Waombe yasiwakute mimi nina mwaka wa pili sasa sina dem na pia show hakuna.....siku za nyuma nilisha tumia mbinu ya kuhonga, zawadi, outing ila dem sipati,
Baad ya tathmini ndefu likanijia wazo la kuanza kununua malaya ila siku hiyo hiyo ndo siku ambayo Rpc Murato alitangaza vita na kuahidi kutokomeza biashara ya umalaya Dodoma na kwa trailer walikamatwa wadada kibao na wateja wao nadhani mnakumbuka hiyo habari,
Baad ya tathimin ndefu tena nkasema okey isiwe shida siku hizi sina habari kabsa na wanawake hata menyu ya kujiunga meseji na dakka nmeisahau this is serious.....ni kama JF na Ps4 langu ndo vimekuwa wapenzi wangu.