FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17.
Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku , mashambulizi ya kigaidi na uchomaji wa makanisa yao ya asili ukiendelea kutokana na hawa wahamiaji haramu! Pili baadhi ya nchi 53 za Afrika zimeongezewa mashart kupata visa Kwenda Sweden, isipokuwa nchi Tatu Tu, Rais wa Tanzania , Botswana na Kenya ndo mashart yamebaki yale Yale Je, unaunga mkono hatua hii kutoka Uswidi?
Nimepokea taarifa ya baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao
Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaju mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi March 2023. Nchi zetu hususan Tanzania...