Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

Lazima wawe na ethical clearance kuhakikisha no conflict of interest arises.
Ethical clearance inatolewa na nini.Conflicts of interest zinatokeaje?fafanua zaidi maana inaoneka unaelewa ila unataka kujitoa fahamu
 
Scam in what basis?
 
Wewe Bashite hem tulia huko. Mbona una kihere here weweee. Unapenda kujipenyeza kama ushuzi.

Mbona unapenda sana uongozi weweeee.
Mijitu mingine bhana
 
Hii Survey/Research yenu iko funded nani?
 
Ethical clearance inatolewa na nini.Conflicts of interest zinatokeaje?fafanua zaidi maana inaoneka unaelewa ila unataka kujitoa fahamu
Mkuu Andoza unachoenda kufanya kama fact checking/ finding kinachohusisha umma( idadi ya watu wengi) kwenye jambo lenye maslahi kwa umma huwezi kuja tu na kajitangazo hapa JF kirahisi rahisi. Lazima tukujue wewe ni nani?? Na umetumwa au unajituma. Kusema tu kwa maneno kuwa hufungamani na siasa za upande fulani haitoshi.
 
So unamaanisha kwamba nini kifanyike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…