Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

W
Huyo Mungu wenu mnao sema haitaji kupiganiwa na mwanadamu,kila kitu anaweza kujifanyia mwenyewe mbona hajawahi kushuka na kujenga kanisa badala yake mnategemea kukamua watu michango?
Au mbona hajawahi kushuka akajihubiri mwenyewe badala yake anawategemea wanadamu waje kutupigia kelele mitaani waki muhubiri?

Au mbona hashushi biblia kutoka mbinguni badala mnaenda kununua zilizo chapishwa na wanadamu?
Weka msisitizo "chapishwa na wanadamu".
 
Amani kwenu wakuu

Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku
==================

Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na kuuwawa saa chache kabla ya kuingia mahakamani kusikiliza hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili kuhusiana na matendo yake ya kukichoma moto kitabu kitakatifu kwa waislamu Quran.

Polisi nchini Sweden imesema inawashikilia watu watano kuhusisna na tukio hilo.

Mwaka 2023, Salwan alifanya matukio kadhaa ya kuzichoma moto na kuzinajisi nakala za Quran katika kile alichosema ni kuilinda jamii ya Sweden dhidi ya mafundisho ya kitabu hicho cha kidini.

SAYUNI BOY
Kuna watu wakiona mtu anapigwa lisasi na kufa wanafurahi sana. Huo ni ujinga mkubwa sana. Mungu hapendi watu wafanyiwe hivyo.
 
Mwenyezimungu mjuzi kabisaa mana'ke angekua kichaa ndo wazushi mngezidisha chumvi na kusema ni kitabu cha majini...si ndio?
 
ALIYECHOMA KITABU KITUKUFU CHA QUR-AN NCHINI SWEDEN MWAKA 2023 Salwan Momika
APIGWA RISASI NA KUFARIKI JUMATANO USIKU.

Salwan Momika, Who Burnt Quran In 2023, Shot Dead Ahead Of Court Hearing In Sweden.

View attachment 3219090

View attachment 3219091

---
Salwan Momika, mchomaji wa Kuran na mkimbizi kutoka Iraq, ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake huko Södertälje, karibu na Stockholm, Uswidi.

Kulingana na ripoti Momika alikuwa akifanya matangazo ya moja kwa moja wakati wa tukio hilo.

Polisi walifika nyumbani kwake na kusitisha matangazo hayo.

Tayari watu watano wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo, huku uchunguzi wa mauaji hayo ukiendelea.
Mwana kulitafuta mwana kulipata akili yako usipoitumia vizuri majuto ndio uyo uyo Mjuukuu
Sifa za kipumbavu angechoma kimya kimya yasingemkuta lkn misifa imemponza!!!
mwengine ajichanganywe Kufa ushujaa pia!!!! Quran tukufu, inawenyewe tofaut na vitabu vengine!!
 
Mumtukane na kumzushia mara ngapi?..nyie wagalatia ni wazushi hiyo ndo laana mliyoachiwa kama waislam walivyo achiwa laana ya unafiki..manabii karibia wote wa mwenyezimungu mmewazushia uzushi
Mmezushia yeye ni mtoto wa mungu haikutosha wakaja wengine wakasema ni mungu..mkaona haitoshi mkamchora pia hamkutosheka mkamchongea na kinyago pia hamkutosheka sasa mnadai eti anawajia na kumuota sijui nini blah blah nyng kila pembe ya dunia wachungaji wenu yesu anawajia...na kuwapa maono
Yote tisa kumi Papa Francis akasema ameongea na mungu awabariki LGBT kanisani asiwatenge...mkafanya kufuru kwny michezo ya Olympics Paris eti yesu alikula mkate wa bwana na mashoga... hapo bado ule uzushi wenu kwmb mwaka 2000 ni mwsh wa dunia ilikua vipeperushi kila sehemu mpk Kibwetere akawachoma kanisani...kwa hilo mjua wenyewe nyie endeleeni tu
 
View attachment 3219119
View attachment 3219120
Waziri Mkuu wa Uswidi alisema Alhamisi kuwa serikali ya kigeni inaweza kuwa ilihusika katika mauaji ya mkimbizi wa Iraqi ambaye alizua mvutano wa kimataifa kwa kuchoma Kurani kwenye maandamano ya 2023.

"Ninaweza kuhakikisha kwamba huduma za usalama zinahusika sana katika hili kwa sababu ni wazi kuna hatari kwamba kuna uhusiano na nguvu ya kigeni," Waziri Mkuu Ulf Kristersson aliuambia mkutano wa waandishi wa habari siku moja baada ya Salwan Momika, 38, Mkristo kutoka Iraq, ameuawa kwa kupigwa risasi leo 30.01.2025 kusini mwa Stockholm.
Safi nayeye akachomwe Ms misifa akidhani Wazungu watamlinda milele POLISI Wazungu penginne ndio Wamemuuza!!!
 
Allah ameshindwa kutoa adhabu ikabidi atume magaidi kufanya yao 😂
Nyie mungu wenu ndio mnamfanyia maigizo kabisa hoo anaponesha vipofu sijui walemavu kumbe mchungaji kaandaa VITUKO SHOW!!@ jamaaa sifa ziendeeee kwaaaaa aibu watu awana!!!
 
Siku ya Malipo bado Haijafika.Mungu Akikulipa Duniani ni kwa Mapenzi yake Akikuacha Ni Kwa Mapenzi Yake Na Allah Ndo Mjuzi wa Mambo.Kama Hiyo Quran Ingemletea Madhara Mngesema Waislamu Wachawi Kitabu Chao Cha Majini,Isipoleta Madhara Mungu Kashindwa Ndo Sifa Za Makafiri
Allah kamua atumie watu wake wafanye mauaji hayo. Nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom