Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

Naomba kuuliza, hivi mtu mwenye silaha za kivita na anayeua raia(kwa mujibu wa maelezo yako)hata kama ni mhamiaji adhabu yake ni amir jeshi mkuu kuyaagiza majeshi kumuondoa nchini au ni kumkamata na kumfikisha mahakamani?(nimelipuuza tusi lako kwa Mwanakijiji&#8203😉
Mwanakijiji is an IDIOT asiyejua kinachoendelea Tanzania. Anaendeshwa na chuki iliyomjaa juu ya Rais wetu.

Hao wahamiaji haramu wana silaha za kivita na wanaua polisi na watanzania wengine wanaoishi maeneo hayo. Mtu mwenye silaha ya kivita unamuondoa kwa kutumia nini zaidi ya jeshi?
 
Kila kitu kina utaratibu wake wa kukishighulikia.
jibu maswali unayoulizwa!alichokifanya JK ndio utaratibu?hapo ndipo linapokuja swali la mleta hoja ....ni utaratibu upi alioutumia Mwalimu kukabiliana na jambo hili?kuna post yako moja umekiri kuwa wote hawa wanaongozwa au wanatakiwa kuongozwa na sera zilezile za chama chako sasa iweje wachukue 'utaratibu' tofauti katika kudeal na jambo lile lile?shame!
 
jokaKuu,
Mimi nimemwelewa Mwanakijiji. Of course Nyerere hajawahi kufukuza mkimbizi yeyote iwe ametoka Kenya, Uganda hata Malawi. Ndio point ya Mwanakijiji hiyo. Waganda waliosaidiwa ni wale waliokimbia kutoka utawala wa Idd Amin. Hivi huoni kuwa ni ajabu kwa rais Kikwete kutaka wakimbizi wasio halali warudi kwao wakati huu wa ugomvi wake na Kagame? Je, atafanya msako pale Kariakoo kuwaondoa Wachina, wahindi na wapakistan walioko Tanzania kinyume na sheria. Kwa nini wanaoondoka ni Wanyarwanda peke yao?

Jasusi kwa kuongezea tu. Kauli ya raisi ilikuwa kwa tanzania nzima lakini taarifa kutoka mipaka yote ya tanzania, hatujasikia watu wa mataifa kama malawi,burundi,kenya, zambia, na msumbiji wakiondoka...that is why MM amesema kuwa ni selective and is meant for naturalized Tanzanians of Rwandese origin
 
............Vilevile hawa mashabiki wa Kagame wanashindwa kuelewa kuwa unapokuwa na wahamiajo haramu, adui yako anaweza kuleta wanajeshi wake nchini kwako washambulie huku wakijifanya kuwa wao ni wahamiaji haramu. Hili analifanya Kagame huko Congo kwa kupeleka wanajeshi wake na kuwavisha uniform za waasi.......

Mkuu asante sana kwenye hiyo quote hapo juu.........unajua watu wanazungumzia unafiki nafikiri hawajui maana ya unafiki......mtu huwezi kujinafiki.......bali unanafikiwa....hawajui unafiki wa baadhi ya majirani zetu (na hasa Rwanda).............all these shenanigans....it was just a matter of time........now time is telling.....watu wanapiga mayowe hapa.......kweli inashangaza sana........

Inashangaza kwa kuwa.......baadhi ya watu hapa wanataka kutuambia........eti kwa kuwa tuna matatizo 1,2,3,4.....then tusithubutu kukabiliana na tatizo 5, 6,and 7........hii akili sijui ni ya wapi.......kwenye muktadha huu sijui wanatumia sayansi gani kwamba usipotatua hili tatizo usitatue lile......otherwise eti ni unafiki!!........wanatumia neno unafiki pasipo.......

Wakuu Kobello , JokaKuu and masopakyindi heko kwa michango murua so far kwenye hii issue......
 
Last edited by a moderator:
adolay,

..naomba kutofautiana kidogo na wewe.

..Kagera kuna tatizo la ujambazi. Raisi ametoa wiki 2 kwa MAJAMBAZI kusalimisha silaha zao.

..Kagera kuna tatizo la walioingiza mifugo ktk maeneo yasiyostahili kama hifadhi za taifa. Hao pia wamepewa wiki 2 watoe mifugo yao.

..Kagera kuna tatizo la wahamiaji toka nchi jirani. Raisi kawapa wiki 2 waweke mambo yao sawa, au warudi nchi walikotoka.

..hivi Raisi anayebembeleza mpaka majambazi anapaswa kuitwa dikteta kweli? kuwapa muda watu waliovunja sheria waziwazi ni udikteta?

..Raisi amechukua maamuzi hayo baada ya kusikia malalamiko toka kwa wananchi wa Kagera. Nakushauri usome au usikilize hotuba ya Raisi.

..In 2010, Kikwete akiwa ndiyo Raisi wetu, Tanzania iliwapa uraia wakimbizi 160,000 toka Burundi. Sasa madai kwamba Kikwete ni mkatili na dikteta yanatoka wapi?

..Mwisho, natofautiana na Raisi Kikwete ktk masuala chungu nzima, lakini katika hili nakubaliana na hatua alizochukua.

cc Sikonge, Ogah

Mkuu JokaKuu,

kwa heshima yako hapa jukwaani nitaheshim baadhi ya wazo yako isipokuwa bado nitasimamia msimamo wangu.

Jambo moja la msingi ambalo nataka kuliweka wazi nikwamba hoja sio wahamiaji halali/haramu bali ni siasa za visasi kutoka ugomnvi wake na Kagame.

a) Alikuwa wapi siku zote mkuu asione taabu za watu wa huko kagera mpaka imetokea kizazaa na kagame ndiyo anaiona huruma.

b) Tunawahamiaji haramu wengi na wanatunyanyasa na kututesa sana hasa wahindi na wasomali. Nimeishi mikowa mingi ya Tanzania hili kundi ni hatari sana kwa maisha ya watanzania na maliasili zetu mbona hawa hawagusi wala tu kuwapa onyo la mdomo kwanini kwa wanyaranda na hasa baada ya mzozo wake na Kagame.

Mkuu hili suala la wanyarwanda limechukuliwa kwa nguvu kubwa sababu ni kale kamchezo ka kutaka kikwete aonekane bora zaidi ya wenzake katika anga za kimataifa, yale anayowahubiria wenzake wafanye yeye kikwete hayafanyi kabisa nahapa ndipo ninaposema kwa dhati ya moyo wangu tuna rais anaeishi kwa propaganda, ghiriba na mzushi.

Udikiteta wa kikwete unapatikana sehem nyingi mkuu

-Amezima na kukandamiza kabisa madai na hoja za waalimu na madakitari kwa lazima na nguvu bila muafaka

-Analazimisha mzozo wake na kagame kuwa wa wanyarwanda wote na hivyo kuumiza hata wale wasiojuwa kabisa chanzo na sababu za mzozo wao.

-Amekuwa mzito kabisa kuchukuwa maamuzi sahihi kwa faida ya watanzania wote, bali kwake nguvu za polisi, jeshi na usalama wa taifa katika mambo mbalimbali ndio njia kwake kunyamazisha madai na hoja sahihi za watanzania
......................................................................
 
Tatizo la wahamiaji haramu ni la muda mrefu, mwaka 2000 nikienda Kagera ilibidi kusindikwa na polisi kwa msafara, wananchi wa huko kuishi kwa mashaka makubwa na ya ukatili.
Tuliambiwa ni kutokana na vitaBurundi na Rwanda.

Hatua zikachukuliwa kuleta usuluhishi kwa gharama na usalama wetu.
'Wahamiaji' 30,000 wakpewa uraia na wengine 160,000 wakafuatia ili waweze kuishi na kushiriki shughuli kama raia wengine. Kifungu cha 12(1) cha kuthamini utu na heshima yao kilitimizwa.

Tatizo siyo watu kuishi bali ni kwa jinsi gani watu hao wamefauta taratibu kama wale 190,000 walivyofanya. Hawa tunaowaongelea ni wahamiaji HARAMU.

Ninamlaumu sana rais kwa kutoa onyo waondoke. Hawakupaswa kupewa onyo walipaswa kushtakiwa kwasababu kama wahamiaji haram sheria ilipaswa ichukue mkondo wake.
Na kwa vile tunaamini wanapaswa kulindwa na sheria za nchi 13(3) basi walitakiwa wafikishwe mahakamani ili sheria hizo ziwalinde au ziwahukumu. Kutakiwa kuondoka nchini ni kuwapendelea.

Sijui watu hao walioingia kwa maelfu na kunyang'anya wakazi wa Kagera ardhi zao hadi kujimilikisha ardhi walifuata 12(1), 13(1) 13(3)? Sijui watu hao walioingia na silaha na kusababisha uvunjifu wa amani wanastahili 12(i). Wao hawakuheshimu sheria za nchi sasa tuanzie wapi kama si kuwakamata, hata kuwaondoa tu ni huruma kubwa

Moja kati ya malalamiko yetu siku ni serikali kutofauta sheria, sioni kwanini tuilamu serikali kwa kufuata sheria. Hata Sweden ambako uhuru, haki za kidinadamu n.k. zimetamalaki kuliko sisi wababishaji, wameondoa wasomali wasiofuata taratibu. Hawakufukuza wasomali wote bali walioshindwa kufuata tartibu.

Kwanini kuna selective justice?
Siku za nyuma Burundi na DRC nao walirudishwa.Lakini tuangalie zaidi ya hapo, watu 20,000 wanapovamia eneo moja kujitwalia ardhi, kufukuza wenyeji na kuingia na silaha ni tofauti na wahamiaji 3 kutoka Gambia.

Tunakumbuka 190,000 walopewa uraia walikataa kuhamia mikoa mingine wakitaka wabaki Kigoma na Kagera. Kiusalama hili ni jambo jema?
Je, tuwape uhuru, haki na ubinadamu wakati watu wetu wakikosa haki hizo katika nchi yao?

Je, hatujajifunza tatizo la DRC limeanzaje na je tuendelee ku-entertain hatari hata pale tunapoona kuna ulazima wa kufanya wa kuchukua hatua?
Hakuna haki isiyo na wajibu,je, wao walitimiza wajibu wao wakati wanakuja nchi ya watu?

Kwanini Collective punishment?
Unapokuwa na wananchi kutoka nchi jirani 20,000 na kiongozi wao akitishia 'hit' etc, sidhani ni muafaka kuamini kuwa hawezi kutumia kundi hilo kubwa kuvuruga zaidi usalama.

Ni rahisi kwa PK kuwapa silaha waanzishe uasi Kagera kama alivyofanya DRC ili tuwe busy kwa faida yake. Siwezi kusema hii ni collective punishment niseme ni consequences za kauli za PK ambazo zinatishia usalama wetu na njia rahisi ni kuchukua tahadhari.

Nyerere alifanyaje huko nyuma? Nadhani JokaKuu amelieza.
Burundi na Rwanda kwa pamoja walishawahi kueleza tatizo la usalama linatokana na waasi waliokimbilia Tanzania. Nadhani Tanzania iliamu kuwapa urai 190,000 ili iweze kukabiliana nao kisheria na kuleta usalama katika nchi hizo. Je, ni muafaka tuwaache bila kujua ni raia wetu halafu waanzishe mapambano dhidi ya serikali zao na tuwaunge mkono kama tulivyofanya kwa Uganda?

Je, hili ni nje ya EAC spirit?
Wanaosema hili wamepotoka. Hadi sasa hatuna mkataba wa pamoja kuhusu uhamiaji.
Upo mkataba wa Kenya, Uganda na Rwanda na nadhani ni muafaka PK awapeleke huko.

Hata kama tutakuwa nao, ni wajibu wa serikali yoyote dunia kujua akina nani wapo katika nchi na haki zao ni zipi. Hatuwezi kuwa na EAC spirit katika njia za kijinga.
 
Ninachelea kusema kuwa taratibu mbegu ya xenophobia inapandwa miongoni mwetu pasipokutambua. Yasije kujirudia yaliyotokea miaka michache iliyopita kule Afrika Kusini ambapo "wahamiaji haramu" kutoka Zimbambwe waliuawa kwa kuchomwa moto na wenyeji ati kwa kupora ajira za wenyeji.
 
Mkuu asante sana kwenye hiyo quote hapo juu.........unajua watu wanazungumzia unafiki nafikiri hawajui maana ya unafiki......mtu huwezi kujinafiki.......bali unanafikiwa....hawajui unafiki wa baadhi ya majirani zetu (na hasa Rwanda).............all these shenanigans....it was just a matter of time........now time is telling.....watu wanapiga mayowe hapa.......kweli inashangaza sana........

Inashangaza kwa kuwa.......baadhi ya watu hapa wanataka kutuambia........eti kwa kuwa tuna matatizo 1,2,3,4.....then tusithubutu kukabiliana na tatizo 5, 6,and 7........hii akili sijui ni ya wapi.......kwenye muktadha huu sijui wanatumia sayansi gani kwamba usipotatua hili tatizo usitatue lile......otherwise eti ni unafiki!!........wanatumia neno unafiki pasipo.......

Wakuu Kobello , JokaKuu and masopakyindi heko kwa michango murua so far kwenye hii issue......




Mkuu Ogah nimeipenda hii article ahapa chini, naomba uipitie uone na wenzetu wanatujadili vipi katika himaya ya EAC.

baada ya hapo utatafakali maana ya unafiki katika context hii hasa inawahusu akina nani na kwanini kisha tujipime watz.



quote_icon.png
By displayname

Tanzanians who live or travel to Rwanda should do so freely and comfortably with no fear of persecution, Foreign Affairs Minister Louise Mushikiwabo has emphasised amidst the ongoing expulsion of Rwandans from Western Tanzania.

Speaking at a news conference in Kigali yesterday, the minister said that recent pronouncement of Tanzanian President Jakaya Kikwete regarding negotiations with DRC-based FDLR militia, will not disrupt strong ties between Rwandans and Tanzanians.

“Not only are we neighbours, we have strong ties among our people, we have blood ties, we have business ties, and we have a lot that brings us together,” Mushikiwabo said, also taking the opportunity to welcome Tanzanians in Rwanda.

“They can live here for as long as they wish. We consider them our own people in the East African Community.”

Mushikiwabo is also the government spokesperson.

The suggestion made by Tanzanian President Jakaya Kikwete in May this year that the Rwandan government negotiate with the FDLR sparked outrage in Rwanda.

The FDLR, whose French acronym means the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda, is made up of members who are largely responsible for the 1994 Genocide against the Tutsi in which over a million people died in a three-month slaughter campaign.

The group, which the UN has also branded a terrorist organisation, has been involved in creating instability in eastern Congo. The group has been involved in a spate of attacks in Rwanda including a grenade attack last month that killed three people and injured dozens.

Mushikiwabo said that Rwanda’s policy towards the militia has always been clear and is not about to change, a statement she made several times at the news conference, urging whoever suggests that Rwanda should engage FDLR in negotiations to forget about it.

“When you are associated with genocide, you should be an enemy of everybody,” she said, also explaining that “there should be clarity about why Rwandans are unhappy” when it comes to any ideas that recommend talking to the FDLR.

Expelled Rwandans

Meanwhile, Mushikiwabo said that the government will receive and protect Rwandans who are being expelled from Tanzania based on claims that they are illegal immigrants. She noted that it was regrettable that Tanzania did not consult Rwanda before kicking them out.

“There was a decision made, we were not consulted and our obligation as a state and as a government is to offer protection to the people coming to us and that’s what we have been busy doing,” she said.

Rwandan families, including those who have lived in Tanzania since the 1950s, have for the past three days been arriving through Rusumo border after President Kikwete instructed local officials to give only two weeks to the so called “illegal” immigrants to leave the Kagera Region, which shares borders with Rwanda.

The New Times’ Bureau Chief in the Eastern Province, Stephen Rwembeho, said that some Tanzanians of Rwandan origin have also arrived in Rwanda after their citizenship and other residential documents were torn up and destroyed by local officials in Tanzania.

The Ministry of Disaster Management and Refugee Affairs (MIDMAR), in conjunction with Kirehe District authorities have begun preparations to settle the expelled Rwandans. By press time, nearly 300 had registered with Rwandan Immigration officials.

Extradition of M23 commanders

Updating journalists on how Rwanda is handling DRC’s request for the extradition of former M23 commanders who are on Rwandan territory, Mushikiwabo said that it is not unusual that there is a long process before decisions on extradition requests are made.

Rwanda has already requested the DRC government to send documents containing records of suspects, their charges and evidence against them, as well as legal references forming the basis of prosecution of each suspect.

The Congolese government has asked Rwanda to extradite the former political leader of M23 Jean-Marie Runiga and former military commanders Baudouin Ngaruye, Eric Badege and Innocent Zimurinda, so that they can face prosecution back home.

“It is a process. Don’t just think that Rwanda would immediately put someone on a plane and send them back upon receiving the request,” Mushikiwabo told reporters. She also pointed out that Rwanda does not extradite suspects to countries that have the death penalty.

The fighters crossed into the country in March to escape divisions in M23 group and are currently interned in a temporary facility as required by international laws applicable to persons who have fled armed conflicts.


Comments

Is Expelling Tanzanians of Rwandan origin = Drive outs of Indians in Uganda by Idi Amini Dada? or not. I think a neighbor is worth than a friend or a relative. Our Politicians should think twice or more.

comment-37f.png
09:29:16 Friday 09th, August 2013 NYAMIRAMBO - RUTA
Reply | Close


While HE Kikwete came recently and will be gone tomorrow, Tanzania(ns) and Rwanda(ns) have always been and will hopefully always be. This stand of the Rwanda government I believe is based on this premise.
My humble advice to HIM (JMK) is to cease separating families no matter who or what he is trying to please or appease. The woman who was rudely separated from husband and children can cause such calamity as the whole of TZ can regret for a very long time.
It is from such issues that national curses originate from. Elders and religious leaders here have a task of cautioning HE JMK who may not be well versed in matters of history and/or tradition that his actions can cause unbearable consequences.
HE should also be cautioned to desist from liaison with FDLR. None has ever dined with interahamwe and lived to tell the tale. Mobutu, Kabila, Mitterrand, Obote.....they all died horribly and their descendants are paying dearly with overburdened consciences.
Desist JMK and retire honourably as your predecessors.

comment-37f.png
10:09:49 Friday 09th, August 2013 Kacyiru - Kennedy Maridadi
Reply | Close


Let me tell you two things: 1)If those people expelled from Tanzania are real and genuine Rwandans, then let us Welcome them back home. "Ahatari iwanyu si iwanyu" .2)We should however draw a lesson from what is happening now; and that is: People in the EAC member states are being told lies (by their officials) about integration. Facts are there to tell us the truth.

comment-37f.png
10:40:55 Friday 09th, August 2013 Kigali - John
Reply | Close


from the word go, Tanzanians were not ready for the integration. I now see the reason there was a meeting among three heads of state out of 5 in the EAC. The meeting was only for those who see positive results in the integration (the fast movers) while others are still held in inconsequential plans of expelling a common man from undeveloped jungles of Karagwe

comment-37f.png
11:47:59 Friday 09th, August 2013 Kigali - Seth
Reply | Close


The DRC government is just being run by jokers. The various international laws and protocols bar Rwanda from refouling individuals to countries where they might face torture and degrading treatment.
Going by the fate of the Kinyarwanda speaking FADRC and the captured M23 soldiers by the DRC government troops and their acolytes, there is no doubt that the latter is a torturous government. It would thus be pertinent for the Rwandan government not to hand over the renegade M23 officials under their custody to the DRC government.

comment-37f.png
12:43:53 Friday 09th, August 2013 United Kingdom - Moses Wamba


SOURCE; THE NEW TIME
 
Mkuu asante sana kwenye hiyo quote hapo juu.........unajua watu wanazungumzia unafiki nafikiri hawajui maana ya unafiki......mtu huwezi kujinafiki.......bali unanafikiwa....hawajui unafiki wa baadhi ya majirani zetu (na hasa Rwanda).............all these shenanigans....it was just a matter of time........now time is telling.....watu wanapiga mayowe hapa.......kweli inashangaza sana........

Inashangaza kwa kuwa.......baadhi ya watu hapa wanataka kutuambia........eti kwa kuwa tuna matatizo 1,2,3,4.....then tusithubutu kukabiliana na tatizo 5, 6,and 7........hii akili sijui ni ya wapi.......kwenye muktadha huu sijui wanatumia sayansi gani kwamba usipotatua hili tatizo usitatue lile......otherwise eti ni unafiki!!........wanatumia neno unafiki pasipo.......

Wakuu Kobello , JokaKuu and masopakyindi heko kwa michango murua so far kwenye hii issue......

Mkuu wangu Ogah,

Mwanakijiji ni mtu mwenye chuki sugu juu ya Rais Kikwete na chuki yake hiyo imejengaka katika misingi ya kijinga sana. Ndio maana anaombea Tanzania ipate matatizo ili apate cha kusema kuwa Kikwete nchi imemshinda. Kila siku anaona yale mabaya anayoiombea Tanzania hayatokei, ndio maana anafanya kila njia kuchochea chuki na vurugu nchini.

Hata siku moja Mwanakijiji hajawahi kuandika kitu positive. Yeye kila siku ni kuchochea ugomvi tu. Anastahili kupuuzwa...
 
Enyi watanzania mliojaa unafiki miyoni mwenu na kujiita watu wa amani mbona matendo na maneno yenu yanawasuta.

1.Rais kikwete aliwahi kusema anawajua wauza unga kwa majina lakini hakuwataja wala kuwachukulia hatua.matokeo yake tumeona vijana kama kina Langa,Ngwea na Ray C wakiangamia kwa sembe

2.Rais kikwete aliwajua mafisadi walionyakua vitita vya mabilioni ya shilingi lakini aliwasamehe na kuwaomba warejeshe.
3.Serikali ya rais kikwete imeshuhudia matukio ya kikatili kama kuteswa kwa Dr Ulimboka,Kibanda.kupigwa mabomu kwenye mikutano ya kidini na mauaji kadhaa bila kuchukua hatua stahiki za udhibiti.
4.Serikali hiyo hiyo ya JK imeshindwa kutimiza ahadi ilizoahidi kwa wananchi na badala yake kuyafanya maisha kuwa magumu zaidi.

Leo hii ukiniambia kuondoa wahamiaji haramu walioko kagera ndio priority hasa baada ya msigano kati yake na kagame nitakuona u-mnafiki wa kutupwa.

Jambo hili halitasukuma maendeleo ya kiuchumi ukilinganisha na mambo niliyoyataja hapo juu,sanasana litazorotesha uchumi na uhusiano wetu wa kidiplomasia.

TUSIWE WANAFIKI!!!
Huo ni mtazamo wako na nimawazo mgando!

Uhusiano wa kidiplomasia utamsaidia nini mtu wa Kagera au Kigoma

ambaye hana amani na nchi yake kisa wahamiaji haramu ambao wanafanya

vitendo vya ujambazi hebu tafakari kwanza mkuu.
 
naamini mwanakijiji anaishi marekani kama mhamiaji haramu na hana any legal documents zakumfanya aishi huko!! kwa maana kama anaelewa athari za wahamiaji haramu asingeongea huu utumbo aliouandika, ulaya nzima kwa sasa kampeni za kisiasa hutawaliwa na ishu ya kuhandle wahamiaji haramu, uingereza, ufaransa,italy,spain,sweden nakadhalika kote huku wahamiaji haramu wanawekwa maeneo maalum wanachunguzwa sababu za uhamiaji wao na kama hawakidhi vigezo wanakuwa deported back to their countries!!

tuseme haya mwanakijiji hayafahamu? au kujitia hamnazo tu ili apate sababu ya kupinga serikali? hana tofauti na Dr Slaa kwamba yeye kila kitu cha serikali basi ni kupinga tuuu, hizi ni akili za kawaida au akili za kukariri? wana tofauti gani basi hawa na wabunge wa CCM ambao hupinga kila mchango wa mbunge wa upinzani?

unafiki ni janga kubwa tulilonalo Tanzania, na kama hakuna uzalendo wa dhati basi hatuna chetu tena

You have said "..........wanakuwa deported back to their countries" baada ya uchunguzi na kujiridhisha kwamba hawakidhi vigezo. Swali ni Je, sisi hapa tunafanyaje? Tunawa - deport kwa utaratibu kama wanavyofanya hao U.S.A,Ufaransa na wengine Ulaya?? Mbona kama vile sisi hapa wamepewa siku tu kuondoka bila kwanza kuchunguza na kujua kila mmoja aliingiaje maana tunasikia wengine wana miaka hata zaidi 20 mpaka wameoa au kuolewa huku? Hivi inakuwaje mtu aliyeingia toka ktk taifa jingine akaishi zaidi ya miaka 20 katika nchi yenu, akaoa/olewa,akazaa na watoto bila mamlaka za nchi kujua na leo from no where anasimama mtu anasema huyu ni mhamiajai haramu??

Ikiumbukwe kuwa hakuna mtu anayekubaliana na tatizo la uhamiaji haramu popote pale duniani.Tunachosisitiza hapa ni kuwa lazima hawa watu watendewe kama watu na UTU na UBINADAMU uzingatiwe hata kama ni wahalifu kama ambavyo katiba yetu ya JMT inavyotamka!!
 
Mwanakijii anaendeshwa na chuki aliyo nayo juu ya Rais wetu.

Hakuna kingine.

Hata Kikwete angesema "tuwavumilia wahamiaji toka nchi jirani mpaka serikali zao zitakapokuwa tayari kuwahcukua" pia angeandika article ya kupinga.

Watu kama hawa kwenye jamii hawakosekani, ila tatizo ni kwamba kwa Tanzania ya sasa watu kama hawa ni hatari sana.

Kwa mfano anapomlinganisha Nyerere na Kikwete lengo lake ni kujustify nini? Hivi tukifikia conclusion kwamba Nyerere alifanya maamuzi bora zaidi ya Kikwete, then what?

Chuki inampeleka kubaya sana Mwanakijiji.
Hivi kuna mtu hatari kuliko Mwigulu Nchemba? ni wapi na lini Mzee Mwanakijiji alituhumiwa kupanga na kutekeleza njama za mauaji kama afanyavyo Mwigulu?
 
Naomba kuuliza, hivi mtu mwenye silaha za kivita na anayeua raia(kwa mujibu wa maelezo yako)hata kama ni mhamiaji adhabu yake ni amir jeshi mkuu kuyaagiza majeshi kumuondoa nchini au ni kumkamata na kumfikisha mahakamani?(nimelipuuza tusi lako kwa Mwanakijiji&#8203😉

Sasa mbona unajijibu mwenyewe. Umeelewa operation itakayofanyika?

Lengo la operation ni kuwakamata waarifu wote na kuwapa adhabu wanayostahili, wale watakaorusha risasi kwa askari wetu Rais kashasema "hawatachukuliwa mateka" na amesema wanajeshi wanaelewa maana ya kauli hiyo.

What else do you want? Rais amekula kiapo cha kuwalinda watanzania sio cha kulea wahamiaji haramu...
 
Hivi kuna mtu hatari kuliko Mwigulu Nchemba? ni wapi na lini Mzee Mwanakijiji alituhumiwa kupanga na kutekeleza njama za mauaji kama afanyavyo Mwigulu?

Hivi Mwanakijiji alivyofanya uchochezi wa kumtaka Kadinali pengo aitishe vita vya kidini sio njama ya uuaji?

Mwanakijiji inabidi ajue kuwa haya maandishi yake ya kichochezi siku kikilipuka atajumuishwa the Hegue kama yule mtangazaji wa Kenya...
 
Hapa tuweni wakweli tu, waliolengwa kwenye huo mwavuli wa wahamiaji haramu ni wanyarwanda, tuacheni unafiki.
Kama hakulenga wanyarwanda, kwa nini azungumzie kwenye wahamiaji wengi wanyarwana asiende kuzungumzia mpaka wa Namanga?

Sasa hiyo ni nadharia mliyojitengenezea nynyi wenyewe kwa paranoia inayowasumbua. Rais hajasema wanyarwanda amesema wahamiaji haramu.
 
jokaKuu,
Mimi nimemwelewa Mwanakijiji. Of course Nyerere hajawahi kufukuza mkimbizi yeyote iwe ametoka Kenya, Uganda hata Malawi. Ndio point ya Mwanakijiji hiyo. Waganda waliosaidiwa ni wale waliokimbia kutoka utawala wa Idd Amin. Hivi huoni kuwa ni ajabu kwa rais Kikwete kutaka wakimbizi wasio halali warudi kwao wakati huu wa ugomvi wake na Kagame? Je, atafanya msako pale Kariakoo kuwaondoa Wachina, wahindi na wapakistan walioko Tanzania kinyume na sheria. Kwa nini wanaoondoka ni Wanyarwanda peke yao?

Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya "Mkimbizi" na "Mhamiaji Haramu (illegal immigrants)".......besides....wanaondoka si illegal immigrants wa kutoka Rwanda pekee (msi-take advantage ya uhasama wa JK na PK ili kukuza issue ambayo haipo).......Wahima, Wachiga and the likes wako Rwanda na Uganda pia, kuna Waganda, Wajaluo pia ambao ni wahamiaji haramu.......they will go out of our country as well......amri ya JK ni across the board.......
 
Hivi Mwanakijiji alivyofanya uchochezi wa kumtaka Kadinali pengo aitishe vita vya kidini sio njama ya uuaji?

Mwanakijiji inabidi ajue kuwa haya maandishi yake ya kichochezi siku kikilipuka atajumuishwa the Hegue kama yule mtangazaji wa Kenya...
Tuanze na kumkemea kwa nguvu zetu zote unyama na ushenzi wa Mwigulu Nchemba na siasa zake chafu za kiuaji, hivi wewe binafsi huuoni unyama wa Mwigulu? Mzee Mwanakijiji katoa hoja yake watu wachangie, lakini Mwigulu katenda unyama dhahiri.
 
Haijalishi JK na PK wanamgogoro wao, ninachoangalia hapa ni utekelezwaji wa sheria za nchi yetu ikiwemo ulinzi na usimamiaji wa KATIBA ya Jamhuri ya Watu wa Tanzania,


Ninamlaumu rais wangu Kikwete kwakuchelewa kuchukua hatua, lakini ninamshukuru kwa hatua hii aliyoichukua, vilevile ninaona kawapendelea sana hawa wahamiaji HARAMU kuwambia warudi makwao badadala yakuwafikisha mbele ya sheria, haina tofauti kama wale wa EPA,

Katika hili nitasimama na JK ilimradi Watanzania wote tunakubaliana kuwa wageni wote walioamuriwa kuondoka nchini ni WAHAMIAJI HARAMU
 
Back
Top Bottom