Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

Kila siku nawaambia watu unaweza ukamtukana Yesu katika ya soko na bado ukatoka salama bila mchubuko wowote ule. Sisi tunaamini kama uliyemtukana ni Yesu mwenyewe basi yeye mwenye atadili na wewe kwa wakati wake.

Tunayeamini ana nguvu kupita kiumbe chochote duniani halafu tuanze tena kumpania anapokeliwa kwa kuchukua mapanga kuwacharanga wengine, kweli?
Ila unamtolea sadaka ya kuteketeza na kumjengea kanisa,anapenda nyamachoma!?..hana hela/nguvu za kujenga?
 
Sitetei uislamu au dini yeyote, ila kitendo cha kuchoma maandiko anayoyaona mwenzako ni matakatifu huo ni upungufu wa akili,na akikuchukulia hatua yeyote ile kutetea imani yake hana hatia. Ndugu zangu tumepewa uhuru wa kuabudu,kuchagua dini,kwa nn uingilie imani au dini ya mwingine? Rubbish
wewe mpuuzi kabisa, utakuwa wale wae
 
Amani kwenu wakuu

Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku
==================

Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na kuuwawa saa chache kabla ya kuingia mahakamani kusikiliza hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili kuhusiana na matendo yake ya kukichoma moto kitabu kitakatifu kwa waislamu Quran.

Polisi nchini Sweden imesema inawashikilia watu watano kuhusisna na tukio hilo.

Mwaka 2023, Salwan alifanya matukio kadhaa ya kuzichoma moto na kuzinajisi nakala za Quran katika kile alichosema ni kuilinda jamii ya Sweden dhidi ya mafundisho ya kitabu hicho cha kidini.

SAYUNI BOY
Kwaiyo ukichoma au kukojolea Quran Mungu hakufanyi chochote?
 
Hii dini ya samaleko ya kipuuzi sana,wafuasi wa Aya za mashetani wajinga sana,si wangeacha ili huyo Allah mpuliza matako wakati wanaswali ashughulike na huyo mchoma hizo Aya
 
Back
Top Bottom