Man filandu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 412
- 402
Ushasema wakati wa mussa sasa huu ni wakati wa Mussa ?Unadhani wakati wa Musa mtu angemtusi Mungu au torati angeachwa salama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushasema wakati wa mussa sasa huu ni wakati wa Mussa ?Unadhani wakati wa Musa mtu angemtusi Mungu au torati angeachwa salama?
Holoholo ni chizi kama jina lake, Comment amefuta ila namba bado tunaziona sasa cjui ajaona pm ya mrembo kuwa ipo wazi mpaka kuandika namba kwenye Comment au vp 😂Itakuwa holoholo akili zake anazijua mwenyewe, sasa hapo umem reply hata akifuta baada ya hizo dakika 5 si ndiyo itaendelea kuwa hewani!
Na mrembo mwenyewe sasaHoloholo ni chizi kama jina lake, Comment amefuta ila namba bado tunaziona sasa cjui ajaona pm ya mrembo kuwa ipo wazi mpaka kuandika namba kwenye Comment au vp 😂
Holoholo anaupwiruHoloholo ni chizi kama jina lake, Comment amefuta ila namba bado tunaziona sasa cjui ajaona pm ya mrembo kuwa ipo wazi mpaka kuandika namba kwenye Comment au vp 😂
Itabidi awe mrembo tuu hakuna namna 😂 cha msingi kitobo awe nacho tuNa mrembo mwenyewe sasa
Huyu ana upwiru hadi akilini mpaka haelewi mamboHoloholo anaupwiru
Mna hangaikaga nikirudi kuchangia mada olewa wewe basi na hao unao ona wanataka kunioaTusibishane imetosha turudi kwenye mada
Nilivyoo umenizaa lini hangaika na maisha yakoMimi nakujua ulivyo ndio maana nakwambia
Mm nahusikaje hapoSweetyCandy embu waambie hao akina Mbaga Jr
UshapanicNilivyoo umenizaa lini hangaika na maisha yako
Basi yameisha holoholo chukua hii mama uendeMna hangaikaga nikirudi kuchangia mada olewa wewe basi na hao unao ona wanataka kunioa
Sawa mwaya mie nipo gado sina shida kila mtu anaona atakachooSweetyCandy embu waambie hao akina Mbaga Jr
Basi yameisha wewe mzuri mrembo furahia sasaSawa mwaya mie nipo gado sina shida kila mtu anaona atakachoo
Kingine ujue kitu sio lazima unipende wewe kama unaniona hovyoo sio kila mtu kwa sasa nampenda mmoja tu na anajua hana haja yakuitwa itwa yeye ni mzee kalala saiziBasi yameisha holoholo chukua hii mama uende
Basi yameisha umeeleweka Unique Flower yuko wapi?Kingine ujue kitu sio lazima unipende wewe kama unaniona hovyoo sio kila mtu kwa sasa nampenda mmoja tu na anajua hana haja yakuitwa itwa yeye ni mzee kalala saizi
mtu hapangiwi cha kusema SweetyCandy wanguSawa mwaya mie nipo gado sina shida kila mtu anaona atakachoo
Chukuana mkeo SweetyCandy muendemtu hapangiwi cha kusema SweetyCandy wangu