grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Yeye ni nani hadi kuwaaminisha wafuasi wa Muhammad kuwa anachokichoma siyo cha haki Bali kile anachokisha?
Watu wengine walimuamini vipi uthmani kuwa hakubadili sura alizoshushiwa mwamedi?
Je mwamedi aliteua mtu wa kunakili Yale aliyishushiwa na jibrili na je alikuwa na uhakika gani kuwa anachokiandika huyo mtu aliyemteua ni sahihi na kile alichoshishiwa ilhali alikuwa hajui kusoma wala kuandika?
Kwanini tumuamini uthmani kuwa nakala alizichoma ni batili na alizobakisha ni halisi?
Je mwamedi alitibitisha vipi kuwa kuluwani aliyishushiwa ndiyo halisi iliyoandikwa katika maandishi?
Kwanza jifunze kuandika vizuri si kwa ubaya lakini kulwani ndiyo nini? Mwamedi ndiyo nani?