Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

Hawa ndio wanaoleta mtafaruku wa dini upuuzi mtupu

Kesho uarabuni nao watachoma Biblia
Humu JF watu wengi wanakusufia sana Mangi, nasikia "you are very good and humble person" ila kwa hilo umetokota. Umejuaje waliochoma hiyo quran ni wakristo? Je ni kama waislam wenzao au mafreemasons au wapagani?
 
Kwa mtizamo wangu ni kwamba
Uchomaji wa maandiko inawezekana ila kisichowezekana ni kuchoma NENO!
 
Hapo waislamu wametengenezewa bomu ili liwalipukie sababu wanajua ni watu wa kulipuka.
Wakristo hata uchome Biblia wanakupuuza tu hawaingii mkenge wa wajinga.
Kuchoma kitabu Sio kuchoma maandiko
 
Nashindwaga kuelewa Kwa nin Sweden mara nyingi wanapenda saana kuchoma hiko kitabu hadharani tena Kwa maandamano...logic kuu ni nin Zaid??..
Lengo lao ni kuwafukuza waislam nchini waondoke, hasa wahamiaji toka mashariki ya kati!! Wanatumia lugha ya matendo. Waswahili husema akufukuzae hakuambii ondoka!! Ila cha ajabu ni kwamba wakimbizi wa kiislam huwa wanapendelea kukimbilia nchi za wawaitao "makafir"! Yaani benyan mbaya kiatu chake dawa!! Hutawaona wanakimbilia Pakistan au Indonesia au Saudi Arabia!! Ninauliza kwa nini??
 
Humu JF watu wengi wanakusufia sana Mangi, nasikia "you are very good and humble person" ila kwa hilo umetokota. Umejuaje waliochoma hiyo quran ni wakristo? Je ni kama waislam wenzao au mafreemasons au wapagani?
sijamaanidhs kuwa ni wakristo ila nimemanisha waru watatafsiri kuwa ni wakristo

I am Christian too. .
 
Allah sijawahi kumuona akiilinda Quran Wala uislamu
 
Mtu mstaarabu na timamu hawezi kushabikia mambo ya namna hii!Kama sio muumini,kwanini usifuate unayoamini kuliko kudhalilisha imani za wengine?
 
Nipo sambamba nawe kwalo
 
Kama watu wangechoma bendera ya mashoga ya upinde wa mvua, saa hii tungekuwa tunaongea mengine!! Mataifa yote ya magharibi yakiongozwa na Marekani yangelaani sana!! Na hiyo nchi kulikochomwa hiyo bendera itawekewa vikwazo usipime!!
 
Naona umeanza kuwa Muislam, maana hata Waislam tunaamini hakuna mungu isipokuwa Allah tu.

Hiyo uiyoisema ni nusu ya shahada ya Waislam.
Allah ni kiarabu,wewe mswahili unamuitaje kwa kiswahili?
Nways,sijui ni makosa ya kiuandishi au ni makusudi kuendeleza ushabiki wa kidini usio na maana,ni "Mungu" na si "mungu" kama ulivyoandika!

Nways,tukio hilo la huko Sweeden haliwezi kufanywa na watu waliostaarabika!
 


109


17:110. Sema: Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo.
 
Hiyo nchi ni anti Islam.

Wakati wakiruhusu watu kuchoma Qur'an mbele ya Misikiti lakini hawawezi kuruhusu watu kuchoma maandiko matakatifu ya Wayahudi mbele ya masinagogi yao.

Wasweden wana chuki tu na ni wachokozi.
Hilo lisikutishe. Waislam bora kabisa walitokana na walioupinga Uislam.

Soma historia ya Omar ibn Khattab.

Soma historia ya Khalid ibn Al Walid.

Hiyo haijaishia enzi hizo tu, mpaka sasa ni hivyo hivyo:

 
Unajaribu kubisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…