Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

Best mimi nimeweka kitako hapa kwenye comments yako ilikuwajeπŸ€ΈπŸΏβ€β™€οΈ
 
Mmmmh
 
Ndugu zake wananiambia nimemroga ndugu YaoπŸ˜€ nikawambia mganga wangu ni mungu na amempa alichostahiil😬
 
Pole my Wii
 
Umen Pole mamii
 
Hakuna Mungu wa hivyo huyo ni shetwani ndio husikiliza maombi mabaya, hivi unamuombeaje mtu mabaya na ulimpenda? Huo ndio upendo?
 
Watu mna mlaani hadi Mungu πŸ˜πŸ˜‚
 
Karma is real. Ulifanya vyema kutokulipa kisasi ila ukamuacha Mungu mwenyewe alipe, Mungu akilipa huwa anamnyoosha mtu ipasavyo.
 
Jama i mbona mie sipata wanawake wa namna hii wakulipia ada hadi wadogo zangu?

Yaa i wewe mie ningekufulia hadi chupi zako
 
Itakiwa jamaa alikuwa sio mvivu kitandani ndio maana bidada miaka miwili yupo tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…