Swali: Siku hizi kuna uchawi ambao unafanya mwanaume asiweze pata mwanamke?

Swali: Siku hizi kuna uchawi ambao unafanya mwanaume asiweze pata mwanamke?

Dawa ndogo sana hiyo chukua pilipili mbili kichaa na majani ya mkunde pori saga then oga asubuhi tu kwa ck mbili


Angalizo:usifumbue macho
 
Dar hii ndiyo wapo lakini wako wapi!?

Kila kona ya starehe na ya kawaida iwe beach, kanisani, mtaani, vyuo vikuu, maeneo ya kazi, kote huko ili mradi ni public places wapo kibao. Mtu hawezi kuwekewa bango la kutafuta mume hadi uongee nae taratibu ndo utajua anamiss nini kwenye maisha yake.
 
Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo,
Mwanamke ndo anatakiwa afanye hiyo tathmini na sio wewe.

Na una tabia ambazo hazivutii watu.

Baadhi ya personalities na matatizo ya kiakili vinaweza kuharibu uwezo wako wa kuwa na mahusiano. Jitathmini.
 
Waombe yasiwakute mimi nina mwaka wa pili sasa sina dem na pia show hakuna.....siku za nyuma nilisha tumia mbinu ya kuhonga, zawadi, outing ila dem sipati,

Baad ya tathmini ndefu likanijia wazo la kuanza kununua malaya ila siku hiyo hiyo ndo siku ambayo Rpc Murato alitangaza vita na kuahidi kutokomeza biashara ya umalaya Dodoma na kwa trailer walikamatwa wadada kibao na wateja wao nadhani mnakumbuka hiyo habari,

Baad ya tathimin ndefu tena nkasema okey isiwe shida siku hizi sina habari kabsa na wanawake hata menyu ya kujiunga meseji na dakka nmeisahau this is serious.....ni kama JF na Ps4 langu ndo vimekuwa wapenzi wangu.
 
Back
Top Bottom