Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

Mkuu,nothing is easy,Hata mimi najua kwamba kuna ugumu katika kila jmbo ila STRATEGY IS THE KEY.
 
Bro..how do you fact find the facts ambazo ni obvious!?.. unless unawafanyia wageni kutoka ng'ambo utafiti ili waje kuwekeza..huyo anayetaka ubunge na hajui Kigamboni wanataka nini atakua katua Africa Kwa mara ya Kwanza Jana na contact yake ya Kwanza na Mtanzania/Mwanakigamboni itakua ni wewe.
 
Angalau wewe umeanza kuelewa...Wengine naona wana sentiments.Kama wewe ni kazi wa Kigamboni unaweza leta maoni yako pia

Kama ndivyo, kwanini umeshindwa kuwa wazi?

Kwani ukisema tunamkusanyia maoni mgombea X ili aandae ilani yake ya uchaguzi kwa kuzingatia vipaumbele vya wananchi wenyewe, kuna ubaya gani?

Kwa mficho huu, sasa unaanza kutuhumiwa kuwa unafanya kazi ya Makonda a.k.a Bashite mtu ambaye ktk kura za maoni ameshindwa kabisa tena kwa mbaali...!!

Na it's true kabisa, kama unafanya kazi ya Makonda, basi everything is useless na unachosha watu bure tu na kupoteza nguvu na pesa zenu kuzunguka zunguka...
 
Mkuu kwanza simfanyii kazi Makonda na hata katika kufanya haya yote ni kuhakikisha kwamba tunapata kiongozi anayeelewa mahitaji yetu.Kuhusu mficho usikupe shaka kwa sababu ni namna moja wapo ya kuhakikisha integrity.Ukifika wkati wa kusema hivyo utasema hivyo ila kwa sasa Mgombea ameomba kuwa confidential.Je inatosha kusema hivyo?
 
Kipi kipya kwako katika hivi?
 
Hiyo kazi ulitakiwa upewe na mmoja kati ya wagombea kutoka katika vyama tofauti,kama haijajulikana wapi ni wagombea,hiyo kazi unamfanyia nani?watiania muda wao ulishapita.
 
Hiyo kazi ulitakiwa upewe na mmoja kati ya wagombea kutoka katika vyama tofauti,kama haijajulikana wapi ni wagombea,hiyo kazi unamfanyia nani?watiania muda wao ulishapita.
Mkuu muda wa watia nia bado haujapita.utapita baada ya kuanza rasmi kwa kampeni tarehe 26 before then lolote laweza kutokea na kufanyika
 
swala sio upya,swala ni verification na ushirikishwaji
Ushirikishwaji my As..
Where were you those last five years. Where were you?
I hate people like you trying to take advantage of dire situations a normal below a poverty line citizen is going through, during this election period. Trying to fool poor innocent lives to feed your families. Shame on you Bashite waheed
 
Mkuu umechafukwa sana,Ulitaka tuwe wapi.Unafikri ni swala tu la kutaka kutumia watu?Unafikiri hatuna uchungu na hii nchi?Unafikiri kwamba tunachofanya hapa ni kutaka kuwanyonya watu?
HAPANA ndugu yangu
Nia yetu ni njema na huu ni mkakati.Tukipata ushiriki wa wananchi wengi katika zoezi hili itatuwezesha kuanza safari ya mabadiliko ambayo itakuwa na tija na faida kwa watu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…