Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Kazi iendelee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ilisemwa kuwa Jana ndio ameteua au Jana ndio alitangazwa na kwani katiba
Wengine wapo JF mahususi Kwa ...Kula tunda kimasihara,Jf Usiku wa Manane,Wanaodhani wamepungukiwa nguvu za Kiume, Timu Wema,Kiba,Diamond .Harmonize nk!Uko nyuma ya muda sana mkuu, kimsingi hukutakiwa hata uwepo hapa jf.
Katiba ni ya mwaka 1977 mkuu. Ni hilo tu.mkuu sasa na wewe unakuwa kilaza sasa, kwa hyo nikishapata kazi ikulu ndo nitakuwa na mamlala ya kumpangia rais safari, mkuu unajua mamlaka aliyonayo rais wetu kwa mujibu wa katiba ya 1970?
Kilaza bibi yako kenge wewe.mkuu sasa na wewe unakuwa kilaza sasa, kwa hyo nikishapata kazi ikulu ndo nitakuwa na mamlala ya kumpangia rais safari, mkuu unajua mamlaka aliyonayo rais wetu kwa mujibu wa katiba ya 1970?
UmEjuaje yupo DOHA Mkuu,
waarabu wana hela ila hawana ujuzi, hzo kampuni zao zinaendeshwa na wazungu, kamuulize MBS, vikao vya siri anavofanyaga na akina elon ni vya nn?Chuki zako tu nilijua hata una sababu za msingi.
Huko ulaya unakokuabudi wazungu wanawapa tenda hawa waarabu unaowachukia wewe.
Mkuusi muhimu,
halazimikuki kukujulisha au kutokukujulisha.
unawezajulishwa au unaweza usijulishwe hiyo ni hiari yake ilmradi gharama za za jumla za safari za Rais zilisha pitishwa kitambo.
Dubai mkuyMkuu
Kwa hiyo bajeti ikipitishwa anachukulia wapi hayo masurufu?
Jitahidi kutumia tembe ili kupunguza wasio na stamina za bolungata mitaani
Waarabu walikupa talaka kwa kosa gani ukajenga hiyo chuki?kabisa, waarabu, hapana kabisa,
kumbeKatiba ni ya mwaka 1977 mkuu. Ni hilo tu.
Wazungu kwa sasa wamefulia ile mbaya.HUYU MAMA ANA AGENDA GANI NA NCHI ZA KIARABU HUYU?
huu uzi unamhusu sa100, bibi yangu kaingiaje hapaKilaza bibi yako kenge wewe.
Ukijibiwa unitag,hata mimi simfahamu kabisa.Mobhare Matinyi ndio nani?
nilioa mwarabu wakawa wanakuja kwangu nakosa hata amani, yaani hawana ustaarabu wanaingia mpaka chumbani kwangu tena watu wazima kabisa, wake kwa waume, halafu si unajua tena waliwauza sana babu zetu utumwani hawa,Waarabu walikupa talaka kwa kosa gani ukajenga hiyo chuki?
Mkuu temana na hii ishu , jamaa kamind nimeshamuomba msamaha lkn, na yeye kanisamehe kiroho safi.Wengine wapo JF mahususi Kwa ...Kula tunda kimasihara,Jf Usiku wa Manane,Wanaodhani wamepungukiwa nguvu za Kiume, Timu Wema,Kiba,Diamond .Harmonize nk!
waarabu wana hela hilo hakuxa wa kupinga, ila hawana ujuzi.Wazungu kwa sasa wamefulia ile mbaya.
Sawa bwana adrizUbaya uko wapi hapo?
Dr Lucas mwashambwa inabidi awapige msasa wa kutosha juu ya masuala ya diplomasia et al 😂🤣