Sweden kuwafukuza kwa nguvu watu wenye asili ya Iraq

 

 
Waende Misri au saudi arabia kwa warabu wenzao, nini kinawalazimisha wakilimbilie nchi za makafiri
 
Warudishwe haraka
 
USA, NATO na allies wao ndio chanzo cha haya yote, Iraq waliishi vizuri, Syria waliishi vizuri nk matokeo yake ndio haya sasa.

Waarabu wa UAE, Saudia, Qatar, Bakhrain, Kuwait nk mbona wanaishi vizuri bila shida.
 
Tatizo humu kuna chuki za udini kupita kiasi. Ebu tulizeni akili zenu kidogo. Hizi habari za uzushi ni nyingi. Nchi nyingi za magharibi zinapata na tatizo ya uhamiaji kwa sababu mbili kuu 1) vita walivyovianzisha wao kama WMD waliosingiziwa Wairaq 2) Hali ngumu ya maisha kama vile Africa ya magharibi,etc.. Waingereza walikuwa wanataka kuwa export Rwanda.
kuwatoa wanasingiziwa wamiaji chochote. Juzi juzi tu Trumph amewashutumu Wa Haiti kuwa wanaiba na wanakula mbwa na paka za wakazi marekani. Haiti ni waafrika ( wazungu weusi).
 
Ni vizuri waondoke huko kwa MAKAFIRI waende kwa ndugu zao katika imani SAUDIA,IRAN,UAE,BAHRAIN.QATAR huko wataishi kwa raha mustarehe huku wakimtumikia Allah.
 
Hapo Zanzibar tu tumeshuhudia makanisa yakichomwa, au napo tuna chuki kusema mnachoma makanisa na kuwapiga wasiotii imani yenu?

Zanzibar kanisa limechomwa na wenyewe wakristo katika jitihada zao Za kuwatapeli wazee wa kanisa Lao huko Ulaya na Marekani kuwa waislamu wanachoma makanisa Zanzibar. Ushahidi upo wala hamna aliyekamatwa kwa kuchoma kibanda kiitwacho kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…