Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

Unadhani wakati wa Musa mtu angemtusi Mungu au torati angeachwa salama?

Kwa hiyo tunaishi kwenye hizo nyakati? Leo hii hebu nithibishie uwepo wq huyo Allah wa waislamu anayesabisha muue watu
 
Kila siku nawaambia watu unaweza ukamtukana Yesu katika ya soko na bado ukatoka salama bila mchubuko wowote ule. Sisi tunaamini kama uliyemtukana ni Yesu mwenyewe basi yeye mwenye atadili na wewe kwa wakati wake.

Tunayeamini ana nguvu kupita kiumbe chochote duniani halafu tuanze tena kumpania anapokeliwa kwa kuchukua mapanga kuwacharanga wengine, kweli?
Ndiyo maana imani yenu inachezewa na mnaona kawaida tu ni mwaka jana tu kuna kipindi padri mmoja alitumia bible kama mpora wa rugby akaipiga teke kufunga goli na nyie kondoo mnaona sawa tu tena mnacheeka kweli kweli kondoo ninyi.

Papa tartiiibu anawazoesha ushoga na nyie kama kawaida kondooo mnaona kawaida tu kwani kuna shida gani? Huko kwenye makanisa mnaingia nusu uchi kwa kisingizio kwamba bwana anaangalia moyo na si mwili wakati bible imeelezea namna gani mwanamke ajistiri makondooo mnaona poa tu hakuna shida .

Bado unataka kuleta comparison na uislamu please fanya utani na imani yako usije kuugusa uislamu maana hatutaki utani kwenye dini si kwa ninyi kondoo , wapagani wala wapinga uwepo wa Mungu tu hata kwa waislamu wanaoleta utani na dini ukigundulika utapigwa tu akili ikae sawa .
 
Quran ni Quran mkuu km Harzat Usman alichoma Quran kisa ilikua ya kindengereko haina maana kwamba haikua Quran
Quran inateketezwa kwa moto ikiwa katika hali hizi

1. Ikiwa imechakaa sana kana kwamba imeisha haisomeki vizuri hapa inaruhusiwa kuiteketeza kwa njia hii ya moto au kuizika.

2. Kama alivyofanya uthmani (radhiallahu anhu) na hili tukio lilitokea mara moja pekee na baada ya kupitishwa standard ambayo ndo inatumika mpaka sasa ambayo waliipokea maswahaba hoja hii namba mbili inakosa nguvu na ukichoma pasi na kuwa na sababi namba moja hapo jui basi ujiandae kutiwa adabu na utapigwa tu.

Dini haitakiwa kufanyiwa mzaha .
 
hivi huwa hawakomi? yani kwa nini ufanye kitendo cha kipuuzi ambacho kinaweza kusababisha kuondoa uhai wako? wanachokitafuta huwa ni nini hasa?
 
Siku ya Malipo bado Haijafika.Mungu Akikulipa Duniani ni kwa Mapenzi yake Akikuacha Ni Kwa Mapenzi Yake Na Allah Ndo Mjuzi wa Mambo.Kama Hiyo Quran Ingemletea Madhara Mngesema Waislamu Wachawi Kitabu Chao Cha Majini,Isipoleta Madhara Mungu Kashindwa Ndo Sifa Za Makafiri
Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba, wapiga risasi wameona wamsaidie Mungu kutoa adhabu baada ya yeye mwenyewe mnyazimungu kumnyamazia kimya huyo jamaa mwenye matusi
 
Leo unaandika ujinga ujinga tu mkuu shida nini? Uthman (radhiallahu anhu) alichoma ile misahafu kwa sababu watu waliibadili kuileta kwenye lahaja na lugha zao ambazo baadhi ilibidi wapunguze au kuongeza hirabu, maneno au herufi kuweza ku fit matamshi na kuleta maana kwenye lugha hizo hivyo wakakuta maana halisi imebadilika .

Hivyo uthman ( radhiallau anhu) alipopata taarifa hizo alitoa chapa halisi ya quran ambayo ilinukuliwa kama ilivyoshuka ( kumbuka swahaba walisikia quran kwa mtume muhammad (peace be upon him) na ikawachukua muda mrefu mno kui compile na ilitumika kazi kubwa mno mpaka kuinukuuu yote ) .

Hivyo aliamrisha misahafu yoote niliyotaja hapo juu ichomwe na kuwapatia watu wajifunze sasa ile halisi ambayo hawakuwa wame i edit ku fit matamshi na lahaja zao .

n.b
Siku nyengine ukichangia mada ulete ikiwa imeshiba kama hivyo.
Yeye ni nani hadi kuwaaminisha wafuasi wa Muhammad kuwa anachokichoma siyo cha haki Bali kile anachokisha?
Watu wengine walimuamini vipi uthmani kuwa hakubadili sura alizoshushiwa mwamedi?
Je mwamedi aliteua mtu wa kunakili Yale aliyishushiwa na jibrili na je alikuwa na uhakika gani kuwa anachokiandika huyo mtu aliyemteua ni sahihi na kile alichoshishiwa ilhali alikuwa hajui kusoma wala kuandika?
Kwanini tumuamini uthmani kuwa nakala alizichoma ni batili na alizobakisha ni halisi?
Je mwamedi alitibitisha vipi kuwa kuluwani aliyishushiwa ndiyo halisi iliyoandikwa katika maandishi?
 
Back
Top Bottom