Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kwanini nichome bendera ya Tanzania?Tafuta bendera ya taifa la Tanzania,nenda karibu na kitu cha polisi,ichome moto,kitakachokukuta uko mzima utajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini nichome bendera ya Tanzania?Tafuta bendera ya taifa la Tanzania,nenda karibu na kitu cha polisi,ichome moto,kitakachokukuta uko mzima utajua
Choma na weweMajini yamegoma ikabidi ikabidi watumie risasi
Nichome nini?! Kitabu cha majiniChoma na wewe
Farao aliyakataa maagizo yote ya Mungu yaliyoletwa na Musa. Wala Musa wala wana wa Israel hawakunyanyua mapanga au fimbo zao kumpiga au kumwua Farao na watu wake waliokataa maagizo ya Mungu. Bali Mungu mwenyewe aliwaadhibu Farao na familia zote za waarabu kwa kumua kila mzaliwa wa kwanza wa familia za Wamisri.Unadhani wakati wa Musa mtu angemtusi Mungu au torati angeachwa salama?
Eti makafiri!Waislam mnavituko sana!Siku ya Malipo bado Haijafika.Mungu Akikulipa Duniani ni kwa Mapenzi yake Akikuacha Ni Kwa Mapenzi Yake Na Allah Ndo Mjuzi wa Mambo.Kama Hiyo Quran Ingemletea Madhara Mngesema Waislamu Wachawi Kitabu Chao Cha Majini,Isipoleta Madhara Mungu Kashindwa Ndo Sifa Za Makafiri
Kuchoma kitabu ulichokinunua mwenyewe inaingiliaje imani ya mtu mwingine??Sitetei uislamu au dini yeyote, ila kitendo cha kuchoma maandiko anayoyaona mwenzako ni matakatifu huo ni upungufu wa akili,na akikuchukulia hatua yeyote ile kutetea imani yake hana hatia. Ndugu zangu tumepewa uhuru wa kuabudu,kuchagua dini,kwa nn uingilie imani au dini ya mwingine? Rubbish
Dah! Pole sana babe kwa kushindwa kukulinda. Wakati mwingine nitajitahidi kukaa macho ili nipambane na yeyote yule anaye kubughudhi humu jukwaani. 😩Kingine ujue kitu sio lazima unipende wewe kama unaniona hovyoo sio kila mtu kwa sasa nampenda mmoja tu na anajua hana haja yakuitwa itwa yeye ni mzee kalala saizi
SweetyCandy ana mume mmoja tu, na ndiyo mimi Tate Mkuu. Ok? Na Tate Mkuu ana mjukuu mmoja tu anayefahamika kwa jina la ephen_, ok?Chukuana mkeo SweetyCandy muende
Jana ulifunguliwa uzi lakini mods wakafuta. Uliuona?SweetyCandy ana mume mmoja tu, na ndiyo mimi Tate Mkuu. Ok? Na Tate Mkuu ana mjukuu mmoja tu anayefahamika kwa jina la ephen_, ok?
Halafu Tate Mkuu ana mdogo wake mmoja tu ambaye ni genius kweli kweli kichwani. Na jina lake anaitwa GENTAMYCINE The King, ok?
Hata sikuuona eti. Unahusu nini? Na kwa nini Mods waliufuta? Bila shaka ulikiuka maudhui yao.Jana ulifunguliwa uzi lakini mods wakafuta. Uliuona?
Hata mimi nilishangaa wao kuufuta wakati haukua na shida yoyote! Mkeo alikua anauliza kwanini wanawake humu wanakupenda sana na yeye anakuzimikia anataka umuoe haraka😜 (nimeongeza na chumvi)Hata sikuuona eti. Unahusu nini? Na kwa nini Mods waliufuta? Bila shaka ulikiuka maudhui yao.
Huyo Bwege wenu alipididiwa atanifanya nini?Quran haijawai kumletea mtu madhara ila binadamu ndio wanamletea mtu madhara kwa kumpigania Allah.
Mbagala ilikojolewa ila Allah hakufanya chochote. Ila binadamu wa kiislamu ndio wakaenda kuchoma makanisa
Nawasiwasi na huyu mjukuu huyuuSweetyCandy ana mume mmoja tu, na ndiyo mimi Tate Mkuu. Ok? Na Tate Mkuu ana mjukuu mmoja tu anayefahamika kwa jina la ephen_, ok?
Halafu Tate Mkuu ana mdogo wake mmoja tu ambaye ni genius kweli kweli kichwani. Na jina lake anaitwa GENTAMYCINE The King, ok?
Kama Sweden walikuwa wanampeleka mahakamani kwa kosa la kuchoma basi alikuwa ana Haki ya kuhukumiwa sema tu wamemuwahi na hukumu ya Risasi badala ya kuachia mahakama iamue hukumuKumuua Salwan ambaye alikuwa anelekea Mahakamani alikoshtakiwa kwa makosa ya kuchoma Quran kunathiibitisha kuwa vitendo vya Salwan kuchoma Quran vilikuwa sawa na HALALI.
Tuendelee kuchoma kitabu cha shetani kama alivyogundua Salman Rushdie mwaka 1979 kwenye Satanic verses
Basi tu kuwakera waislamu. Na wamemuonesha kuwa wamekerwa 😂Kwanini achome lakini?
Ndiyo maana nasema tuemdelee kuchoma na kukojolea kitabu hiki cha KISHETANI hadi akili ziwakae sawa Waislamu.Kama Sweden walikuwa wanampeleka mahakamani kwa kosa la kuchoma basi alikuwa ana Haki ya kuhukumiwa sema tu wamemuwahi na hukumu ya Risasi badala ya kuachia mahakama iamue hukumu