Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

Chai
 
Hilo linaeleweka kitambo huΓ±a haja ya kujenga hoja.
Mwanaume ukiwa huna hela mwanamke anakuona tΓ kataka tuu.
Kabisaaaa. Sawa na sie wanaume mwanamke ambae hana tako ni takataka kabisa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mimi ubishi na wivu wa kipumbavu nilitoka πŸƒπŸ½β€β™€οΈBaada ya kupata story yake huko kwao kigoma aliwahi kumkata mpenzi wake mkono nikasema toba roho yangu.
Ila wanawake mnafalling inlove na wanaume wa ajabu ajabu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Haya mambo huwa yanaenda vice versa, ukikuta mume amenyooka, ni husband material haswa, basi mke mara nyingi anakuwa kimeo.

Ukikuta mke amenyooka kama wewe, ni wife material haswa, basi mume anakuwa goigoi kama huyo wako..
Bora hao wanabalance equation. Sasa uwakute wote vimeo, yaani ni vurugu mechi🀣
 
Hapanaaaa, nyie bwana ni zoa zoa tu, mnatia hadi mimba vichaa. Hambagui hamchagui, ataewazika hamumjui🀣🀣
Sawa sie zoa zoa ila sii tunawazoa nyie hapo bwana
 
Lakini nimeinuka tena alafu ndio nataka nioe rasmi sasa
 
Sasa hii taa nyekundu yangu ERoni
Niendelee nayo au niishie njianiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Anyway ngoja nipite tu, ajali haina kinga🀣🀣🀣
 
Mungu yupo nyie mungu yupo na anajibu yule mtu karud alipotoka ameanza moja Tena Kwa kipigo takatifu Allhamdullilah 🀲
Daaah sijui alikutenda nini ila usimuombee mabaya kiasi hichoπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Tusiwe na too much expectations, some relationships are not meant to last. Na wakati mwingine ni sisi tunang'ang'ania pasipofaa, then baadae tunaanza laumu watu.
 
Ndio maana nakupenda we mwanamke, yaani mtu anatendwa na kuweka visas na laana juu, ya nini yote hayo? Mimi naamini ni sehemu ya maisha tu, jifute usonge mbele.
 
Hapanaaaa, nyie bwana ni zoa zoa tu, mnatia mimba hadi vichaa. Hambagui hamchagui, ataewazika hamumjui[emoji1787][emoji1787]
Huwa najiuliza akili za baadhi yao sijui zikoje naishia kucheka sijui hawanaga kinyaa [emoji706]
 
Ni mwanamke mpumbavu ndie atakubali kuolewa/kuishi na mwanaume asie jitambua na kuitambua nafasi yake kama mwanaume/baba/kichwa cha familia.
Ukiona mwanaume hakufai hakuna sababu ya kulazimisha ndoa hata mnafikia kujaa sumu kiasihiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…