Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

Mimi ubishi na wivu wa kipumbavu nilitoka ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธBaada ya kupata story yake huko kwao kigoma aliwahi kumkata mpenzi wake mkono nikasema toba roho yangu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi aalikuwa mbabe balaa simtaki hata Bure ๐Ÿ˜ƒ
 
Mimi ubishi na wivu wa kipumbavu nilitoka ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธBaada ya kupata story yake huko kwao kigoma aliwahi kumkata mpenzi wake mkono nikasema toba roho yangu.
Wii hii sikuiona wee ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Jamani kukatana mikono tena??! Wohiii Wohiii
 
Wifi na barua ulikuwa unaandika?? ๐Ÿ˜น
Kweli ulipenda mahi wangu, ndo bwana wako wa kwanza?? ๐Ÿ˜œ
 
Wifi na barua ulikuwa unaandika?? ๐Ÿ˜น
Kweli ulipenda mahi wangu, ndo bwana wako wa kwanza?? ๐Ÿ˜œ
My Wii nilikuwa nusu mwendawazimu Yani nilipenda niliwashiwa had taa za blue bahari ila wapi fuvu limekaza Tena hizo barua naandika huku nalia sabbu nilikuwa siwez kuongea nilikuwa mkimya so live nilikuwa siwez kumkabili ni Kwa barua au Kwa simu ndio nitatoa la rohoni ๐Ÿ˜‚
 
Pole sana ๐Ÿฅน๐Ÿ˜น
Haya endelea ikawaje sasa? Au ndo imeisha?
 
Nlimnyamazia bila.sababu
 
Hadi hapo wii inaonyesha mtarudiana mnapendana nyie ๐Ÿ˜น
 
Pole mkuu, inaonekana umepita mapito sana maishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ