniambia hivi.
Duh tuwekee videoNdugai alijisahau sana wakati wa kampeni za kura ya maoni. Kuna mjuba alijifanya anamfuta vumbi na leso yake, akamaliza biashara
Basi cycle yake ndogo sana Mbunge ndo apate taarifa huyo bado Inatakiwa uwe nje game na unasuka mipango na taarifa unapata basi alikua bado sanaHapana hakupaswa kustaafu maana angekuwa much weaker and out of system so angalau akiwa MP ilikuwa inamfanya Aendelee kuwa more relevant and connected kujua kinachoendelea na pia kuwa part ya kuandaa Team 2030. He was too old to retire from politics, ingawa amestaafishwa prematurely and permanently. May God rest his soul in Peace. RIP JB
Kifo akisikie kwa wengine, Gwaji Boy alitolea Mfano kwa Kijana mpendwa . yaliyomkuta sote tuliona. So Kifo hakiwezi kuwa ni Kifo tu.ALISHASEMA CHURA KIFO NI KIFO TU
4,6,7Nje ya mada.
Jakaya Mrisho Kikwete ni rais wa awamu ya ngapi?
Uamuzi wa busara ilikuwa ni kustaafu siasa na kuendelea kula 80% ya mshahara wa Supika aliyepo madarakani hadi mwisho wa uhai wake.Kugombea Ubunge haukua uamuzi wa busara kwake,
Pm alistuka akakaa Pembeni.
Labda tuendelee kusubiri huenda japo Luca akaleta ufafanuzi.Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?