Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

sasa mkuu kukuambia uko nyuma ya muda ni kuvunja utu wako, unaelewa maana ya kuvunja utu wa mtu? basi mkuu nisamehe kama nimevunja utu wako.
Nimekusamehe ila lugha yako ni ya kibaguzi kwamba sistahili kuwepo jf,Mobhare Matinyi ni mkuuwa wilay ma ya Temeke,sio wote wanaojua hivyo.Kwa msaada wa wengi ilipaswa aeleze hivyo na sasa kbadilishwa nafasi!Wewe unaenda mbali kwamba niko nyuma na sifai kuwa jf!Ndo maana nimekwambia,unaonekana unanijua sana!Si kwa dharau huzo!
 
Unaonekana ni mtu wa kujikweza sana wewe kwa taarifa yako,JISHUSHE.
sasa mkuu ningekuwa mtu wa kujikweza si ningesema nina uwezo wa kumzuia sa100 asiwe na mafungamano na nchi za kiarabu, ndo nikasema uwezo huo sina, me ni kibodi woria tu chief.
 
Back
Top Bottom