Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Amani kwenu wakuu
Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku
==================
Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na kuuwawa saa chache kabla ya kuingia mahakamani kusikiliza hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili kuhusiana na matendo yake ya kukichoma moto kitabu kitakatifu kwa waislamu Quran.
Polisi nchini Sweden imesema inawashikilia watu watano kuhusisna na tukio hilo.
Mwaka 2023, Salwan alifanya matukio kadhaa ya kuzichoma moto na kuzinajisi nakala za Quran katika kile alichosema ni kuilinda jamii ya Sweden dhidi ya mafundisho ya kitabu hicho cha kidini.
SAYUNI BOY