Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,710
- 8,690
- Thread starter
- #81
Saaafi kabisa mtu makini kabisa wewe ✍️mzima wa Afya kiakili na kimwili
Saaafi kabisa mtu makini kabisa wewe ✍️mzima wa Afya kiakili na kimwili
Hebu niache tunaandika muhtasari 😊vipi kuhusu "desturi" 😁
Ndiyo, wanapata na usajili wao kitambulisho chao kinafungamanishwa na NIDA na taasisi mbalimbali na wanasomeka hadi huko wizara ya fedha na biashara yaani kisasa zaidi..mkisha wasajili hao wafanya biashara wadogo wadogo , wata tambulika kwa mfumo upi wa kazi data ?
je watapata TIN ? maona huu ndio msingi wa biashara .
eniwei tupine hizo hela kitaani kugumu sana
Mdogo angu mdogo angu mdogo angu..Ila twende mbele turudi nyuma, no reform no election.
Maana mazingira bado si rafiki.
Wanakuchekii wanasema hiiii.... usijitafutie kesi, sisi tushirikiane tu hivi mdogo mdogo kazi ni kazi hazina kimo...Sijasema Rais Kwa sasa ila kwa baadae.Muda ukifika nitaanzisha kampeni ya kukuchukulia form upende au usipende hutaizidi nguvu ya Umma.
okay ni jambo zuri .Ndiyo, wanapata na usajili wao kitambulisho chao kinafungamanishwa na NIDA na taasisi mbalimbali na wanasomeka hadi huko wizara ya fedha na biashara yaani kisasa zaidi..
Huwa napenda sana kusoma maoni na mitazamo Yako iliyo beba maono makubwaa sana.Nikisema Mnyororo wa thamani
Mfano waziri Mmoja anakuwa na
-Dereva
-PA
-PS
-Mlinzi
-N.k
Sasa ikiwa mtaelewa Mnyororo wa thamani .
Mnawekeza katika kilimo vizuri kupitia mnyororo wa thamani hatutakuwa na hao wachuuzi , bodaboda , mama ntilie .
Ni Aibu kubwa kuona zama hizi bado tunawahita watu wajasiriamali wadogo while in fact most of them they are wasting their time with zero returning.
Tuwe serious na tujaribu kuvaa viatu vyao .
Anafanya Kazi nzuri Sana Mimi mwenyewe namkubali Sana . kwakuwa yupo social na yupo grounded changamoto za hapa Tz hauwezi kuzimaliza kwa muda wa miaka 10.Huwa napenda sana kusoma maoni na mitazamo Yako iliyo beba maono makubwaa sana.
Tanzania inawaitaji watu KAMA nyinyi muwe wengi wengi Kila mahali ili kuamsha hali za kimaendeleo kwa mustaakabali mpana kwa taifa.
NB. Napenda kumpongeza muheshimiwa wazirii yeye ni one in a million maana kaweza kuwa real hapa jukwaani viongozii wengine waige huu mfano ila wengi hawawezi tumpongeze mweshimiwa wazirii again kwa huu moyo wake hapa jukwaani.
Hakika, programu iko vema kabisa na mfumo huu ndiyo wa kwanza nchini wa kuwatambua wafanyabiashara ndogondogo kinamna hii....., vitu vizuri sauti ya pongezi huwa inafifia ila vyenye kasoro sasa, weeeeeeee utadhani umeingia kiwanda cha kelele🤗okay ni jambo zuri .
hapo samia ndipo napomkubali mifumo kuwa centralized , inasaidi sana kwenye kupanga shughuli za maendeleo.(kazidata)
okay kazi njema.
Ahsante kwa ushirikiano, Mungu wa mbinguni apewe sifa na utukufu, AaminMama upo vizuri Mungu akutunze una karama kubwa ya uongozi .
Nimekuwa nikukufatiliaaa Sana .
Viongozi wengine waige kwake sio wanapost alafu sehemu ya comment wanatufungiaUnajitahidi kuwa karibu na unaowaongoza! Big up!!
Ujumbe wameupata,huyu Hana shida na mtu ndo maana huoni comments mbaya!!Viongozi wengine waige kwake sio wanapost alafu sehemu ya comment wanatufungia
Sawa mamangu.Basi tuendelee kuijenga jamii Bora.Wanakuchekii wanasema hiiii.... usijitafutie kesi, sisi tushirikiane tu hivi mdogo mdogo kazi ni kazi hazina kimo...