Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Hao wote hawana maana,hakuna mtu mweupe mwenye mapenzi mema na mtu mweusi hao wazungu wanataka ukubali ushoga waarabu wanataka uwe manamba wao.

Hawafai kabisa ilibidi sisi wenyewe weusi tujisimamie unfortunately tunaangushwa na viongozi vilaza kama hawa wanaotuongoza
Hizi fikra au haya mawazo ya kimasikini yatakufanya ufe masikini,Dunia inafunguka kwa sasa,

Ipo siku mwisho utasema ujisimamie kazi zako zote wewe mwenyewe hutataka kuwaamini hata ndugu zako.
 
Nimekusamehe ila lugha yako ni ya kibaguzi kwamba sistahili kuwepo jf,Mobhare Matinyi ni mkuuwa wilay ma ya Temeke,sio wote wanaojua hivyo.Kwa msaada wa wengi ilipaswa aeleze hivyo na sasa kbadilishwa nafasi!Wewe unaenda mbali kwamba niko nyuma na sifai kuwa jf!Ndo maana nimekwambia,unaonekana unanijua sana!Si kwa dharau huzo!
Nisamehe mkuu wangu, huyo jamaa ndo ameteuliwa kuwa msemaji wa serekali yetu kwa sasa. nisamehe boss si unajua hapa jf huwa kuna vimameno maneno tunatumiaga mkuu wangu? sorry chief i ddnt mean to offen yu, imetokea tu.
 
Kuna vimbwenelehi watakuja hapa kusema kuwa safari za rais ni privacy.

Kama anatumia hela zake sawa, lakjni kama anatumia kodi yangu basi kila dime counts
 
Wewe unataka rais awe anaenda wapi ili uone sawa? Kaombe kazi Ikulu ili uwe unampangia rais safari ambazo unazipenda wewe.
mkuu sasa na wewe unakuwa kilaza sasa, kwa hyo nikishapata kazi ikulu ndo nitakuwa na mamlala ya kumpangia rais safari, mkuu unajua mamlaka aliyonayo rais wetu kwa mujibu wa katiba ya 1970?
 
Kuna vimbwenelehi watakuja hapa kusema kuwa safari za rais ni privacy.

Kama anatumia hela zake sawa, lakjni kama anatumia kodi yangu basi kila dime counts
si muhimu,
halazimikuki kukujulisha au kutokukujulisha.

unawezajulishwa au unaweza usijulishwe hiyo ni hiari yake ilmradi gharama za za jumla za safari za Rais zilisha pitishwa kitambo.
 
Back
Top Bottom