Naikubali Sana style yako ya uongozi, umefit vizuri kwenye wizara ya mambo ya kijinsia,matukio yanayohusu masuala ya kijinsia umekua mstari WA mbele kufuatilia Mungu akupe kibali zaidi!!Ndiyo zangu hizi, tangu niajiriwe sema sikuwa online, nilikuwa sms na WhatsApp zaidi na baada ya kuona wakati umefika, nikaingia sasa online kurasa za kutosha🤗, tuendelee kushirikiana tafadhali.
Boda boda sio kazi au ajira watu wanafanya kwakuwa they have no optionNaam mkuu, naam hatuoni jitihada za wao kuregulate hawa boda kufata sheria barabarani
Kuwapata ndo changamoto,huyu ni muwajibikaji,wengi wao wanapenda U bosi!!Tunahitaji viongozi wa namna hii walau 50 kwa kuanzia
Maendeleo yanapita hatua nyingi sana, ni mwinuko unaohitaji kuupanda hadi ufike juu huko. Hata kwenye nchi zilizoendelea tunapita huko tunawakuta wafanyabiashara ndogondogo aina mbalimbali wakiwemo madereva. Cha msingi tunapiga hatua, hata musa jangwani alitembea akawavusha bahari wakaja wengine wakafika nao kanani. Tusiwe wa kukatishana tamaa. Ahsante kwa maoni.Okay Asante kwa ufafanuzi mzuri
Ila Kama Serikali mmekosa ubunifu wa kutengeneza Ajira mpaka mnakuwa na mipango duni Kama hii ya kuwa na Bodaboda , wachuuzi n.k
Jaribu kuwekeza katika kilimo na mtengeneze Mnyororo wa thamani ili watu wajiondoe katika hizo ajira ambazo zina low returning na high risk .
Mfano hao bodaboda wanakufa kila siku na kupata Ulemavu so do you think is right .?
Jaribuni kuwa creative mtengeneze ajira zinazoeleweka .
Je wewe utakubali mtoto wako awe bodaboda , mchuuzi n.k
Ndiyo dunia ilivyo, mmoja anaona usiku mwingine anaona mchana. Hata wewe hapo ulipo wengine wanakuona A wengine B. Kikubwa wanufaika waseme wenyewe. Tuendelee kushirikiana, hakuna wa asilimia mia duniani.Mi binafsi naona Hivi navyo vituko tu.
Biashara ndogo ndogo ni zipi?
Kwanini wizara yako ishughulike na biadhara?
Wizara ya kazi na maendeleo ya vijana wao hawahusiki au mna share majukumu?
Hivi SIDO nayo wako chini ya wizara yako?
Na hawa VETA nao wako kwako?
Mara TAMUSEMI mara Mara maendeleo ya Jamii.
Mi nikajua SMEs ziko chini ya wizara ya viwanda na biashara, kumbe maendeleo ya jamii na Tamisemi?
Miundo ya serikali zetu ni siaaa tu.
Uwajibikaji ni muda huu wa uchaguzi ndio kila mtu anatafuta pa kukaba.
Maendeleo yanapita hatua nyingi sana, ni mwinuko unaohitaji kuupanda hadi ufike juu huko. Hata kwenye nchi zilizoendelea tunapita huko tunawakuta wafanyabiashara ndogondogo aina mbalimbali wakiwemo madereva. Cha msingi tunapiga hatua, hata musa jangwani alitembea akawavusha bahari wakaja wengine wakafika nao kanani. Tusiwe wa kukatishana tamaa. Ahsante kwa maoni.
Kweli unadhani hao wafanyabiashara ndogo ndogo kama mnavyowaita wana ACCESS na ZOOM au ndio bora liende na umelipwa per diem yako hayo mengine tutajijua wenyewe?Ndiyo dunia ilivyo, mmoja anaona usiku mwingine anaona mchana. Hata wewe hapo ulipo wengine wanakuona A wengine B. Kikubwa wanufaika waseme wenyewe. Tuendelee kushirikiana, hakuna wa asilimia mia duniani.
Mimi sitafuti pa kukaba bali natenda majukumu yangu ya siku zote. Usiwe unafananisha mambo, huwa yana utofauti.
Kila mfanyabiashara yoyote ile, anapaswa kuzingatia kanuni za biashara hiyo ambazo, hupewa anaposajili biashara. Yaani, kila mmoja azingatie sheria ya kile anafanya, vinginevyo, utakutana na changamoto tu. Hata wewe na mimi hapa JF tusipozingatia sheria tutakutana na changamoto tu.Sasa inakuaje mnrudi nyuma Ila bado mnajipongeza?
Mnabidi kuwa ni Mipango inayolenga kubadilisha MAISHA ya watu.
Hauwezi ukawa na Taifa la vijana wanoendesha bodaboda , wachuuzi, n.k
Wewe kitaaluma ni Daktari wa Afya je uliwahi kwenda MOI na kuona ni vijana wangapi wameshia kuwa walemavu kwa kuendesha boda boda?
Kaeni chini na muwe wabunifu mfikirie mambo ya kuisaidia nchi na kuacha alama.
Na uwezo tunao Ila hatujaamua kuleta mabadiliko chanya.
Ungekuwa kiongozi na wewe ungeingia uone. Maana hii siyo ya kwanza wala ya pili. Tupo nao, ila wewe ndiyo siku ya kwanza kusikia. Tanzania imeendelea na bado, wiki ijayo tunaongea kidigitali na majukwaa ya wanawake kata kwa kata. Na nitakuwa napakia hapa sasa ili uamini.Kweli unadhani hao wafanyabiashara ndogo ndogo kama mnavyowaita wana ACCESS na ZOOM au ndio bora liende na umelipwa per diem yako hayo mengine tutajijua wenyewe?
Na jua mjumbe auwawi, au ulimaanisha TCCA kile chama cha wafanyabiashara wenye viwanda na kilimo?
Kwenye hili huku ni kupuyanga tu.
Kila mfanyabiashara yoyote ile, anapaswa kuzingatia kanuni za biashara hiyo ambazo, hupewa anaposajili biashara. Yaani, kila mmoja azingatie sheria ya kile anafanya, vinginevyo, utakutana na changamoto tu. Hata wewe na mimi hapa JF tusipozingatia sheria tutakutana na changamoto tu.
Wenye shirikisho lao wapo waambie walete hayo maoni yako tafadhali. Mimi sasa nawahi kikao tafadhali.Kwa sasa tulipofika Kama Serikali mnabidi kuachana na Mambo ya yanaitwa Bodaboda , wachuuzi na biashara ndogogo.
Sifikirii Kama MTU anafanya Uchuuzi, bodaboda anaweza akafanikiwa zaidi either ataishia kuwa masikini in his lifetime au kupata ulemavu na kifo cha mapema.
Kwanza mlifanya kosa kubwa kuruhusu Usafiri wa bodaboda kwakuwa mnawafaidisha hao wachina na wahindi kuleta Pikipiki zao Tanzania .
Serikali ifikirie kuleta uwekezaji katika mnyororo wa thamani kupitia kilimo na teknolojia .
Mkisema maendeleo ni hatua je lini mliwahi kupiga hatua za kuwagusa wananchi directly.
Mimi pia naona maoni yako nayo yamekosa ubunifu vs uhalisia wa curve ya maendeleo.Kazi yako ni nzuri Ila tatizo ni kuwa mmekosa ubunifu (Creativity)
Wenye shirikisho lao wapo waambie walete hayo maoni yako tafadhali. Mimi sasa nawahi kikao tafadhali.
Planning zenyewe huwa zina aina mbalimbali ikiwemo immediate, short na long term. Hivyo, kama siasa sasa wewe ndiyo center, acha niwahi nachelewaHii ni maajabu muheshimiwa --- planning ni muhimu acha siasa mkuu