SWAT, FBI na CIA nini tofauti ya hizi taasisi?

Is it ok kusema fbi ndio equivalent to dci office yetu?
Hapana, mashitaka yanayofanywa na Federal Government Marekani hayasimimiwi centrally kama DCI wa kwetu anavyosimamia mashitaka yote ya jinai nchini. Badala yake, Marekani wana ofisi za kanda US Attoney's Office ambao ndio wanashughulikia mashtaka ya federal ndani ya kanda yao. Elewa kuwa Marekani wana serikali za ngazi mbalimbali kuanzia Federal government, State government, County government, na mwishoni Local government. Kila serikali kwa ngazi yake ina sheria zake na Attorney's office yao ambayo ndiyo inayosimamia mashtaka yaliyo chini ya jurisdiction yake. Ndiyo maana kama ulifuatilia kesi ya yule askari Derek Chauvin aliyemuua George Floyd, kwanza alishitakiwa na State of Minnesota kwa mauaji ambapo alikutwa na hatia, hivyo kufungwa jela kwa miaka 22 jela. Hata hivyo akiwa tayari yuko jela, bado ofisi ya US Attorney ya Minneeapolis nayo ilimfuata huko jela na kumshitaki tena kwa kumkosesha George Floyd haki zake za binadam, akakubali makosa. Anategemea kuhukumia kifungo jela kwa takriban miaka 20 kutokana na hii kesi ya Minneapolis US Attorney office. Yeye anataka akafungwe na Federal Governement badala ya State Governement kwa vile kule federal kuna unafuu kidogo.
 
Sasa mm nataka kuuliza yule jamaa juzi juzi hapa aliye set off smoke grenades na baadae kuanza kushoot watu kwenye subway station alifanya federal crime mbona tunaona FBI walihusika pia......
 
Sasa mm nataka kuuliza yule jamaa juzi juzi hapa aliye set off smoke grenades na baadae kuanza kushoot watu kwenye subway station alifanya federal crime mbona tunaona FBI walihusika pia......
Maswali ya kiyoyo hayo. Kama unataka kuelewa nitakujibu, na kama unataka kuchallenge basi tayari unajua na wala huna haja ya kuuliza. Kama umepinga kila kitu nilichokuambia ambacho nina uhakika kuwa 100% ni sahihi, unategema nini kwangu tena. Mtu mwenyewe una lugha za uchochoroni.
 
Sasa wewe unataka watu wakubali kila unachoandika......
 
Wewe jibu hilo swali....
 
Kutokana na marekani jinsi ilivyo kutokana na katiba yake Federal government ni sawa na central government kwa hapa bongo.

Kwa hiyo unataka kuniaminisha Kwamba Marekani makosa yapo kingazi yaani kwenye hizo Federal government mpaka Local government....

Hapo ndo unaponishangaza mm aisee hicho kitu hakipo acha kutuongopea.
 
Una matatizo fulani ya kisaikolojia; tafuta wataalamu wakusaidie.
Kwa hiyo wewe ukiwaambia wenzio Wana pumba ukajibiwa kibingwa ndo wenzako Wana matatizo ya akili si ndo hivyo au ulitaka ujibiwe kwa kubembelezwa.....
 
Maelezo yako yameshiba ila hapo kwenye NSA hao wana deal na mambo ya Satellite, Traffic Camera etc
Marekani wana vitengo vingi mfano kuna Homeland security, DEA etc naona hamjazichambua hapo juu
 
Maelezo yako yameshiba ila hapo kwenye NSA hao wana deal na mambo ya Satellite, Traffic Camera etc
Marekani wana vitengo vingi mfano kuna Homeland security, DEA etc naona hamjazichambua hapo juu
NSA wana majukumu mawili nimeshayatolea ufafanuzi, siyo satellite wala traffic camera kama unavyosema; in fact traffic camera ziko chini ya DOT kwenye local governments. Sasa hivi space force ina shirika la ujasusi linaitwa Space Delta 7 linaloshughulikia usalama wa masatellites tu. Homeland Security ni karibu sawa na wizara ya mambo ya ndani ya nchi wakitofautiana mambo machache tu; hiyo ni kubwa zaidi ya hayo mashirika ya ujasusi na upelelezi ambayo yako chini ya wizara nyingine. DEA ni kikosi maalum cha kushughulikia madawa ya kulevya kilichoko chini ya wizara ya sheria; hicho kina askari wake, wanasheria wake na majasusi/wapelelezi wake ambao wako chini ya kitengo cha ONSI kama nilivyoeleza huko nyuma.
 
Uko vzr
 
We jamaa ujuaji mwingi na unayoongea hayana uhalisia wowote, mbona mwenzio anajipambanua na anaeleweka vizuri tu.

FBI, Federal Bureau of Investigation ni domestic intelligence and security service of United states and its principal federal law enforcement agancy. Inafanya kazi under jurisdiction ya US department of justice...

CIA, Central Inteligence Agency ni civilian foreign intelligence service of federal government of US, na iko tasked with gathering, processing and analyzing national security infos from around the world hasa primarily wakitumia Human Intelligence HUMINT...

Hizo taasisi zote zina report kwa director of National Inteligence...

Mwenzako anaeleza vizuri na hoja zinaeleweka ila wewe umekazana kujib hoja kwa kebehi ilhali unachotetea hakieleweki.

Unachong'ang'ania ni sawa na kutuaminisha wizara ya mambo ya ndani na wizara ya mambo ya nje zinaingiliana shughuli zake. Ilhali hata kwa asiyejua lazima atakataa kwa kufatilia tu majina yanavojieleza...

Hizo movie mnazoziangalia huwa hamjifunzi kwazo pale CIA na FBI wanapooneshwa kugombania muhalif na FBI akimchukua kwasabab muhalif yu ndani ya mipaka ya nchi yao?

Em jibu hilo swali alilokuuliza, unawezaje kuzungumzia issue y security bila kua na intelligence?
 
Binafsi nmejifunza na kuelewa mengi sana

NB: si kila mtu yupo kwa ajili ya kujifunz na kielewa kutoka kwa wengin tunaribu kuwapuuza tu[emoji1488]
 
Huy jamaa ni mbishi kupita maelezo..... Anakataa CID na FBI kufanana sawa, namuuliza federal crimes US zinachunguzwa na nani? Na crimes hapa TZ zinachunguzwa na nani? Anabaki anatukana tu.

USA is very complicated country. Zile ni nchi 50 ndani ya nchi moja. Mfumo wao wa ulinzi, usalama na haki ni wa ajabu sana. Hata uchaguzi wao ni wa aina yake duniani, Hillary Clinton alishinda kwa kura zaidi ya mil 3 na bado nchi hakupewa!
 
Kwani nani ambaye amebisha kwamba FBI ni domestically nianzie hapo kwanza......

Ila uelewa wako ndo umeishia hapo mm niliielezea hiyo Tv show ili kuleta logic....

Na wewe pia kwa nn usiwe mjuaji pia kwani inakatazwa....
 
Acha kukurupuka..........
 

 
Hakuna cha federal crimes wala nn Kuna makosa mtu ukifanya yakiwa yana hatarisha usalama wa marekani lazima FBI waingilie kati lakini sio kucategorize makosa....

Hiyo mbona inajulikana ndo mfumo wao waliojiwekea kwenye uchaguzi mbona tumeona hata Biden alipitia hiyo hatua....
 
Maelezo yako yameshiba ila hapo kwenye NSA hao wana deal na mambo ya Satellite, Traffic Camera etc
Marekani wana vitengo vingi mfano kuna Homeland security, DEA etc naona hamjazichambua hapo juu
Mkuu USA wana Imagery and Mapping Intelligence Service, inaitwa National Geospatial-Intelligence Agency. Ndio wanafanya mambo ya Satellite na Mapping.

In total US wana intelligence agencies/service 17, na zipo very specialized kwenye maeneo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…