Okay Asante kwa ufafanuzi mzuri
Ila Kama Serikali mmekosa ubunifu wa kutengeneza Ajira mpaka mnakuwa na mipango duni Kama hii ya kuwa na Bodaboda , wachuuzi n.k
Jaribu kuwekeza katika kilimo na mtengeneze Mnyororo wa thamani ili watu wajiondoe katika hizo ajira ambazo zina low returning na high risk .
Mfano hao bodaboda wanakufa kila siku na kupata Ulemavu so do you think is right .?
Jaribuni kuwa creative mtengeneze ajira zinazoeleweka .
Je wewe utakubali mtoto wako awe bodaboda , mchuuzi n.k
umeanza na pont nzuri lakini chini umeharibu
kufa kila siku au mtoto wako kuendesha BODABODA ni maoni ya inaonesha ya mtu mwenye majivuno kutokana na nafasi ya kiuchumi uliopo
nadhani ungemshauri au kumuuliza namna ya kuweka mazingira rafiki kiuchumi na salama juu ya BODABODA
nadhani haufahamu ila mimi ninakufahamisha
kutokana na mazingira niiliyokuwanayo
kwanza BODABODA imesaidia vijana wengi kupata ajira naweza sema hata karibu 30% na kupata njia ya kupata mitaji ya kibiashara
lakini pia kwa serikali imesaidia kwa kiasi kikubwa katika mapato
lakini faida nyingine ni kupunguza vijana kuzurura hovyo mitaani na kuwa wezi vibakai ndio mana leo hii kuna mitaa ya dar es salaam ulikuwa huwezi kupita bila kukabwa au kukwapuliwa simu lkn now kumestaharabika
lakini faida nyingine ni kurahisisha huduma usafiri na kufanya si huduma za kukufikisha sehemu husika kuwa rahisi lkn pia hata shughuri za kiuchumi kuwa nafuu hata kwa wasioendesha bodaboda
sasa unaposema BODABODA sio kazi wakati inachangia pakubwa katika sekta ya ajira na pato la nchi kwa ujumla ninakushangaa sana
kinachotakiwa tutengeneze mazingira manzuri kwa bodaboda ambapo ni km hivi sasa katika kundi la bodaboda 10 basi lazima kuwe mmoja au wawili ni bodaboda zao wenyewe
na serikali izidi kuandaa MAKONGOMANO na kuanzisha warsha vipeperushi juu ya usalama na kuendesha kwa kuzingatia sheria na uweredi
na hili si serikali pekee ni letu wote 7bu sidhani kam hakuna mtu mwenye ndugu amabae ni bodoboda au hajapitia huko
na kwasasa ajari za bodaboda zimepungua kwa kiasi kikubwa na kadri tunavyoendelea zitapungua kabisa na kubaki kawaida ikiwa watu kama nyinyi na madereva wengine watakapoeshimu BODABODA barabarani mana kwa sasa takwimu za ajari nyingi zinazohusisha BODABIDA
basi ni BODABODA kugongwa au kupushiwa upande