MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
DCI ni Director of Criminal Investigation; Sio Directorate of Criminal Investigation. DCI ni mtu anaongoza CID. Au nalo unataka kubisha?Kwani DCI inasimama Kama Directorate of Criminal Investigation au Director of Criminal Investigation....
Ulivyoelewa wewe ni mbwembwe kutokana na uelewa wako......ndo maana hata ukiambiwa kwamba pale kwenye TISS ile security na intelligence ni vitu viwili tofauti ukivichambua kiundaniHizo mbwembwe tu. Idi Amini FBI yake ilikuwa inaitwa "State Research Bureau", hapa kwetu kabla ya kuitwa TISS walikuwa wanaitwa "Special Branch". Swala kubwa ni majukumu gani wanafanya.
Kwa hiyo DCI ile sio directorate ni director.....DCI ni Director of Criminal Investigation; Sio Directorate of Criminal Investigation. DCI ni mtu anaongoza CID. Au nalo unataka kubisha?
View attachment 2196973
Sio ubishi, unapewa facts. Jibu kwa facts. Kama hata kujua tofauti ya Federal Crimes na State Crimes inakupata tabu, mambo mengi yatakupiga chenga. USA wana utitiri wa law enforcement agencies; Sherrifs, Marshals etc wote wana mipaka yao. Kasome vitabu achana na seriesWewe ni mbishi tu....unataka kuleta siasa
Kwani hiyo news imesemaje? Au Daily News nao wanaongopa? 🤣🤣🤣Kwa hiyo DCI ile sio directorate ni director.....
Kwa hiyo watu wanavyosemaga DCI mm nilijua ni Directorate of Criminal Investigation ambayo inakuwa na director wake.....au wewe unafikiri hilo neno ni geni kwanguKwani hiyo news imesemaje? Au Daily News nao wanaongopa? 🤣🤣🤣
Hivi unaelewa kwa nn hizo agency zote zinazotumia human source intelligence zinaitwa law enforcement au unaongea....Sio ubishi, unapewa facts. Jibu kwa facts. Kama hata kujua tofauti ya Federal Crimes na State Crimes inakupata tabu, mambo mengi yatakupiga chenga. USA wana utitiri wa law enforcement agencies; Sherrifs, Marshals etc wote wana mipaka yao. Kasome vitabu achana na series
Ni kweli Intelligence na Security ni vitu viwili tofauti, lakini majukumu hajatokani na jina; yanatokana na sheria inayoanzisha chombo. Ndio maana nikakwambia, kuna idara zinaitwa State Research Bureua na bado ni Intelligence and Security service.Ulivyoelewa wewe ni mbwembwe kutokana na uelewa wako......ndo maana hata ukiambiwa kwamba pale kwenye TISS ile security na intelligence ni vitu viwili tofauti ukivichambua kiundani
Swala sio ugeni wa neno, swala unaelewa maana yake. Maana ungekuwa unafuatilia maswala ya usalama, neno CID lisingekupiga chenga. Ndio maana ulivyokuwa unacheka watu wanavyofananisha FBI na CID tukawa tunashangaa. Maana hata FBI walipokuja Tanzania mwaka 1998, walionana na DCI maana ndio mwenzao kwenye maswala ya jinai.Kwa hiyo watu wanavyosemaga DCI mm nilijua ni Directorate of Criminal Investigation ambayo inakuwa na director wake.....au wewe unafikiri hilo neno ni geni kwangu
Naona unazidi kupoteana.... CIA ndio mtumiaji namba moja duniani wa Human Intelligence(HUMINT), unataka kusema CIA ni law enforcement agency?Hivi unaelewa kwa nn hizo agency zote zinazotumia human source intelligence zinaitwa law enforcement au unaongea....
Mm hayanipi chenga sema wewe ndo mgumu wa kuelewa vitu ambavyo tayari vimeshaandikwa tayari....
Uelewa wako ni mdogo ndo maana haunielewi....Naona unazidi kupoteana.... CIA ndio mtumiaji namba moja duniani wa Human Intelligence(HUMINT), unataka kusema CIA ni law enforcement agency?
DCI boss wake tuanzie hapo....Swala sio ugeni wa neno, swala unaelewa maana yake. Maana ungekuwa unafuatilia maswala ya usalama, neno CID lisingekupiga chenga. Ndio maana ulivyokuwa unacheka watu wanavyofananisha FBI na CID tukawa tunashangaa. Maana hata FBI walipokuja Tanzania mwaka 1998, walionana na DCI maana ndio mwenzao kwenye maswala ya jinai.
DCI boss wake ni naniNaona unazidi kupoteana.... CIA ndio mtumiaji namba moja duniani wa Human Intelligence(HUMINT), unataka kusema CIA ni law enforcement agency?
Unaandika utopolo. Hii mada sio saizi yakoUelewa wako ni mdogo ndo maana haunielewi....
Hivi unaelewa kwa nn hizo agency zote zinazotumia human source intelligence zinaitwa law enforcement au unaongea?
DCI boss wake ni IGP.DCI boss wake ni nani
CIA sio law enforcement sababu kazi yao ni kukusanya, kuzichambua na kufanya interpetation ya taarifa walizo nazo na kuzituma marekani kwa watunga sera...Naona unazidi kupoteana.... CIA ndio mtumiaji namba moja duniani wa Human Intelligence(HUMINT), unataka kusema CIA ni law enforcement agency?
Tatizo lako unajifanya unajua kumbe hauna unalojua ni siasa tu....Unaandika utopolo. Hii mada sio saizi yako
Jibu swali CIA ni law enforcement agency? Au CIA haitumii HUMINT?
Kwa hiyo FBI ni polisi acha utoto wewe...DCI boss wake ni IGP.
Mkuu unapoteana... wewe ndio umeuliza kwanini wanatoumia human int wanaitwa Law enforcement... nimekuuliza swali rahisi is CIA a law enforcement agency? Kama umepitiwa, sema tu nimepitiwa. Usitafute visingizio.Tatizo lako unajifanya unajua kumbe hauna unalojua ni siasa tu....
Halafu mm haunielewi ndo maaan unakurupuka kunijibu ndo maana haunielewi sababu ushaweka ile ligi.Mkuu unapoteana... wewe ndio umeuliza kwanini wanatoumia human int wanaitwa Law enforcement... nimekuuliza swali rahisi is CIA a law enforcement agency? Kama umepitiwa, sema tu nimepitiwa. Usitafute visingizio.