Mmh mwenzangu ray c kamsifia mwenyewe apate collabo matokeo yake kachambwa mmh aibu hii sijui ataipeleka wapi
rayc hakutumia hekima kwa kweli hata mi ningemzodoa tu.....anatafta umaaarufu kupitia mnyama.....!mnalaumu bure tid ila ujue hawa masupastaa wa bongo wanapenda kusafiria nyota za wengine.fkria we ndo tid halaf ndo unakula ngada afu mtu anakuface mbele za watu utajiskiaje?
Ndio keshapewaa makavuu hana jipyaaa
Shangaaa na weweee ashashindwa kuimba kaona aanzee kuhoji watu mbele za watu akomeeee
mzee kingunge warioba anazingua sana kwa ujuaji wake wa kiboya....tumuombee kheri kipindi hiki cha mfungo abadilike mazima maana anafunga na kuswali kwahiyo ngada kaikatia kwa sasaMuuza Sura vipi mnyama hajaacha poda?
hv ray angemtafta kwa siri tid angemtukana?kwa nini amtafte kwny public ujue msimlaumu tid ila sometimes inakera..haya sporah nae maswali aliuokuwa anamuuliza yale..?nyi mlitaka amjibu vp...?dawa ya mshenzi unakua mshenzi zaidi yake baaaas....."unavuta bangi"ndo ailmuuliza hvyo!safi tid kama kalambwandaaaa...
Ni hivi mpenzi,Tid aka mzee Warioba alikuwa anatambulisha wimbo wake mpya Asha refix...Ndio akaibuka Rayc na iyo comment yake,nadhani mzee Warioba alihisi Rayc anataka kumchanganyia story za sober house na methadone cjui uko ndio akamwaga desperation yake hapo.
Shangaaa na weweee ashashindwa kuimba kaona aanzee kuhoji watu mbele za watu akomeeee
ye angemwita pembeni wangemalizana tu kuliko kumdhalilisha hata km tunajua tid mteja ila si kiivyo mi pia sijapenda amekosea ray c
hivi ni kauli gani imemdhalilisha hapo? hiko wapi? come lets talk?,your best musician in east africa? huu ndi udhalilishaji? umejuaje alitaka waongee kuhusu madawa?
T.I.D. si naye apelekwe USA kama RAYC , hivi RAC haoleki, Je atakaye muoa awezi kuzaa mototo tahira?
Watu tunapenda kuhisi.Halafu ukute ni kweli anahitaji msaada huyo TID.
hatukatai kwamba tid ni mgonjwa, ila kwa hili ray c katokota, angeweza mtafuta privately waongee faragha. Sidhani kama yange mkuta haya.
Tid anapost ishu kwa fan wake, afu mrugaruga anaingilia topic.
Hata mimi ningempa makavu.
Ray c aache tafuta sifa za kijinga.
.......
.,period.
Mpaka hapo mwehu keshajulikana,wenye hekima husifia majibu ya busara,mh bt kunakitu nmenotice hapo maana sijaona sababu ya kusifiwa yeye atukane,makubwa haswaaaa!
hata mie nimeshangaa... msanii kujibu mbovu tena kwa muktadha wa comment ya amani me naona ni umbulula tu. na sijui why amesifiwa...ngoja nimezee mengine nisiandike hapa. Duniani kuna watu na viatu yani wao hata wafanyweje hawana jema. nikuwasamehe tu. Ray C next time angalia wa kuwasifia wengine ni mizigo ya ma...vi hawabebeki kwa mfuko wala mikononi.