Taarifa kwa viongozi wa wWafanyabiashara ndogondogo makundi yote

Taarifa kwa viongozi wa wWafanyabiashara ndogondogo makundi yote

Sasa wewe kwa akili zako zilivyo ndogo unadhani anayezungumzia reforms zinamgusa yeye tu?

Haya hawa wanaosemwa hapa ni makundi ya wafanya biashara ndogo ndogo kuna mtu unayemjua wewe ambaye kanufaika na sera hizi zaidi ya kuwa hiyo mikopo na viongozi wanaowekwa ni wa watu wa CCM tu? ambao wanatanguliza maslahi yao kuliko ya watu wanao wasemea?

Refers kwenye inshu ya wafanyabiashara wa Kariakoo walipogoma wakataka kuongea na Waziri Mkuu wenyewe baada ya viongozi wao kuwa upande wa watawala ambao wao hunufaika na mfumo huo.

Inatosha kwa leo.
Hayo manoo noo kayazungumze na maudenda kule gerezani mkipayukiana huko!

Huku ni hoja ya kitaifa na inayogusa wenye chama na wasio na chama!

Hapa tunazungumzia maendeleo ya watanzania wenye akili timamu na si maendeleo ya kamati kuu ya manoo noo
 
Planning zenyewe huwa zina aina mbalimbali ikiwemo immediate, short na long term. Hivyo, kama siasa sasa wewe ndiyo center, acha niwahi nachelewa
HIi staili ndo imefanya miaka minne mnasema mitano tena alafu hii miezi mnataka kutafuta pa kutokea.

KIkao hiki hakiwezi kua cha "immediate" mkuu.

Chapa kazi mkuu ila planning ni muhimu
 
HIi staili ndo imefanya miaka minne mnasema mitano tena alafu hii miezi mnataka kutafuta pa kutokea.

KIkao hiki hakiwezi kua cha "immediate" mkuu.

Chapa kazi mkuu ila planning ni muhimu
Yaani kutangaza online ndiyo naanza leo, ila wao wanajua tangu zamaaani, na tuna vikao vingi vya WhatsApp call na zoom. Waulize tu watakuambia, akina Zuberi wa tabora, haule, lusinde, magayane katibu shiuma taifa, akina matondo ernest mwenyekiti SHIUMA taifa. Chamwapita chair nk. Sinaga mambo ya siri siri na kutaka sifa sifa au kuvizia kitu mimi bali najiachiaga tu kwenye uwepo wa kazi kazi....

Okay?
 
PLanning
 
Mama Vicky, ktk ubora wakoo. Nakukubali sana..
Ila kaa mkao wa kula, nina jambo langu, liko ndani ya wizara yako, na suluhisho ni wee.

Ntakurudia tyuuh.
Kama ni mambo yenu ya ushoga hell NO
 
Sasa wewe kwa akili zako zilivyo ndogo unadhani anayezungumzia reforms zinamgusa yeye tu?

Haya hawa wanaosemwa hapa ni makundi ya wafanya biashara ndogo ndogo kuna mtu unayemjua wewe ambaye kanufaika na sera hizi zaidi ya kuwa hiyo mikopo na viongozi wanaowekwa ni wa watu wa CCM tu? ambao wanatanguliza maslahi yao kuliko ya watu wanao wasemea?

Refers kwenye inshu ya wafanyabiashara wa Kariakoo walipogoma wakataka kuongea na Waziri Mkuu wenyewe baada ya viongozi wao kuwa upande wa watawala ambao wao hunufaika na mfumo huo.

Inatosha kwa leo.
Kwani huyo waziri mkuu siyo sehemu ya utawala?

Hapa tunazungumzia mambo ya msingi, hapa hatupo kwenye vikao vya kamati kuu ya manoo noo
 
Nikisema Mnyororo wa thamani

Mfano waziri Mmoja anakuwa na

-Dereva
-PA
-PS
-Mlinzi
-N.k

Sasa ikiwa mtaelewa Mnyororo wa thamani .

Mnawekeza katika kilimo vizuri kupitia mnyororo wa thamani hatutakuwa na hao wachuuzi , bodaboda , mama ntilie .

Ni Aibu kubwa kuona zama hizi bado tunawahita watu wajasiriamali wadogo while in fact most of them they are wasting their time with zero returning.

Tuwe serious na tujaribu kuvaa viatu vyao .
Uko sahihi lakini hili suala ni mtambuka sio la serikali peke Yake , ukiliangalia kwa ukaribu utajikuta hata wewe unapaswa ufanye Jambo ili tuondokane na hiyo Hali. Pia ni namna Tu tunavyotazama mambo but hayo makundi yatakuwepo milele....kikubwa tuboreshe kama Mh. Alivyoelekeza.
 
ccm acheni siasa kwenye maisha ya wa tz ,
kwa nini kila siku hamjifunzi ?
 
Ndiyo plan sasa imefikia kuwa leo kikao hiki kiende hewani na wewe ujue, wahusika wote walishaalikwa ila taarifa kwa umma muhimu ili walengwa wao wajue kuwa viongozi wao leo wanaingia kuwasemea. Sasa sijui ulitaka tusitekeleze au? Bahati nzuri wewe siyo online maana nadhani ungekataa ku uploda🤗
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ndiyo plan sasa imefikiq kuwa leo kikao hiki kiende hewani na wewe ujue, wahusika wote walishaalikwa ila taarifa kwa umma muhimu ili walengwa wao wajue kuwa viongozi wao leo wanaingia kuwasemea. Sasa sijui ulitaka tusitekeleze au? Bahati nzuri wewe siyo online maana nadhani ungekataa ku uploda🤗
nimekuelewa mkuu 😁
 
ccm acheni siasa kwenye maisha ya wa tz ,
kwa nini kila siku hamjifunzi ?
Siasa gani tena watu tuko kwenye utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa na bunge kuwa, tutekeleze na tufuatilie. Wewe ndiyo unafanya siasa kukomenti tu hata hujui kisa mkasa🤗

Ila hujambo lakini
 
mkisha wasajili hao wafanya biashara wadogo wadogo , wata tambulika kwa mfumo upi wa kazi data ?
je watapata TIN ? maona huu ndio msingi wa biashara .

eniwei tupine hizo hela kitaani kugumu sana
 
Mhhh ndugu yangu, unanitafutia maneno na watu wa humu dunia ya Tanzania, niache tu niendelee na yangu. Kikao tumemaliza salama, kingine kinakuja, yatokanayo mazuri kabisa.
Sijasema Rais Kwa sasa ila kwa baadae.Muda ukifika nitaanzisha kampeni ya kukuchukulia form upende au usipende hutaizidi nguvu ya Umma.
 
Mhhh ndugu yangu, unanitafutia maneno na watu wa humu dunia ya Tanzania, niache tu niendelee na yangu. Kikao tumemaliza salama, kingine kinakuja, yatokanayo mazuri kabisa.
vipi kuhusu "desturi" 😁
 
Siasa gani tena watu tuko kwenye utekelezaji wa bajeti iliyopitishwa na bunge kuwa, tutekeleze na tufuatilie. Wewe ndiyo unafanya siasa kukomenti tu hata hujui kisa mkasa🤗

Ila hujambo lakini
mzima wa Afya kiakili na kimwili
 
Back
Top Bottom